Trump akichanja mbuga Jeb Bush ajitoa

Trump akichanja mbuga Jeb Bush ajitoa

Wamerikani wachague amma kuongozwa na huyu kichaa(kwa mtazamo wa wengi wanamwona hivyo)au mwanamke mama Clinton.huyu Trump anatoaga shit huwezi kuamini kama anaomba kura sio sisi waafrika uongo uongo mwingi kuchekeana tu usoni.
American wenyewe wamechoka na porojo na diplomatic missions, wanataka mtu wa action na watampa trump,ajabu sasa hivi hata humu jf watu wamebadilika wana anza kumkubali trump kwa mbaali![emoji3] binadamu viumbe wa ajabu sana
 
Ubongo wa kuku ndiyo wewe, jibu swali wewe usingekuwepo dunia ingepungukiwa nini?
Huna lolote wewe, napoteza muda kujibizana na mjuaji asieelewa kua hajui, kasome kwanza uje kujadiliana na mimi. Nimeshakueleza na narudia kwa mara ya mwisho, kasome mada za uumbaji ndio uje hapa tujadiliane. Sina muda wa kukufundisha mambo madogo kama hayo. Kasome, kasome kasome.
 
Waafrica kila dakika mtoto mmoja anazaliwa akiwa na virus vya ukimwi... Kila siku tunakufa kwa malaria.. Tumeshindwa hata kutafuta chanjo ya magonjwa haya sisi kama sisi mpaka tupate misaada ya hao wazungu nini faida ya sisi waafrika kuwepo dunian kama sio kuijaza dunia na kuwapa chance wakina mugabe na museven kutunyonya na kutufukarisha....
Aliyewaumba anaona wanasababu ya kuwepo unless otherwise asingewaumba in the first place, wewe ni nani kusema hawana faida kuwepo hapa, unless ubongo wako umeganda na haufikiri tena.
 
Huna lolote wewe, napoteza muda kujibizana na mjuaji asieelewa kua hajui, kasome kwanza uje kujadiliana na mimi. Nimeshakueleza na narudia kwa mara ya mwisho, kasome mada za uumbaji ndio uje hapa tujadiliane. Sina muda wa kukufundisha mambo madogo kama hayo. Kasome, kasome kasome.
Watu wengine mpo kwa sababu mmejikuta mpo.
Nyie ndiyo wale mnaokesha kwenye yale makanisa mbao mkikesha kuomba kwenda USA mkaishia airport.
 
Hivu huyu mjaluo Obama ana maana gani aliposema Trump hatakuwa rais wa USA. Hivi nako USA rais aliye madarakani ana nguvu ya kuamua rais awe nani kama ilivyo kwenye bara letu la kisenge Afrika!!?
hana uwezo huo
 
Hili jamaa likishinda sijui uko marekani kutakuwaje
Natamani ashinde kwa kweli,akishinda huyu,marekani hawatakuwa wanaharibu nchi za middle east,nikikumbuka iraq,sasa eti hawamtaki basha allasad,yaani nikikumbuka Gadafi alivyokufa natamani sana Trump ashinde
 
Natamani ashinde kwa kweli,akishinda huyu,marekani hawatakuwa wanaharibu nchi za middle east,nikikumbuka iraq,sasa eti hawamtaki basha allasad,yaani nikikumbuka Gadafi alivyokufa natamani sana Trump ashinde
Anaweza kufuata nyayo za wenzake. Na akishinda viongozi wa afrika watanyooka
 
Sidhani kama tunakuwa sahihi kwa kutarajia kuwa Trump atakuwa suluhisho kwa matatizo yetu ya Africa,marekani ina nguvu sababu ina mifumo imara ndani na nje ya kuipatia fedha serikali,ukusanyaji imara wa kodi ni mfano mojawapo wa mifumo hyo,tunachoweza kufanya ni kuisaidia serikali kwa kutumia utashi na taaluma zetu kufika tunapopakusudia. suluhisho pekee ni sisi wenyewe pamoja na viongoz wetu kuamua kuibadili Africa.
Viongozi wa kuibadili Africa wako wapi ?? Hawa akina Museveni? Kina Nkurunzinza?? Kina Mugabe?? Long way to go.
 
Trump aendelea kupasua anga kwa kushinda Caucuses ya NEVADA huu ukiwa ni ushindi wake wa tatu mfululizo
 
Back
Top Bottom