Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,550
- 1,166
- Thread starter
- #221
Panga tena jamani.....si ukweli huo...hahahaaaaa
ntapotea km upepo
niko ubungo niko full equiped naelekea kino,will keep you updated.
Panga tena jamani.....si ukweli huo...hahahaaaaa
ntapotea km upepo
Wifi nimeijaribu nayo hapatikani...daah!
Ntafanya mpango nije na wote plus Nitonye....utafurahi eeehKama masharti huyawezi usije tena!..
Teh niko zangu Ole liormaito aleniko ubungo niko full equiped naelekea kino,will keep you updated.
Nitonye yupi tena? Original ntakuwa nae, anakuja home kulipa mahari!Ntafanya mpango nije na wote plus Nitonye....utafurahi eeeh
Ok, nimeyaamini maneno yako!..khaaaa ila nilikwambia i know my bro! But give him some more minutes.
Teh nitonye anajua mi joka la kibisa hana shida na mimihaha wifi kama ulikuepo vile kuna siku nitonye alikuepo alimkimbizaje??ndo alikuhadithia nini?
Haaaa usisahau kumnunulia na Banana za kunywa njiani wakati mko safariniNitonye yupi tena? Original ntakuwa nae, anakuja home kulipa mahari!
Teh kwa sasa inaonekana mume mwenzio wa sasa anampa vijisent ila ila mambo ndo hatosheki thats why ameanza kurudi kwako
Utasutwa wewe! Hiyo mamaaaaa ya nini sasa?..lolTeh teh
wapi Nitonye ndani ya JF....Mamaaaaa SweetLady ndani ya Chit Chat.....
Lol
Erick atashika namba 1, na hatapata mpinzani lol.
Na kama atatoa wewe hutaikosa hii zawadi maana kwanza mchonganishi sana halafu mikataba yako inawaumiza wengi
Hehehe! We mwenyewe wajua switie hanifichagi kitu, ndie alinipa huo mchapo!haha wifi kama ulikuepo vile kuna siku nitonye alikuepo alimkimbizaje??ndo alikuhadithia nini?
yah nalitambua hilo ila nimejikaza kisabuni
He, nani kakupa ruhusa ya kusoma post zangu? Unanikosea heshima wifi mpendwa!
Lol, mr. & mrs erickb52!mpinzani wake atakuwa amyner nae anakuja kwa kasi
Baadaye wakuu naona sredi inaenda kusiko
Kumbe Amy ni wake,,mwaka huu sina bahati
Ukitaka nikusamehe nitafutie kwanza kakako mpaka umpate, vinginevyo sikusamehi!..am sory,lakini nilhisi tu unansema.
Umeonae? Yupo busy jf Amy kaenda kazini lol,