Kama wewe ni MJINGA ila ukajitangaza wewe una akili hakuna mtu atakusaidia kufuta ujinga wako na Kama wewe ni maskini lakini ukajifanya tajiri hakuna atakayekusaidia kuondoa umaskini ukiwa mgonjwa lazima umueleze daktari ukweli halisi kuhusu ugonjwa wako ukificha kifo kitakuumbua. Ujinga na ubadhirifu wa baadhi ya viongozi wa kiafrica usipoanikwa wazi wazi wataendelea kutunyonya bora kila mtu awajue labda wanaweza (Trump) kutusaidia to get rid of themSijui kama umesoma vizuri. Kuna sehemu nimesema tunaficha maradhi? Kwenye post niliandika instead yakujitangaza kama wewe nimjinga, fanya juhudi usiwe mjinga.
Kama mtu kaniita masikini, siwezi kutoka nikajitangaza mimi ni masikini, instead nitakaa kimya niwaze jinsi ya kutoka kwenye umasikini. Najua watu wanaona mimi masiki, sitaki kuweka mawazo kuwa sitokuwa tajiri. Watanzania wenzangu, mnashabikia maneno ya Trump, hata kama ni kweli, kwanini tuyarudie?? Let's work on ourselves atuone masters instead of slaves
Ey, huu ni mtazamo wangu tu.
-callmeGhost
Are you really sure? Nikikuwekea clip utasemaje zaidi??Trump hajawahi kusema hayo maneno.
Sijui kama umesoma vizuri. Kuna sehemu nimesema tunaficha maradhi? Kwenye post niliandika instead yakujitangaza kama wewe nimjinga, fanya juhudi usiwe mjinga.
Kama mtu kaniita masikini, siwezi kutoka nikajitangaza mimi ni masikini, instead nitakaa kimya niwaze jinsi ya kutoka kwenye umasikini. Najua watu wanaona mimi masiki, sitaki kuweka mawazo kuwa sitokuwa tajiri. Watanzania wenzangu, mnashabikia maneno ya Trump, hata kama ni kweli, kwanini tuyarudie?? Let's work on ourselves atuone masters instead of slaves
Ey, huu ni mtazamo wangu tu.
-callmeGhost
MugabeIt is shameful for African leaders seek to exist from ICC,In my view."these leaders want to have all the freedom on to oppress their poor people without anyone asking them a question "
Fantastic speech...
Hapa hakuna kiongozi Wa Africa anayeweza sogea kujibu kama yupo ni yule aliyejitoa ufahamu.....
Are you really sure? Nikikuwekea clip utasemaje zaidi??
siwezi kuwa objective kwa wewe kunilazimisha niwe CCM sijawahi kuwa democrat wala republican hata wewe hujawaji labda hivyo usiniunganishe na vyama vya kiuchwara isee nimetoa hoja yangu kwa kuzingatia hiyo kauli ya huyo rais wa marekani usijaribu kunitoa kwenye track kabisa mkuu jielekeze kwenye mada Trump na hiyo kauli yake anahusiana vipi na CCM sasa?Kuna uongo wa aliyoyasema? Usilete UCCM, just be objective. Ni kuwa kasema ukweli. Kuna rais wa africa ambaye siyo Billionaire> Kuna rais wa africa ambaye siyo mwizi?
Kosa kubwa huyu kuwa Rais
we are poor because we are poor!Wala sio sababu ya trump ama yoyote yule!Kwa nini watu weusi walishindwa kuwatawala watu weupe? Kwa nini viongozi wa kiafrica wanakimbilua kujitoa ICC? Kwa nini viongozi wa Africa wanabadili katiba ili wabaki madarakani milele? Kwa Africa ni maskini wakati Ina rasilimali za kila aina!? Kwa nini viongozi wa Africa wa ajili mbili pia Mali ili hali raia walio wengi ni maskini?
UKIJIBU Hayo then unaweza kumshambulia Trump
Donald Trump: “There Is No Shortcut To Maturity, Africa Should Be recolonized.
Speaking yesterday in Nebraska, Trump said that Africans are slaves living like slaves in their own land yet they claim they are independent.
Trump was responding to a question by a South African journalist on whether he thinks African leaders were right to seek mass withdrawal from the Hague based International Criminal Court.
“It is shameful for African leaders to seek exit from ICC. In my view, these leaders want to have all the freedom to oppress their poor people without anyone asking them a question.
I think there is no shortcut to maturity and in my view, Africa should be recolonized because Africans are still under slavery. Look at how those African leaders change constitutions in their favour so that they can be life presidents.
They are all greedy and do not care about the common people” Said Trump
“When I saw them gang up against ICC yet they can’t even find an amicable solution for the ongoing quandary in Burundi, I thought to myself these people lack discipline and humane heart. They can’t lead by example.
The only thing they are interested in is accumulating wealth from poor tax payers. Before they think of exiting from ICC, they should first restore peace in Burundi and other war-torn countries rather than gathering like hyenas with the aim of finishing the poor people” Added Trump.
Truth hurts
Huyu ndo rais, wengine ni marahisiKosa kubwa huyu kuwa Rais
Hapana mkuu, hao ndo wale wale wanaomzushia quotes hadi Mugabe, ila maneno hayo hakusema Trump japo miafrika ukweli ndivyo tulivyo.Unaamini kabisa kuwa Trump ndo kasema hayo maneno?
Hakuna video yeyote inayoonyesha kuyasema hayo, hizo nadhani ni fitna tu za kisiasa,mkuu, Trump alishasema siku nyingi kuwa waafrika tunatakiwa tutawaliwe tena na wazungu maana tunachokiweza ni kufanya ngono na kucheza ngoma tu. alichokisema sasa ni kama marudio tu.
huyo ndiye Trump.
Donald Trump: “There Is No Shortcut To Maturity, Africa Should Be recolonized.
Speaking yesterday in Nebraska, Trump said that Africans are slaves living like slaves in their own land yet they claim they are independent.
Trump was responding to a question by a South African journalist on whether he thinks African leaders were right to seek mass withdrawal from the Hague based International Criminal Court.
“It is shameful for African leaders to seek exit from ICC. In my view, these leaders want to have all the freedom to oppress their poor people without anyone asking them a question.
I think there is no shortcut to maturity and in my view, Africa should be recolonized because Africans are still under slavery. Look at how those African leaders change constitutions in their favour so that they can be life presidents.
They are all greedy and do not care about the common people” Said Trump
“When I saw them gang up against ICC yet they can’t even find an amicable solution for the ongoing quandary in Burundi, I thought to myself these people lack discipline and humane heart. They can’t lead by example.
The only thing they are interested in is accumulating wealth from poor tax payers. Before they think of exiting from ICC, they should first restore peace in Burundi and other war-torn countries rather than gathering like hyenas with the aim of finishing the poor people” Added Trump.
Truth hurts
Trump anasingiziwa sio maneno yake,nimemuelewa hapa
'they gathering like hynes with the aim of finishing the poor people"hhaaaaa....
accumulating wealth from poor taxe payers
asante triumph...