Trump has gone AWOL

Trump has gone AWOL

Wapi Waseme pamesumbua?
Hizi sentensi zina vocabulary ngeni kwangu:-

The POTUS has gone AWOL while his country is imploding.

By-golly, the silence at the top leadership of the US about what’s going on, is weird.

But instead of that, folks get tweets of mainly faux bravado.

This is so bizarre. Dereliction of duty of the highest order.

I am astonished!
 
TRY TO MAKE IT IN SIMPLE ENGLISH!

The POTUS
AWOL
imploding.
By-golly,
cooped
political calculus

I am astonished!

Keisha Lance-Bottoms for President... WHO IS THIS?
Kwa kawaida watu wenye uelewa finyu ndio hupenda ku complicate issues, wale wako na uelewa mpana tend to simplify issues.
 
Aisee!!..huenda yupo anajipanga na punde anaweza kuibuka na 'plan B' ya kumaliza hayo maandamano ya ghasia.
 
Hizi sentensi zina vocabulary ngeni kwangu:-

The POTUS has gone AWOL while his country is imploding.

By-golly, the silence at the top leadership of the US about what’s going on, is weird.

But instead of that, folks get tweets of mainly faux bravado.

This is so bizarre. Dereliction of duty of the highest order.

I am astonished!

Sent using Jamii Forums mobile app

POTUS Ni kifupisho President Of The US.
AWOL ni kama kuwa nje ya eneo unalotakiwa kuwepo bila ruhusa.
By-golly ni kama mshangao kama jeez!! Yikes!
Folks ni watu au kikundi fulani cha watu.

Bizarre ni inatisha au isiyokawaida.

Naweza kuwa sijatumia kiswahili sahihi lakini maana zake hazichezi mbali na hapo.
 
Thanks darling...
Hiyo faux bravado???
 
Thanks darling...
Hiyo faux bravado???

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeshindwa kuitafsiri kwa kiswahili. Mimi mwenyewe najifunza.

Ila bravado ni a show of bravery, esp. when unnecessary and dangerous, to make people admire you. (C&P)

Faux ni ku-fake kuufanya uongo uonekane kama ukweli.
Sasa unganisha faux ni adjective na bravado ni noun. Utapata maana yake.
 
Nimeshindwa kuitafsiri kwa kiswahili. Mimi mwenyewe najifunza.

Ila bravado ni a show of bravery, esp. when unnecessary and dangerous, to make people admire you. (C&P)

Faux ni ku-fake kuufanya uongo uonekane ukweli.
Sasa unganisha faux ni adjective na bravado ni noun. Utapata maana yake.
Okay nimekupata vyema
Asante mpenzi, nimepata kitu kipya leo
 
hata mimi ningekua Trump ningenyamaza tuu..hii ni senstive issue ambayo imegusa wengi,kuna mauaji ya weusi yaliyogusa watu but in my opinion hili la huyu Floyd limekua kubwa kuliko nyingine,any decision kutumia nguvu ni ku escalate mambo,ukinyamaza maneno,ukifanya action maneno...wamakonde...ukisimama nchale,ukikaa nchale..lol
 
Nimeshindwa kuitafsiri kwa kiswahili. Mimi mwenyewe najifunza.

Ila bravado ni a show of bravery, esp. when unnecessary and dangerous, to make people admire you. (C&P)

Faux ni ku-fake kuufanya uongo uonekane kama ukweli.
Sasa unganisha faux ni adjective na bravado ni noun. Utapata maana yake.
Mkuu wewe ni kati wenye mioyo mikunjufu sana, ubarikiwe.
 
Sasa kama hiyo secret security code ya Trump inafahamika hadi JF. Kuna haja gani ya kuendelea kuwepo.

Code ni neno linalotumika kurahisisha mawasiliano, sio lazima lisijulikane na wengine. Kujua jina analotumia haiondoi usalama wake, vitu basic kuhusu usalama wa Marekani huwa vipo wazi tu, hadi pale kinapofikia ngazi fulani ya usiri ndipo kinaanza kufichwa kwa kufuata daraja la mwanausalama
 
Code ni neno linalotumika kurahisisha mawasiliano, sio lazima lisijulikane na wengine. Kujua jina analotumia haiondoi usalama wake, vitu basic kuhusu usalama wa marekani huwa vipo wazi tu, hadi pale kinapofikia ngazi fulani ya usiri ndipo kinaanza kufichwa kwa kufuata daraja la mwanausalama
Hapo sawa mkuu , nimekupata.
 
Back
Top Bottom