Bolshevick
JF-Expert Member
- Sep 2, 2013
- 355
- 247
- Thread starter
- #41
Nyani Ngabu yeye alishajisemea ukweli kuwa kila alichofikiri au alichotaka kiwe kwa Trump imekua tofauti yaani anatusua tu, so ameamua kukubaliana na hali halisi.
itachukua miaka 1000 USA kuja kuongozwa na mwanamke.mwanamke kuaongoza USA ni ndoto za alinacha
Kumbe mate na mapivu yote yanayomtoka hapa ni kilio cha wivu?mkuu humjui first lady anayekula mihogo?
Anapata sapoti ya watu ila kuna kundi ninajiita establishment kwa bongo ndio kama wakina Makamba, Msekwa, JK, wale wanaojifanya chama cha kwao ndio ambao wanampinga na sababu ni kuwa jamaa akiingia watakosa nguvu ya kimaamuzi katika chama!kama wanachama hawamtaki hizo kura anazopata zinatoka wapi?!
Wengine wanaiba wake za watu wanaenda kufunga nao ndoa canada kweli elimu elimu elimuHahaha ....bora huko wana akili ....huku kwetu gia zilibadilishiwa angani na watu wakakubali kuzungurusha mikono ...wengine na barabara wakadeki ....kweli elimu, elimu, elimu ....
Jibu swali uliloulizwa la mumeo hajambo? Sio kujifanya kuwa watu hawajui ndoa yako pale canadaDah ...kuna watu wanaweza kuandika mizaha kama hii nisiwajibu ...ila anapoandika mtu unayefikiri si "wale" ...inafikirisha kidogo ...
Correction: Anakubalika katika Republican Party si kwa majority ya Wamarekani. Usichukulie kupita kwake katika Republican party kuwa ndiyo anakubalika na majority ya Wamarekani. Kumbuka atapambana na Democrats ambao wana mgombea wao. Hawa wa Democtratic party hawakuhusika na kumchagua Trump. Halafu kuna Independents ambao hawako katika makundi hayo mawili. Establishment ya Republican party inajua kabisa kwamba katika hayo makundi mawili hakubaliki kabisa.Donald Trumph anakubalika Marekani na ndio maana kawabwaga vigogo wenzake! Marekani sio bongo yetu mtu hutakiwi na viongozi wako lkn wananchi wanakukubali wanakukatia juu kwa juu. Pale ndo kitovu cha demokrasia ilipo. Yetu macho na masikio ngoja tusubiri tuone je Trumph ataingia white house!!
Atarekebishaje? Kwanza hana hata habari kwamba nini kinatokea huko. The guy is so ignorant, it is amazing.mwache ashinde aje atulekebishie mafyatu yetu huku
YANAYOENDELEA REPUBLICAN BAADA YA TRUMP KUKOSA WA KUMZUIA.(JAMAA WANADHIHIRISHA DEMOCRACY HAPA TZ WANAKUKATA JUU KWA KWAJU NA KUMUWEKA WAO)
Na:Joseph Mshinga.
1.Wapinzani wa Donald Trump wamejitoa wote baada ya matumaini yao kumzuia kushindikana.
2.Hakuna namna tena ya kumzuia billionea Donald Trump kuwa mgombea urais wa Republican.
3.Chama cha Republican kinashuhudia mgawanyiko na mpasuko mkuwa kabisa kuwahi kutokea kuliko wakati mwingine wowote.
3.Wanachama wa Republican wameonekana kuchoma moto kadi zao za uachama kama hasra zao kwa mgombea ambaye hawamtaki.
4.Wapo wanaosema hawatashiriki kabisa kupiga kura uchaguzi mkuu kwa kuwa Donald Trump hawamtaki na hawawezi kumpigia kura Hillary Clinton.Wapo ambao wanajiondoa katika chama.
5.Wapo wanaosema watalazimika kumchagua Hillary Clinton maana hawako tayari kuona Donald Trump anakuwa Rais wa Marekani.
6.Wapo wanaoona ni bora tu wakubaliane na hali na kumuunga mkono mtu ambaye hawamtaki kwa manufaa ya chama.
7.Aliyekuwa Rais wa 41 wa Marekani George H.W Bush mwenye umri wa miaka 91 amesema atajiweka kando katika uchaguzi huu na hana mpango wa kumuunga mkono Donald Trump.
hii ni mara ya kwanza kwa George H.W Bush kutomuunga mkono mgombea wa chama chake cha Republican katika chaguzi zote.
8.Aliyekuwa rais wa 43 wa Marekani George W Bush(Junior ) naye amesema atajiweka kando katika uchaguzi huu na hatamuunga mkono Donald Trump.
NB:Marais wastaafu wa Republican walio hai ni hawa Bush wawili kwa maana ya baba na mwana.
9.Aliyekuwa mgombea Urais wa Republican 2012 Mitty Romney amesema hatamuunga mkono Donald Trump na ameenda mbali zaidi kwa kusema kuwa hata kwenye mkutano mkuu wa kumtanganza mgombea pale Cleveland hatashiriki.
10.Aliyekuwa mgombea Urais wa Republican 2008 John McCain naye yupo mbioni kutoa taarifa rasmi.Taarifa za awali zinadokeza kuwa naye atachukua msimamo wa kutomuunga mkono Donald Trump na atajiweka kando katika uchaguzi huu.
11.Matajiri wapenzi wa chama nao wamegawanyika kama ilivyo hapo juu kwa makundi mengine wapo ambao wameonekana tayari kumuunga mkono Hillary Clinton kwa kuandika hadharani kauli mbiu ya Hillary Clinton I AM WITH HER (wakimaanisha wanamuunga mkono Hillary Clinton na si mgombea wa chama chao).
Joseph Mshinga.
Wapiga kura za primaries ndio wapiga kura wakati wa Uchaguzi, hivyo Trump anaweza kushinda hata bila ya back up ya akina Bush.kama wanachama hawamtaki hizo kura anazopata zinatoka wapi?!
You are dreaming. Winning the Republican nomination and winning the general election are two totally different things.
Trump is not going to win the general election.
Usifikiri Wamarekani wana akili za kupandikiza kama unavyofikiri. Hao uliowataja hawafiki hata 20 na waliomchagua wengi wana hekima kuliko hata huo ukoo wa Bush.YANAYOENDELEA REPUBLICAN BAADA YA TRUMP KUKOSA WA KUMZUIA.(JAMAA WANADHIHIRISHA DEMOCRACY HAPA TZ WANAKUKATA JUU KWA KWAJU NA KUMUWEKA WAO)
Na:Joseph Mshinga.
1.Wapinzani wa Donald Trump wamejitoa wote baada ya matumaini yao kumzuia kushindikana.
2.Hakuna namna tena ya kumzuia billionea Donald Trump kuwa mgombea urais wa Republican.
3.Chama cha Republican kinashuhudia mgawanyiko na mpasuko mkuwa kabisa kuwahi kutokea kuliko wakati mwingine wowote.
3.Wanachama wa Republican wameonekana kuchoma moto kadi zao za uachama kama hasra zao kwa mgombea ambaye hawamtaki.
4.Wapo wanaosema hawatashiriki kabisa kupiga kura uchaguzi mkuu kwa kuwa Donald Trump hawamtaki na hawawezi kumpigia kura Hillary Clinton.Wapo ambao wanajiondoa katika chama.
5.Wapo wanaosema watalazimika kumchagua Hillary Clinton maana hawako tayari kuona Donald Trump anakuwa Rais wa Marekani.
6.Wapo wanaoona ni bora tu wakubaliane na hali na kumuunga mkono mtu ambaye hawamtaki kwa manufaa ya chama.
7.Aliyekuwa Rais wa 41 wa Marekani George H.W Bush mwenye umri wa miaka 91 amesema atajiweka kando katika uchaguzi huu na hana mpango wa kumuunga mkono Donald Trump.
hii ni mara ya kwanza kwa George H.W Bush kutomuunga mkono mgombea wa chama chake cha Republican katika chaguzi zote.
8.Aliyekuwa rais wa 43 wa Marekani George W Bush(Junior ) naye amesema atajiweka kando katika uchaguzi huu na hatamuunga mkono Donald Trump.
NB:Marais wastaafu wa Republican walio hai ni hawa Bush wawili kwa maana ya baba na mwana.
9.Aliyekuwa mgombea Urais wa Republican 2012 Mitty Romney amesema hatamuunga mkono Donald Trump na ameenda mbali zaidi kwa kusema kuwa hata kwenye mkutano mkuu wa kumtanganza mgombea pale Cleveland hatashiriki.
10.Aliyekuwa mgombea Urais wa Republican 2008 John McCain naye yupo mbioni kutoa taarifa rasmi.Taarifa za awali zinadokeza kuwa naye atachukua msimamo wa kutomuunga mkono Donald Trump na atajiweka kando katika uchaguzi huu.
11.Matajiri wapenzi wa chama nao wamegawanyika kama ilivyo hapo juu kwa makundi mengine wapo ambao wameonekana tayari kumuunga mkono Hillary Clinton kwa kuandika hadharani kauli mbiu ya Hillary Clinton I AM WITH HER (wakimaanisha wanamuunga mkono Hillary Clinton na si mgombea wa chama chao).
Joseph Mshinga.
Unajua dalili za kuelekea kuwa punga? Soon utakuwa mtoto wa watu ...mkuu humjui first lady anayekula mihogo?
Kumbe mate na mapivu yote yanayomtoka hapa ni kilio cha wivu?
Mnatafuta mimba za kiangazi?Jibu swali uliloulizwa la mumeo hajambo? Sio kujifanya kuwa watu hawajui ndoa yako pale canada