Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,244
- 15,062
Wenye akili tushampuuza zaman huyo mzee.Leo kaja na mpya eti Iran kakubali masharti 15 Iran wakasema huyu dunia nzima wameisha muona hayuko sawa ghafla ka tweet Iran asipofungua Hormuz tapiga power station zote na visima vya mafuta hahaha kweli huyu kisha changanyikiwa hata USA wanasema akapimwe akili zake
Hapo alipokamatia Iran ni pabaya sana. hata mimi ningechanganyikiwa.Tumuombee tu maji yamedhidi Unga‼️
kibabu cha kilokole kilijua Iran sawa na Venezuela 😛😛
Makende?Tumuombee tu maji yamedhidi Unga‼️
kibabu cha kilokole kilijua Iran sawa na Venezuela 😛😛
Makende?Hapo alipokamatia Iran ni pabaya sana. hata mimi ningechanganyikiwa.
Ndiyo mkuu. Ni sehemu nyeti kweli.Makende?
Wamekosa sehemu za kushika?Ndiyo mkuu. Ni sehemu nyeti kweli.
Ni hatari Nchi kuwapa vizee vya above 65Leo kaja na mpya eti Iran kakubali masharti 15 Iran wakasema huyu dunia nzima wameisha muona hayuko sawa ghafla ka tweet Iran asipofungua Hormuz tapiga power station zote na visima vya mafuta hahaha kweli huyu kisha changanyikiwa hata USA wanasema akapimwe akili zake
Wameshika hapo ili maumivu yawe makali zaidi.Wamekosa sehemu za kushika?
Ni hatari kweli.Aibu kwa US.Leo kaja na mpya eti Iran kakubali masharti 15 Iran wakasema huyu dunia nzima wameisha muona hayuko sawa ghafla ka tweet Iran asipofungua Hormuz tapiga power station zote na visima vya mafuta hahaha kweli huyu kisha changanyikiwa hata USA wanasema akapimwe akili zake