Inkoskaz
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 6,371
- 2,377
Mpambani wa awali kupata wagombea kiti cha uraisi marekani kupitia chama cha Republican unazidi kupamba moto baada ya mgombezi maarufu "Donald Trump" kushinda kura za South Caroline na huku mpinzani mmoja Jeb Bush (kaka yake na baba yake waliwahi kuwa maraisi pia) akijitoa baada ya kufanya vibaya
Kwa upande wa Democratic mama Hilary Clinton naye ameshinda jimbo la Nevada katika chaguzi zilizofanyika jana
Kwa upande wa Democratic mama Hilary Clinton naye ameshinda jimbo la Nevada katika chaguzi zilizofanyika jana