Trump has gone AWOL

Trump has gone AWOL

Sasa kama hiyo secret security code ya Trump inafahamika hadi JF. Kuna haja gani ya kuendelea kuwepo.
Likitoka tuu linakuwa-reliased to the public . Itakuwa halina haja ya usiri ila ni jina ambalo likitamkwa unatakiwa ujue ni nani anazungumziwa.

Mfano Barack Obama. Kutaja jina lake full ni kazi sana. Na ukisema Barack or Obama linaweza kuwa "ambiguous". Labda umtaje kwa full name ukianza na President.
Ila ukitumia "Renegade" ni "unambiguous" na lipo simple na inakuwa ni rahisi kujua ni nani anayezungumziwa.

PS, ninaweza nisiwe sahihi.
 
jamani tujue kabisa katika lugha ya kiingereza Kuna levels Kama; beginners,intermediate,experts na proficiency...... .....nadhani hadhira yake lengwa nihizo level za juu mbili
 
jamani tujue kabisa katika lugha ya kiingereza Kuna levels Kama; beginners,intermediate,experts na proficiency...... .....nadhani hadhira yake lengwa nihizo level za juu mbili

Umenena kweli tupu. Sisi level yetu ni HAPA KAZI TU!
 
Trumpet kavuliwa nguo, wale nyani wa Tanzania ambao walikimbilia kule wanagwaya maana waliaminisha kwamba Tanzania sio salama na hakuna ustaarabu wakati huko kunawaka moto. …. ''an agitated Trump encourages governers to use aggresive tactics on protesters.'' Khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Nyani Ngabu, karudi tena, vijana wa English medium wamebaki kuomba muongozo.
Anyway, atatoka tu, mbona wa kwetu naye alikwenda AWOL!
Mwisho, namsubiri Bia yetu
 
''Hasira za mkizi'' trumpet kafuta special status ya Hong Kong.
 
Unapoandika kwa kiingereza ndio tujue umesoma sana au? Kama lengo lako ni kufikisha ujumbe kwa watanzania je unahakika ulichoandika kimeeleweka kwa watanzania
tukiweka uzaramo pembeni;
1. huyu jamaa kiingereza anakijua bwana.....na nasikia ile lugha ukiifahamu basi ladha yake ipo katika kuitumia
2. nasikia kiingereza kinaeleza mengi kwa ufupi sana ukilinganisha na kiswahili (sina uhakika sababu sijui chochote)
3. ................
4..................
 
The clown has absolutely no clue about governance or leadership. He is a con-artist who knows only to incite tribalism. He has been AWOL before.
As for him resigning already, I doubt. He does not have the intellectual capacity to know that he cannot handle it.
 
''Strange'' is an understatement, the guy is an idiot, just got a place because of his bigotry. He managed to reach there as a conman rather than a leader. The Americans are paying the price now, how can a conman be a leader? Its strange to expect to harvest maize when you planted wheat ……… ...….. …… by the time the Americans get rid of him the economy of the USA will be on a wheelchair. We expect other monkeys oops other Nyani's to jump the ship as soon as possible. Khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
tukiweka uzaramo pembeni;
1. huyu jamaa kiingereza anakijua bwana.....na nasikia ile lugha ukiifahamu basi ladha yake ipo katika kuitumia
2. nasikia kiingereza kinaeleza mengi kwa ufupi sana ukilinganisha na kiswahili (sina uhakika sababu sijui chochote)
3. ................
4..................
Kweli kabisa na anaweza kingereza chote cha kwenye kamusi na cha mtaani. Mi pia alikuwaga ananiuzi ila nikaona ntakufa kwa kihoro maana kama ambavo huwezi kutajirika kwa kumchukia tajiri ndo huwezi kujua kingereza kwa kumchukia anaekijua
 
1591032764185.png



1591032830251.png


De Blasio considers NYC curfew and National Guard are put on standby
 
1591033133599.png

NYPD officers on Monday morning outside Chanel in New York City. More than 250 people were arrested in NYC on Sunday night

Vipi Corona imeisha?​
 
This is strange. So strange.

The POTUS has gone AWOL while his country is imploding.

The [peaceful] demonstrations and the riots are showing no signs of letting up, 6 days in now.

I am no constitutional scholar. Matter of fact, I’ve been told my education level is just the 12th grade [Form 4]. I’m fine with that.

However, I do understand a bit about the 10th amendment of the US Constitution.

By-golly, the silence at the top leadership of the US about what’s going on, is weird.

Optics matter. Even if one’s powers are limited by the constitution. Still, optics matter. He can’t even act like he is on top of it?

At a time when there’s so much precariousness, leadership is what is needed the most.

Talking to the nation and reassuring the people that you’ve got their back, can go a long way.

But instead of that, folks get tweets of mainly faux bravado.

He is cooped up in the White House bunker running his Twitter fingers blaming others and picking petty fights.

There’s a general election in November and he is doing all that he can to not get re-elected.

This is so bizarre. Dereliction of duty of the highest order.

Maybe the guy has resigned already and they’re are figuring out how to relay it to people...


Otherwise, how do you explain the silence and the inaction?

I reckon any other president would have been ten toes down in projecting calm, showing leadership, giving people hope, and reassuring them that things will be better for every citizen of the US. That’s not what’s happening.

Maybe there’s some political calculus behind this lack of leadership. Maybe there’s. Maybe.

I am astonished!

Keisha Lance-Bottoms for President....
I've been asking myself, what is real going on in his head?. These are the times when leadership is needed the most, people need answers, they need someone to guide them out of the situation/frustrations.

Yet, he keeps on tweeting all day long.
 
Back
Top Bottom