Trump huyu kiboko

Na si wajinga tu. Ni wajinga na wapuumbavu kabisa.
 
Sisi haijalishi aseme au asiseme..tunachojadili apa ni point zilizopo kwenye huu ujumbe...ambaye unasema trump hajasema kanusha huu ujumbe pia kuwa hauna ukweli kwakuwa hajasema trump....apa point n kweli au si kweli.
 
Trump hana uwezo wa kutawala africa nzima ila kwa baadhi ya nchi
 
Nadhani dunia imempata mtu sahihi anayeweza kuwapasha watawala wa afrika bila woga. Uchu wa madaraka ukihanikizwa na msaada wa vyombo vya dola umewatesa sana wanyonge afrika
 
Mkuu hapa huyu jamaa anatuzingua tu, nche yake yeye sio mwanachama
 
Na minyama yote hiyio unazani utapata mpenzi kweli?? na wewe najua ni mvivu hata kunyanyua paja juu ni shida kweli pole sana we mapenzin utayasikia kwenye bomba tuu.
Hapa ndio uwaga na feel unhappy kukosa loan kwa ajili ya kuwaongea wanyanyua miguu ka wewe yani dah ngoja nikope tu nisipoteze wakati ...
BACK TO TOPIC:strong message from first to last word but mleta topic ni muongo Trump ajaongelea hayo since he become President-elected.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…