TRUE TANZANIAN
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 433
- 472
Donald Trumph anakubalika Marekani na ndio maana kawabwaga vigogo wenzake! Marekani sio bongo yetu mtu hutakiwi na viongozi wako lkn wananchi wanakukubali wanakukatia juu kwa juu. Pale ndo kitovu cha demokrasia ilipo. Yetu macho na masikio ngoja tusubiri tuone je Trumph ataingia white house!!