Trump to host Kenyan president at White House

Mwanamke atamfuata mumewe. Watanzania tutakuaje na wivu wakati Trump mwenyew atajileta kwetu???? Najua hapo ndo wivu utawashika mpaka mtaman kujinyongea kamasi hasa pale tutakatiliana saini mikataba ya kiume na USA.

Da Pride.
 
I would care less who the coach is, but I can't see the correlation between that and Tanzania being a topic of discussion in Nigeria.

I'm looking for a clip which shows how Tanzania under Magufuli trended on Nigerian head lines.
 
Hahahahaha, mwanamke ataondoka nyumbani kwa wazazi wake kumfuata mume ili atumbukizwe dushelelee
Sasa huyo mwanamke wenu atatoka lini pia yeye atumbukizwe lolo ya kimataifa? Hajui kujiongea kama wanawake wa vijijini na yuko na soni sana amezoea kutumbukizwa na kina Nkurunziza yani kitu locala sana...lack of class.
 
Sasa huyo mwanamke wenu atatoka lini pia yeye atumbukizwe lolo ya kimataifa? Hajui kujiongea kama wanawake wa vijijini na yuko na soni sana amezoea kutumbukizwa na kina Nkurunziza yani kitu locala sana...lack of class.
Huoni jinsi majike yanavyojileta yenyewe?, kesho Museven anakuja, hili ni jiwe dume halitoki, hata Trump atakuja kufuata dushelele
 
Huoni jinsi majike yanavyojileta yenyewe?, kesho Museven anakuja, hili ni jiwe dume halitoki, hata Trump atakuja kufuata dushelele
Naona hujipeleka kwa Museveni the Military man anapeana kitu kiss anazindikishwa hadi Entebbe na balozi wa UG bila hata dili...cheap president.
 
Kenya is respected on the international stage. Huyo dictator wenyu amepigwa marufuku, Mwoga kabisa other than intimidating the opposition and spreading propaganda hana agenda ingine. Ndio maana hana heshima outside Tanzania. LDC kabisa
Umeleta hoja yako kitoto. But somehow kuna sehemu you are right. Jiwe anatuharibia sifa ya nchi yetu .
 
Mnakuwa marafiki kwa kuwa kumetulia,Alshabab wakilianzisha anakuachia upambane kivyako,be careful guys,USA has no permanent friend nor permanent enemy..
 
Naona hujipeleka kwa Museveni the Military man anapeana kitu kiss anazindikishwa hadi Entebbe na balozi wa UG bila hata dili...cheap president.
Museven hii ni mara yake ya tano kesho wakati jiwe lilienda Uganda mara 2 tu. Cheap president ni Uhunye anayezunguka dunia aimlessly wakati FDIs zinashuka by 60% na exports zina decrease.
 
Museven hii ni mara yake ya tano kesho wakati jiwe lilienda Uganda mara 2 tu. Cheap president ni Jiwe anayezunguka Uganda aimlessly wakati FDIs zinashuka by God Knows those cooked figures na exports zina decrease.
:D:D:D
 
ohoo,
is so sad to Kenyan, yan mnafkia sehemu mnasifia kualikwa white house ?,
friends be serous...!! nani kakwambia raisi wen u akienda USA atabadirisha uchumi na hali za hao wakikuyu hapo town?
Ni hivi Tz tulishaacha hayo mambo ya viongozi wake kufanya tour Europe na USA, cos ni km madoido tu ya utawala,

mwambie bro, aongoze nchi, aachane na hayo mambo ya kushabikia kupata mwaliko wa USA, ahangaike na kutatua tatzo la ukabila ktk nchi yake, aboreshe amani ya kwel dhidi ya alshabab,
mko nyuma kiuchumi sanaa, ardhi kwenu ni tatzo, find a way bro ya kutatua changamoto zenu za asili,
In East Africa there is only one president as role modal of African leader have to act, na huyo J.P. Magufuli, hajajipendekeza kwa USA & European tang aingie madarakani, anahimiza uzalishaji na ununuzi wa bidhaa za ndani, na athari ya uchumi wa Tz ushakua tishio kwa Africa.
ss nyie mnatatzo la rushwa ambalo mnajulikana nalo dunia nzima, then mnajisifu kualikwa na Trump, kwel bado mnatawaliwa kifikra na kupelekea matendo ya kijidhalilisha mbele ya wazungu km mfanyavyo.

God bless Tanzania again..
Kenyan wake up plz..
 
Back
Top Bottom