Trump Impechment hearings Live

Nipo naangalia kupitia Al Jazeera. Hawa jamaa hawakati tamaa mpk leo na Trump? Ila hii ni kuonyesha jinsi wenzetu walivyo hatua mbele katika kushughulikia mambo vyombo vyote (mihimili ,hakuna uliojichimbia) vipo huru hakuna kuingiliana ukimess up kama kiongozi unaweza kushughulikiwa
 
Hapo ndiyo unaona umuhimu wa kuwa na strong institutions instead of strong leaders. Ukiwa na strong leader once anakufa nchi inakosa muelekeo kwa kuwa huyo leader alikuwa anafanya vitu toka kichwani mwake. Lakini kwenye strong institutions leader akifariki watakaofuata wanaendeleza kwa sababu kila kitu kiko documented. Sawa hapa tunaliona Bunge la USA chini ya Nancy Pelosi likifanya due process kwa uhuru bila kutishiwa.
 
Aah wapi, tukiondoa tuu CCM na kuunda katiba mpya iliyo na uwazi zaidi na kutokuwepo na mhimili au mtu aliyejichimbia zaidi basi yote yawezekana.
Tunaona South Africa wanavyompelekesha Rais wao akifanya makosa
Sahihi kabisa
 
Trump anawaangalia anacheeeka maana Senate haitabariki upuuzi wao
 
Wewee na hicho Kiingereza chako uchwara unakariri kariri tu maneno ya mitandaoni!

Eti witch hunt!!

Unajua hata maana yake?
Hao wote wameulizwa a very simply qn:In that conversation,Is there a quid pro quo?.Yote yanatizamana tu hakuna mwenye jibu..Total which hunt.
Nimetizama hiyo hearing yote,nimegundua ma democrats ni mapumbavu sana.How can you accuse the POTUS to a crime with no evidence...??
 
Unajua maana ya kukaa kimya? Sie kisheria ukikaa kimya inamaana jibu lake ni ndio, so kama waliulizwa hilo swali na mashahidi wakakaa kimya basi tafsiri yake wameagree so usijifanye mjuaje subiri maamuzi ya mwisho.
 
Hakuna kitu kama hicho,kisheria lazima ujibu na kutoa ushahidi kisheria,yaani unataka kumuondoa Rais wa nchi makarakani kwa kutumia hearsay?? ,What a stupidity.
 
Unajua maana ya kukaa kimya? Sie kisheria ukikaa kimya inamaana jibu lake ni ndio, so kama waliulizwa hilo swali na mashahidi wakakaa kimya basi tafsiri yake wameagree so usijifanye mjuaje subiri maamuzi ya mwisho.
Rais anaondolewamadarakani based on facts and vivid evidence.Sio ule ujinga ujinga wa Hearsay ma liberal wanaleta..Kuna mbunge mmoja democrats juzi anasema kwamba eti Hearsay inaweza kutumika kama fact kisheria...What a stupidity,hata kama sijui sheria,hakuna kitu kama hicho.
 
Donald Trump ndio raisi pekee asiyetokana na familia mbili tajiri za marekani ambazo huamua nani awe raisi,Rothschild &Rockefeller (Kingmakers).Anapata tabu sana kuongoza kwa kukataa kulamba viatu Vya hao mabwana.Trump anapendwa sana na wananchi wa marekani,ndio kinachomuweka hapo kwenye kiti cha uraisi!
 
Back
Top Bottom