Trump to host Kenyan president at White House

Ahaaa haaa haaa
Umenikumbusha,
Kuna mwaka walikuja marais watatu wa Marekani, Obama aliyekuweko madarakani na wastaafu Bush na Clinton. Walikaa siku kadhaa na walitembea maeneo mbalimbali Dar. Lkn binafsi sijaona mabadiliko saana.
.....na Obama alirudi juzi kati hapa pamoja na familia yake kwa ajili ya kutalii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
EC95552D-EF0D-492E-93C8-BB59E1916E09.jpeg
B5D93872-F46F-4C33-BE0D-3DAB39F278A0.jpeg
 
The handshake continues. Good grip Mt. president. Trump tried his usual arm wrestling lakini akampata uhuru yuko gangari
Hata Ivanka ametamani confidence ya Uhuru

DB350178-21D1-4593-AF21-7FEE65B1C096.jpeg
 
Kenya is respected on the international stage. Huyo dictator wenyu amepigwa marufuku, Mwoga kabisa other than intimidating the opposition and spreading propaganda hana agenda ingine. Ndio maana hana heshima outside Tanzania. LDC kabisa
Nimeishi US, Kenya and TZ. No Africa leader, No Nation in Africa should be proud of partnering or relationship with the US. Unless this is another space making trip making a new springboard for US missile to Somalia. After that, wait for another chaotic coast in the name of Al shabaab!
 
Back
Top Bottom