Trump na May kama Dr Magufuli hawajahudhuria World Economic Forum Davos!

Huyu wa kwetu hahudhurii sababu hawezi zungumza wala kuielewa ile lugha ya malkia
Si unaenda hata na mtafasiri. Kwan lazima uijue hiyo kugha au wote waliopo pale wanaijua.

Chagua kusuka au kunyoa
 
Rais wa Marekani Donald Trump na Waziri mkuu wa Uingereza Theresa May hawajahudhuria mkutano wa uchumi duniani kutokana na majukumu ya ndani ya nchi zao yanayowakabili.
Source BBC Dira ya Dunia

My take;
Nimeelewa ni kwanini Rais Magufuli amejikita nyumbani kujenga misingi ya uchumi kwanza......maana hata wakubwa huko duniani wanatulia nchini mwao

Maendeleo hayana vyama!

Ww bana upo mbali sana na World affairs!!
Bunge USA limeshindwa kukubaliana kupitisha bajeti ya kuendesha serikali,Bunge halijaipa hela serikali na hivyo serikali haina hela maafisa wake wengi hawajalipwa leo siku ya 32!Sasa utaondoka vipi USA na maafisa wako hawajalipwa mshahara kwa mwezi mzima?
UK ni matatizo pia ya kura ya Brexit yanamuendea vibaya sana PM May kakoswa juzi kuondolewa na Bunge madarakani na sasa anakutana na wapinzani kusawazisha uhasama huu!
Kwa hali hizi mbili hao viongozi wataendaje Davos?
Kwa nn JPM hayupo Davos wkt hali ya uchumi na kisiasa TZ ni shwari?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Trump nchi yake bado ina mgogoro wa wafanyakazi na May yuko kwenye issue ya kupitisha mpango wa Brexit Bungeni na mwisho JPM yuko na kikao na wachimbaji wa madini.

Proverb 3:5-6
 
Swala ni kwamba hawajaenda!

Sasa naona unalazimisha mambo,ningekuwa mm ningejifunza kwa nn hawajaenda kuliko unapo taka kulazimisha na kuonyesha kumbe ww una mawazo ya hovyo hovyo tu ya kutetea kila kitu kama MATAGA wenzako!
Shut down serikali ya USA Bunge kuinyima hela
Serikali utawezaje kusafiri?
Brexit kukwama utawezaje kusafiri?
MATAGA kwa hili umetaga

Hahahaa..... Brexit kukwama watu hawasafiri!
 
Trump nchi yake bado ina mgogoro wa wafanyakazi na May yuko kwenye issue ya kupitisha mpango wa Brexit Bungeni na mwisho JPM yuko na kikao na wachimbaji wa madini.

Proverb 3:5-6
Sawa kabisa yote ni muhimu kwa nchi husika!
 
Si unaenda hata na mtafasiri. Kwan lazima uijue hiyo kugha au wote waliopo pale wanaijua.

Chagua kusuka au kunyoa
Uliiona alivyoulizwa maswali Uganda mkuu sasa akiwa na mkalomani kipindi kitakua cha dakika ngapi unafikiri? Kitakua cha masaa mawili..
 
Ww bana upo mbali sana na World affairs!!
Bunge USA limeshindwa kukubaliana kupitisha bajeti ya kuendesha serikali,Bunge halijaipa hela serikali na hivyo serikali haina hela maafisa wake wengi hawajalipwa leo siku ya 32!Sasa utaondoka vipi USA na maafisa wako hawajalipwa mshahara kwa mwezi mzima?
UK ni matatizo pia ya kura ya Brexit yanamuendea vibaya sana PM May kakoswa juzi kuondolewa na Bunge madarakani na sasa anakutana na wapinzani kusawazisha uhasama huu!
Kwa hali hizi mbili hao viongozi wataendaje Davos?
Kwa nn JPM hayupo Davos wkt hali ya uchumi na kisiasa TZ ni shwari?

Sent from my iPhone using JamiiForums
Kwani huko hatuna balozi?
 
Dah nimeamini watu wanafiki sana enzi za ukereketwa Jakaya alibatizwa jina la popo kwa kupenda kuzurura angani na kupewa kila aina ya majina, leo tumekuja na inshu ya kujua kingereza, watanzania wengi wanaishi kinafiki hawana uwezo wa kujisimamia !!!
 
Back
Top Bottom