Steve Rogers
JF-Expert Member
- Jun 20, 2026
- 405
- 782
Ni sahihi wauchukue tu tumewaachia.
Ila Trump!!😃😃🌕🇺🇸 “THE MOON IS OURS.”
View attachment 3665827marke
Donald Trump ameshangaza dunia baada ya kushiriki post yenye ujumbe unaodai kwamba Mwezi ni wa Marekani. 😳🚀
Lakini swali kubwa ni hili: Je, nchi inaweza kweli kumiliki Mwezi? 🌕⚖️ Kwa mujibu wa sheria za kimataifa za anga, hakuna taifa linaloruhusiwa kudai Mwezi kama eneo lake la kitaifa.
Hivyo, kauli hii imeibua mjadala mkubwa kuhusu mustakabali wa uchunguzi, rasilimali na nguvu za mataifa angani.
🚀🌌Je ni kweli Marekani inataka kutawala anga la baadaye, au hii ni kauli tu?
#BongoTech255 #TechNews #Future
Ndio yale, Israel ni wenzetu.Haaayaaa sasa waislamu muanze kulipia
Hata ukiwa wa Marekani haina maana yoyote kwetu
Muisrael hafanyi usumbufu wowote africa wala kuleta dini yake kufanya ugaidi ...tabia hiyo ya kutumia dini kuleta itikadi za kigaidi ni ya waarabu tena waislqmu.Ndio yale, Israel ni wenzetu.
Hata ardhi uliyojenga huko tegeta ni common heritage for mankind, inakuwaje huruhusu vichaa kuja kuishi kwako? inakuaje unailipia kodi ardhi ya Mungu?Ni common heritage of all mankind
Sasa itakuwaje wamiliki
Huyu Mzee Trump ana matatizo ya akili ingelifaa apimwe akili zake Hospitalini.🌕🇺🇸 “THE MOON IS OURS.”