Trump atashinda Uchaguzi USA

Trump atashinda Uchaguzi USA

Mtazamo sorry.... I'm not that simple...

But seriously nilitaka kujua ni kweli wewe KE? Samahani Kama nitakukwaza.
Nimekusoma mkuu wangu. Tupige siasa tuachane na personal attack. Tuzungumzie maswala (issues) tuachane na mambo binafsi kama ya Dr Slaa na familia yake. Hutonisikia nikikebehi maisha binafsi ya mtu na familia yake sababu ya chuki za kisiasa. Mafisadi hao hao ndio mabosi wetu, ndugu zetu, rafiki zetu n.k hivyo kwenye maswala tutapishana lakini misiba, furaha n.k tunashirikiana. Sipendezwi na matusi ya kudhalilishana iwe ni kwa mwana CCM au Chadema.
 
Hii ishu ni ngumu na haitaki hasira. Siasa ni mchezo na unachezwa kijanja, subiri upepo utakavyo chezewa. Jamaa ni smart sana kwa namna anavyomfunika mwanamama kwa kuviteka vyombo vya habari. Kumbuka uchaguzi huu utakuwa uchaguzi wa kwenye mitandao na watu wengi katika zama hizi wanashinda mitandaoni.
 
Kwa mara ya kwanza mwanamke aongoze nchi ama tuone maajabu hadi dunia itaonja joto ya jiwe
 
Najiuliza hiv akiwa rais ataendelea kutumia ndege yake binafsi Boeng yakifahari au atatumia air force 1.
Hata kama atatumia Boeing yake itaitwa Air Force one. Air Force 1 ni calling sign ya ndege ambamo ndani yake yupo rais wa USA kwa wakati husika (hata ikiwa ni 5H-ONE ya uncle Magu).
Ila kisheria kwa kazi za kiserikali lazima atatumia ile modified B747 atakayoiacha Obama.
 
Nimekusoma mkuu wangu. Tupige siasa tuachane na personal attack. Tuzungumzie maswala (issues) tuachane na mambo binafsi kama ya Dr Slaa na familia yake. Hutonisikia nikikebehi maisha binafsi ya mtu na familia yake sababu ya chuki za kisiasa. Mafisadi hao hao ndio mabosi wetu, ndugu zetu, rafiki zetu n.k hivyo kwenye maswala tutapishana lakini misiba, furaha n.k tunashirikiana. Sipendezwi na matusi ya kudhalilishana iwe ni kwa mwana CCM au Chadema.

hujajibu swali la lusungo.....

kumbe wewe mabosi wako ni mafisadi...si ajabu

mlivokuwa mnafanya personal attack kwa lowasa mlidhani yeye haumii
 
Ingawa maneno yangu hayawezi kuchagua POTUS, ila nitafurahi sana kama D. Trump atachukua nchi. Ila Crooked Hilary na Goofy Elizabeth Warren, mmmhn. Wakichukua hawa nitahuzunika sana!!!
Itakuwa double defeat kwangu in 2 years consequently.
What's goofy about Elizabeth Warren? Au kwa vile tu Trump kasema. In fact Elizabeth Warren ndiyo hasa mtu ambaye angefaa sana.
 
Wapiga kura za primaries ndio wapiga kura wakati wa Uchaguzi, hivyo Trump anaweza kushinda hata bila ya back up ya akina Bush.
Jeb Bush alikuwa mgombea na alishindwa vibaya, ni wazi kuwa Bush family haina influence ya kuamua nani awe mgombea wa Republican.
Raia wengi wanamkubali jamaa kwa sababu hana muda wa kumung'unya maneno.
Picha halisi ni hivi: (1) Kuna wapiga wa kura Republican walioonesha kumtaka Trump awe mgombea wa chama hicho. Huko ndiko kwenye kelele nyingi kiasi kwamba kwa wale wasiofuatilia habari kwa makini ndiyo wanafikiri basi kashinda kwa majority ya Wamarekani. Sivyo kabisa. (2) Kuna wapiga kura wa Democratic party ambao wanaelekea kumpendelea Hillary Clinton awe mgombea wa Democratic party. Kumbuka kwamba Trump na Clinton hawajapambanishwa kwa kura bado. (3) Kuna wapiga kura wasiofungamana na chama chochote kati ya hivyo viwili.
Unaposema hamung'unyi maneno, kwa kiasi fulani ni ukweli. The problem ni maneno mabaya. Ukiona mtu anagombea nafasi ya juu ya nchi halafu hamung'unyi maneno na kumwaga matusi ya nguoni kwa sababu hajampenda mtu fulani, huyo ni bozo hafai kwa ofisi hiyo. Msikilize vizuri, usirukie tu kwa sababu mtu mwingine kamsifia kwenye kijiwe. Soma habari zake. Sidhani kama ukipata habari zake zaidi kama utamshabikia hivyo.
Fact nyingine: Wapiga kura wa primaries kwa kawaida ni wachache zaidi ya wapiga kura wa general election.
Narudia utabiri wangu: Kwa mujibu wa mambo niyaonavyo hapa, Trump hawezi kushinda labda utokee muujiza. Hata kwa watu wa kawaida, Trump hakubaliki. Anakubalika miongoni mwa wapenda ubaguzi. Hao ndiyo walihamasika sana katika primaries. Come November, it's going to be a whole new story.
 
Wanaompinga Trump ni insiders wa Republican party, wakat wananchi wa kawaida wanamkubali na ndio maana ameshinda primary election, Masons wote wanaungana against him
 
Picha halisi ni hivi: (1) Kuna wapiga wa kura Republican walioonesha kumtaka Trump awe mgombea wa chama hicho. Huko ndiko kwenye kelele nyingi kiasi kwamba kwa wale wasiofuatilia habari kwa makini ndiyo wanafikiri basi kashinda kwa majority ya Wamarekani. Sivyo kabisa. (2) Kuna wapiga kura wa Democratic party ambao wanaelekea kumpendelea Hillary Clinton awe mgombea wa Democratic party. Kumbuka kwamba Trump na Clinton hawajapambanishwa kwa kura bado. (3) Kuna wapiga kura wasiofungamana na chama chochote kati ya hivyo viwili.
Unaposema hamung'unyi maneno, kwa kiasi fulani ni ukweli. The problem ni maneno mabaya. Ukiona mtu anagombea nafasi ya juu ya nchi halafu hamung'unyi maneno na kumwaga matusi ya nguoni kwa sababu hajampenda mtu fulani, huyo ni bozo hafai kwa ofisi hiyo. Msikilize vizuri, usirukie tu kwa sababu mtu mwingine kamsifia kwenye kijiwe. Soma habari zake. Sidhani kama ukipata habari zake zaidi kama utamshabikia hivyo.
Fact nyingine: Wapiga kura wa primaries kwa kawaida ni wachache zaidi ya wapiga kura wa general election.
Narudia utabiri wangu: Kwa mujibu wa mambo niyaonavyo hapa, Trump hawezi kushinda labda utokee muujiza. Hata kwa watu wa kawaida, Trump hakubaliki. Anakubalika miongoni mwa wapenda ubaguzi. Hao ndiyo walihamasika sana katika primaries. Come November, it's going to be a whole new story.

" Msikilize kwa makini, usirukie tu kwa sababu mtu fulani amemsifia kijiweni"

"sidhani Kama ukipata Habari zake zaidi utamshabikia hivyo"

That's absurd....

This is an open forum, you can argue anyhow you like without making unfounded propositions.
 
Je Seneta John McCain naye ametoa msimamo gani mpaka sasa juu ya Trump?
McCain amesema mawili. Kwanza amemtaka Trump awatake radhi wote waliotekwa vitani kama yeye. Maana katika matusi aliyomwaga hapo mwanzo,Trump aliwaponda sana na kudai watu kama McCain si mashujaa. Wamepata tu umaarufu kwa sababu walitekwa. Naye anapendelea wale ambao hawakutekwa. Amesema kabisa hicho ni kikwazo kikubwa kwa upande wake. Pili, McCain amesema pamoja na hayo inawezekana kumuunga mkono Trump. Nimeisoma hii inaonekana ilitoka kwa shingo upande sana.
 
Picha halisi ni hivi: (1) Kuna wapiga wa kura Republican walioonesha kumtaka Trump awe mgombea wa chama hicho. Huko ndiko kwenye kelele nyingi kiasi kwamba kwa wale wasiofuatilia habari kwa makini ndiyo wanafikiri basi kashinda kwa majority ya Wamarekani. Sivyo kabisa. (2) Kuna wapiga kura wa Democratic party ambao wanaelekea kumpendelea Hillary Clinton awe mgombea wa Democratic party. Kumbuka kwamba Trump na Clinton hawajapambanishwa kwa kura bado. (3) Kuna wapiga kura wasiofungamana na chama chochote kati ya hivyo viwili.
Unaposema hamung'unyi maneno, kwa kiasi fulani ni ukweli. The problem ni maneno mabaya. Ukiona mtu anagombea nafasi ya juu ya nchi halafu hamung'unyi maneno na kumwaga matusi ya nguoni kwa sababu hajampenda mtu fulani, huyo ni bozo hafai kwa ofisi hiyo. Msikilize vizuri, usirukie tu kwa sababu mtu mwingine kamsifia kwenye kijiwe. Soma habari zake. Sidhani kama ukipata habari zake zaidi kama utamshabikia hivyo.
Fact nyingine: Wapiga kura wa primaries kwa kawaida ni wachache zaidi ya wapiga kura wa general election.
Narudia utabiri wangu: Kwa mujibu wa mambo niyaonavyo hapa, Trump hawezi kushinda labda utokee muujiza. Hata kwa watu wa kawaida, Trump hakubaliki. Anakubalika miongoni mwa wapenda ubaguzi. Hao ndiyo walihamasika sana katika primaries. Come November, it's going to be a whole new story.
Kule marekani kuna kitu kinaitwa power of media, kuna uwezekano mkubwa media za marekani zikaelemea upande wa Trump. Kama media zitaelekea upande wa Trump basi lazima jamaa ataichukua nchi!
 
Na hapo ndiyo unafiki wake unapojidhihirisha zaidi. Ktk tweet yake ya hiyo cinco de mayo, amesema " I love Hispanics". Kama mtakumbuka mwaka jana alianza kampeni zake kwa kudai watu hao hao ni rapists, criminals,... and some are good people.... leo kageuza. The guy is a horrible snake. His ego is yuuuuge (huge)!!!
 
" Msikilize kwa makini, usirukie tu kwa sababu mtu fulani amemsifia kijiweni"

"sidhani Kama ukipata Habari zake zaidi utamshabikia hivyo"

That's absurd....

This is an open forum, you can argue anyhow you like without making unfounded propositions.
An open forum indeed. Did I say anybody should not air their opinion? I presented my opinion.
Unfounded propositions, eh? You too are entitled to your opinion about this. But I assure you, they are very well founded. I have studied this guy for a while now.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom