samakinchanga
JF-Expert Member
- Aug 24, 2014
- 2,024
- 1,237
wapi natalia amtetee,nyani ngabu je
Democratic hawanaga hizo za kupiga piga kama republicanMi nafikiri Wamerikani watumie busara sana katika uchaguzi wa mwaka huu - wasipo mchagua Trump basi Amerika ijitayarishe kwa matukio ya kutisha popote Duniani yatayo sababishwa na mahamuzi hatarisi ya Hillary - sitashangaa kama term yake ya kwanza itakumbwa na WW3, Hillary ni bellicose mno labda mumewe amu-contain.
Kumbe siasa za kuchafuana tumeziiga kwa wanaoitwa mababa wa demokrasia, no wonder campaign zet zilizopita zilijaa mambo kama haya, Mara flani kajinyea Mara mwingine ana moyo bandia......nonsenseAkiongea katika mkutano wa kampeni zake zinazoendelea nchini marekani Mgombea wa Republican bwana Donald Trump amesema ana wasiwasi na mwonekano wa mgombea mwenzake wa Urais kupitia chama cha Democratic mama Clinton kuwa anatumia madawa ya kulevya hasa kwenye debate iliyopita alionekana kama mlevi na macho ya tofauti na Siku zote .
Na kuongeza uenda atakuwa anatumia madawa ya kulevya na alitumia kabla ya debate ile ya jumapili iliyopita
Vila vile amavishutumu vyombo vya habari kwa kumbeba na kutoripoti maovu yake anayoyafanya mpinzani wake.
Source : CNN
My take : jamaa maneno hayaishi tu kila Siku anakuja na jipya kama kawaida wacha tuone debate ya jumatano atafanya nini za ziada.