Shark's Style
JF-Expert Member
- Oct 27, 2010
- 312
- 183
POTUS = Trump secret service code name
Imploding ni kinyume cha exploding
Mengine atasema mwenyewe
Imploding ni kinyume cha exploding
Mengine atasema mwenyewe
Hahahaaa,, tafuta jirani yako mpemba akutafsirie mkuu!Sisi wazaramo tuna comment wapi ?
Kasema hapo kuwa kaishia form IVUnapoandika kwa kiingereza ndio tujue umesoma sana au? Kama lengo lako ni kufikisha ujumbe kwa watanzania je unahakika ulichoandika kimeeleweka kwa watanzania
Tatizo sio kutumia kiingereza bali aina ya kiingereza alichotumia!Unapoandika kwa kiingereza ndio tujue umesoma sana au? Kama lengo lako ni kufikisha ujumbe kwa watanzania je unahakika ulichoandika kimeeleweka kwa watanzania
President Of the United StatezPOTUS = Trump secret service code name
Imploding ni kinyume cha exploding
Mengine atasema mwenyewe
Hehehe wee jamaa bwege sana ujue[emoji23][emoji23][emoji23]Japokuwa nakijua kiingereza lakini hata sijasumbuka kusoma. Mtu nna njaa halafu eti nijihangaishe kusoma, na kutafsiri maneno ya kiingereza kuwa ya kiswahili, kwakweli hapana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wamarekani wetu wa jf mnasifa sana!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kasema hapo kuwa kaishia form IV
acha bwana, anamzungumzia jiwe wao kuwa kajificha....Cc: kabanga
Kiranga
Karucee
Paula Paul
Depal.....et al.
Nitafunieni kidogo tafadhali, hii level imenizidi umri na kimo[emoji849]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani lazima ujibu wewe plz heshimu wenzako sio kila mtu anauwezo wa kuandika kiswahili.....Unapoandika kwa kiingereza ndio tujue umesoma sana au? Kama lengo lako ni kufikisha ujumbe kwa watanzania je unahakika ulichoandika kimeeleweka kwa watanzania
nani wao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji2]acha bwana, anamzungumzia jiwe wao kuwa kajificha....
[emoji23][emoji23][emoji23]acha bwana, anamzungumzia jiwe wao kuwa kajificha....
Shukurani[emoji23][emoji23][emoji23]
Mzee wa maneno machache shukrani
Ngoja na mimi niseme "sawa"
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapi Waseme pamesumbua?Cc: kabanga
Kiranga
Karucee
Paula Paul
Depal.....et al.
Nitafunieni kidogo tafadhali, hii level imenizidi umri na kimo[emoji849]
Sent using Jamii Forums mobile app
Jiwe wao....nani wao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji2]