Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 23,410
- 36,560
Duuh meibii.......
Si mchambuzi tu bali pia mimi ni tajiri niliyewekeza nchi kadhaa dunianiHauna uchambuzi wowote wa maana. Bora uendelee kupiga picha za madiwani 15 wa Chadema nchi nzima na uwe unazileta hapa jinsi wanavyochapa kazi, labda hiyo utaweza. Siasa za kimataifa achana nazo , huzijui. Huwezi kuwa mshabiki wa CHADEMA na bado ukawa mtaalam wa kuchambua siasa za kimataifa.
Sasa wewe kapuku unayetumia VPN ya kuazima kulisifu jiwe lililoondoa mitandao na mimi ninayeingia mitandao kwa kujitegemea ni yupi anayekoma?Si wewe? Mandumilakuwili mtakoma awamu hii
Ndugu yangu siasa za CHADEMA na mihemuko uliyoonesha imekufanya usiwe mtu wa kuaminika katika jamii ya wakweli. Nahurumia huo uwekezaji wako kama kweli upo.Si mchambuzi tu bali pia mimi ni tajiri niliyewekeza nchi kadhaa duniani
Kwenye hii ishu ya Demokrasia Marekani ni wanafiki mno;
1. Wao walipata Uhuru baada ya kutwangana na waingereza kwa msaada wa Ufaransa mwaka 1776.
2. Toka mwaka 1776 ni mpaka kufikia 1912 ndipo wanawake waliruhusiwa kupiga kura, ikiwa na maana kwamba kwa miaka 200 mwanamke hakuwa na haki ya kupiga kura.
3. Mwaka 1960's ndipo mtu mweusi naye akapata ruhusa ya kupiga kura.
4. Ni baada ya miaka 244 ndipo Marekani wanapata mwanamke wa kwanza kama makamu wa Rais.
5. Tanzania tuna miaka 59 tu toka tupate uhuru ila marekani anataka tufanane kila kitu nae ambaye ana uzoefu wa miaka 244 kwenye hiyo system, hii sio sawa.
Hata kama Demokrasia ni muhimu Sana kuna haja ya mataifa mengine kutuacha ili tuijenge demokrasia yetu kama wao bila kuingiliwa na Taifa lolote.
Maswala yeyote ya kutuingilia kama Taifa ni kukiuka haki na kutoheshimu maamuzi yetu kama Taifa huru, sisi kama watanzania tunayohaki ya kukua kidemokrasia kwa namna tunavyoona inafaa kama Taifa.
Kwa hiyo? Hivi umesoma majibu ya Balozi juu ya kuhudhuria kwake?Bado uko usingizini huwez elewa lolote ila balozi wa Marekani na watanzania walienda kumuapisha Magufuli pamoja.
Huu ndio "unyani" according to the late Christopher Mtikila.Sijikiti.
Mkuu hawa ndio marehemu Mtikila aliwaita wenye akili za "unyani" wasikusumbue.Sasa wewe kapuku unayetumia VPN ya kuazima kulisifu jiwe lililoondoa mitandao na mimi ninayeingia mitandao kwa kujitegemea ni yupi anayekoma ?
Jambo ulilokuwa hukuambiwa ni uwezo wangu kwenye siasa za kimataifa , nimewahi kuwa mwangalizi wa uchaguzi mara kadhaa barani Ulaya.
Sahihi kabisa huwa nasema mara zote kama Demokrasia ni kitu muhimu sana kwa maisha ya mwanadamu historia inaonesha kuwa ili kufikia hatua flani unapaswa kupitia hatua kadhaa, ni mchakato , sio jambo la kutokea usiku mmoja.Umenena jambo la msingi 💪
Rais Yoweri Museveni amedumu kwenye urais wa Uganda kuanzia mwaka 1986. Kwahiyo ametawala pamoja na marais 6 wa Marekani na wa Saba (7) aliyechaguliwa wiki hiiRais wa Marekani aliyeng'olewa madarakani Donald Trump alisaidia Madilteta wa kiafrica kung'ara na udikteta wao kwa vile aliidharau Africa Aliyoiita Shit hole na kuachana nayo , huku akijua wazi kwamba Punda hawezi kwenda bila mijeledi , jambo hili la USA kuipuuza Africa na watu wake lilipelekea kukua kwa udikteta , uonevu na mauaji ya raia kwenye nchi za kiafrica bila mauaji hayo kuchunguzwa wala kuhojiwa.
Madikteta walijiachia na kutawala kwa mkono wa chuma huku wakiminya haki na uhuru wa Raia , wakiumiza raia na kuamuru mauaji bila kuguswa , kiukweli sikuwahi kupenda aina ya utawala wa Trump na hasa sera yake kuhusu Africa , nimefurahishwa na kung'olewa kwake.
Bali baada ya Joe Biden wa Democrat kutwaa madaraka viongozi madikteta wa kiafrica wajiandae kukamatwa na kushughulikiwa ipasavyo , hawataachwa waendelee kutawala nchi zao kibabe huku wakiua raia kama kuku.
Mawazo ya kina Mangungu enzi zileee! Chandimu mko hovyo kabisa!Rais wa Marekani aliyeng'olewa madarakani Donald Trump alisaidia Madilteta wa kiafrica kung'ara na udikteta wao kwa vile aliidharau Africa Aliyoiita Shit hole na kuachana nayo , huku akijua wazi kwamba Punda hawezi kwenda bila mijeledi , jambo hili la USA kuipuuza Africa na watu wake lilipelekea kukua kwa udikteta , uonevu na mauaji ya raia kwenye nchi za kiafrica bila mauaji hayo kuchunguzwa wala kuhojiwa.
Madikteta walijiachia na kutawala kwa mkono wa chuma huku wakiminya haki na uhuru wa Raia , wakiumiza raia na kuamuru mauaji bila kuguswa , kiukweli sikuwahi kupenda aina ya utawala wa Trump na hasa sera yake kuhusu Africa , nimefurahishwa na kung'olewa kwake.
Bali baada ya Joe Biden wa Democrat kutwaa madaraka viongozi madikteta wa kiafrica wajiandae kukamatwa na kushughulikiwa ipasavyo , hawataachwa waendelee kutawala nchi zao kibabe huku wakiua raia kama kuku.
Unakula, unashiba, makabati yamejaa minguo(in Mwl Nyerere voice) watoto wako wanasoma Feza.Kwenye hii ishu ya Demokrasia Marekani ni wanafiki mno;
1. Wao walipata Uhuru baada ya kutwangana na waingereza kwa msaada wa Ufaransa mwaka 1776.
2. Toka mwaka 1776 ni mpaka kufikia 1912 ndipo wanawake waliruhusiwa kupiga kura, ikiwa na maana kwamba kwa miaka 200 mwanamke hakuwa na haki ya kupiga kura.
3. Mwaka 1960's ndipo mtu mweusi naye akapata ruhusa ya kupiga kura.
4. Ni baada ya miaka 244 ndipo Marekani wanapata mwanamke wa kwanza kama makamu wa Rais.
5. Tanzania tuna miaka 59 tu toka tupate uhuru ila marekani anataka tufanane kila kitu nae ambaye ana uzoefu wa miaka 244 kwenye hiyo system, hii sio sawa.
Hata kama Demokrasia ni muhimu Sana kuna haja ya mataifa mengine kutuacha ili tuijenge demokrasia yetu kama wao bila kuingiliwa na Taifa lolote.
Maswala yeyote ya kutuingilia kama Taifa ni kukiuka haki na kutoheshimu maamuzi yetu kama Taifa huru, sisi kama watanzania tunayohaki ya kukua kidemokrasia kwa namna tunavyoona inafaa kama Taifa.
Hawa wanaharakati uchwara kina Lissu, hawawezi kukuelewa mkuu! Kutwa kucha kuchongea ili waingie madarakani!Sahihi kabisa huwa nasema mara zote kama Demokrasia ni kitu muhimu sana kwa maisha ya mwanadamu historia inaonesha kuwa ili kufikia hatua flani unapaswa kupitia hatua kadhaa, ni mchakato , sio jambo la kutokea usiku mmoja.
Marekani na mataifa mengine wanapolazimisha baadhi ya mambo wanatuingilia mchakato wetu na kuharibu trend yake.
Watuache tukue kidemokrasia kama wao walivyokua,
Marekani haijafikia level ya demokrasia iliyopo sasa kwa siku au miaka michache, ipo hapo ilipo baada ya miaka 244.
Ni makosa wao kutaka tulingane na sio haki kabisa. Wanatudhulumu haki yetu ya kukua.
Japan's mfano wamekua wakitawaliwa na Chama Kimoja kwa miongo kadhaa sasa, pia raia wake almost nusu hawana interest na maswala ya kisiasa.
China same as Japan, Chama kimoja.
UK ufalme, Uk haina hata katiba ya kuandikwa.
Ujerumani Wana Angela Merkel ambaye huu ni mhula wa tatu yupo madarakani.
Taratibu utaona mataifa mengi yanaachana na masuala ya kisiasa na kuingia kwenye kutafuta maendeleo.
Mtazamo wangu ni kwamba hawa wazungu wanatumia demokrasia kama tool ya kutuchelewesha kimaendeleo , wanatukip busy na mambo ambayo wao wameshatambua hayana maana sasa.
Sada sijui kama waafrika wenzangu mnaliona hili, ila ipo haja ya kujifanyia tathmini na kuona kama huu mfumo ni sahihi kwetu na hii ndio kazi ambayo wasomi wetu wanapaswa kufanya lakini kwa bahati mbaya ndio hao tunawaona wakitumika na mataifa ya kigeni na kuamua kuchafua mataifa yao. SAD.
Hivi unajua kabla ya Trump kuingia madarakani madikteta wangapi wameondolewa kwa msaada wa Tawala za Washington?Una matumaini hewa, mkuu. Unajua African dictators wamekutwa na kuachwa wakiwa madarakani na U.S. presidents wangapi?