Trump mbele kwa mbele, nani atahama Marekani?

Trump mbele kwa mbele, nani atahama Marekani?

Vp ww utabaki mkuu maana Ushawekwa' mtu kati huku Magu na huko uncle Trump pote pachungu Afadhali urudi Shinyanga ukalime mpunga waiwai kabisa mvua hazjaanza
na nyumbani kwao stoo ya michembe imejaa,burger ya kisukuma
 
Asisahau kufanya ziara ya kushtukiza Magogoni mara baada ya kuapishwa aje kujifunza namna ya kutumbua majipu......
 
My brother monkey mgabu
Nakuomba ufunge mabegi kakaangu safari ya kurudi nyumbani ndio hiyoo inawadia
Mpe salam zangu na dada mange

Mi nipo poa kabisa na wala sina wasiwasi wowote ule.

USA baby!
 
Mmoja wa waliosema atahama ni Barack Obama, ahamie Kenya agombee ODM mwakani.
 
Asisahau kufanya ziara ya kushtukiza Magogoni mara baada ya kuapishwa aje kujifunza namna ya kutumbua majipu......
ishu ya zanzibar itazingua,na hivi mkulu hajui kimombo,sasa cha Trump cha kimarekani kabisa,duh!mwaka wa tabu
 
IMG-20161109-WA0061.jpg
 
Haya Bw. Donald J. Trump ndo rais mteule wa taifa bora kabisa duniani.

Kabla ya uchaguzi 'wajuvi' wa mambo walitabiri kuwa atagaragazwa vibaya mno na bibi Hillary Clinton.

Hata mi mwenyewe nilidhani kuwa atagaragazwa. Nilikosea sana kudhani hivyo.

Sasa kuna hawa maselebrite wa Marekani waliotoa matamshi kwamba eti Trump akichaguliwa basi wanahama kutoka Marekani kwenda kuishi nchi zingine.

Sidhani kama kweli walikuwa wanamaanisha walichokisema. Lakini ngoja tuone.

Nina hamu kubwa sana ya kuona kama kweli wataondoka Marekani. Nasema na wahame tuone basi😀.

USA baby....
Hao wamejishushia credibility ndani ya jamii wataonekana ni wanafiki sana wakiendelea kuwepo USA baby
 
Back
Top Bottom