MakinikiA
JF-Expert Member
- Jun 7, 2017
- 5,315
- 7,137
Dunia inayumbishwa na mcheza mieleka,je umewahi kuangalia mieleka ile ya kina undertaker na wenzake,ile mikwara wanayopeana jukwaani hii ndio tabia na desturi aliyoirithi Trump kwa sababu yeye Trump amaewahi kuwa kwenye hiyo michezo.
Sasa mtu huyu kwa sasa ni kiongozi wa taifa moja kubwa sana ambalo ndio linaendesha dunia kwa sasa ,na kila kukicha dunia inayumbishwa na huyu mtu akilala leo akiamka kesho anakuja na jipya gumu kama mfupa .
Sasa kutokana na mataifa ya ulaya kupeleka jeshi kulinda kisiwa cha Greenland kisinyakuliwe na Bwana Trump ,yeye Trump akaona isiwe shida kuanza kupoteza risasi bure leo kaamka na vikwazo kwa nchi zote za Ulaya tena ambazo ni washirika wenzake wa NATO.
Kwenye mieleka unaweza kuona team moja ipo jukwaani wanatiana makonzi na watazamaji wanashangilia.