Trust Again in a Man.

Trust Again in a Man.

kabakabana na Smile naona mmejeruhiwa,
poleni mabinti zangu,
kwani hamkujua hakuna tena mapenzi.
 
ndo manake kwa penzi nilikuwa nampeleka paradiso ila sema tu sijamridhisha kwa vijisenti

lakini kweli ulinipa raha ila nishasahau, nataka hela yangu usijifanye kunichombeza hapa.
 
Hehehe, anaendesha baiskeli mpaka njiro kwa kina kaby, akifika majasho yamemtoka afu anatoa li deleki lenye picha ya bangi anajifutia mbele ya kaby, asiachike mchezo Erick!..

haha wifi kama ulikuepo vile kuna siku nitonye alikuepo alimkimbizaje??ndo alikuhadithia nini?
 
Back
Top Bottom