Savimbi Jr
JF-Expert Member
- Sep 23, 2011
- 6,818
- 9,193
Ningekuwa raia wa US ningempa kura "D. Trump"!
!
Huyu Donald Trump ni mkweli mno. Atafaa sana kuwa raisi wa Marekani na Dunia kwa ujumla.
Ningekuwa raia wa US ningempa kura "D. Trump"!
!
Huyu Donald Trump ni mkweli mno. Atafaa sana kuwa raisi wa Marekani na Dunia kwa ujumla.
Naona sasa mnashabikia upinzani wowote duniani, ila huyu jamaa ni tofauti na yule jamaa yako.Trump awe Rais wa marekani ili andiko litimie!
Nami nataka ainyooshe afrika!
!
Huyu mtu na awe raisi tu kwa kweli hakuna namna.
Republican watamchagua Marco Rubio
na democrats naona atakuwa Hillary....
Vipi Nkuruzinza wa znz, mbona hujamtaja? Huyu naye ni jipu kwa Tramp.ashinde tu aje awatumbue majipu akina Jecha,Nkurunzinza,Mugabe,Museveni na Joseph Kabila hawa jamaa ving'ang'anizi sana wa madaraka!
ShuaAkifanya hivyo ni sawa kabisa kwa sababu hatuna faida yoyote hapa duniani zaidi ya kutesana tu wenyewe kwa wenyewe.
Assume wewe haupo, dunia itapungukiwa na nini?
Panua wigo wa kufikiri na kuwaza zaidi na zaidi. Usiwe na narrow mind namna hiyo.Unahitaji shule ya uumbaji mkuu, tafuta darasa.
Dunia itapungikiwa mengi sana tu Kwakua Mungu muumba aliona ni sahihi mimi kuwepo kwa muda huu, na ni sahihi kwa sisi kama waafrika kuwepo, hao ni watu waliokosa baraka ya utu ndani ya nafsi zao usidanganyike na maneno yao ya kilaghai. Mungu anatupenda wote kwa usawa.
Ukiwa ndani ya system ya wafaidi nchi na wanyonyaji lazima useme hivi. Ila sisi tuliochoka kwa ugumu wa maisha uliosababishwa na nyie, ndo tunaomba Trump ashinde ili atunyooshe wote.Fikra zetu kama ndo hizi basi bado sana....poor african!
Ukiwa ndani ya system ya wafaidi nchi na wanyonyaji lazima useme hivi. Ila sisi tuliochoka kwa ugumu wa maisha uliosababishwa na nyie, ndo tunaomba Trump ashinde
Nadhan tizama hili jambo kwa upana zaidi...usilinarow kiwepesi hivo...
Mkuu wise-comedian upo sawa but je!tunasafiri bus moja na viongozi wetu?wao wanatuaminisha kwamba twiga ni nembo ya taifa,tukigeuza visogo huku nyuma yanakuja madege ya kijeshi kuwazoa hao twiga kupeleka ng'ambo,kisha hao ulaya kuomba omba ilhali wanauza vitegauchumi vyetu,huyu jamaa akikamata Marekani hamna Mwafrika atapeleka bakuli pale,ndo tujifunze kuthamini vyetu.Sidhani kama tunakuwa sahihi kwa kutarajia kuwa Trump atakuwa suluhisho kwa matatizo yetu ya Africa,marekani ina nguvu sababu ina mifumo imara ndani na nje ya kuipatia fedha serikali,ukusanyaji imara wa kodi ni mfano mojawapo wa mifumo hyo,tunachoweza kufanya ni kuisaidia serikali kwa kutumia utashi na taaluma zetu kufika tunapopakusudia. suluhisho pekee ni sisi wenyewe pamoja na viongoz wetu kuamua kuibadili Africa.
You are narrow minded that is why i referred your little brain to creation, kasome tena uumbaji, inaonekana hujui hata hapa duniani umekuja kufanya nini, what a useless creature ...Panua wigo wa kufikiri na kuwaza zaidi na zaidi. Usiwe na narrow mind namna hiyo.
Anza na hili: Binadamu asingekuwepo dunia ingepungukiwa na nini?
Unawezaje kuumba kitu usichokipenda?Una uakika gani kama mungu anatupenda kwa usawa?
Dunia itapungikiwa mengi sana tu Kwakua Mungu muumba aliona ni sahihi mimi kuwepo kwa muda huu, na ni sahihi kwa sisi kama waafrika kuwepo, hao ni watu waliokosa baraka ya utu ndani ya nafsi zao usidanganyike na maneno yao ya kilaghai. Mungu anatupenda wote kwa usawa.
Ubongo wa kuku ndiyo wewe, jibu swali wewe usingekuwepo dunia ingepungukiwa nini?You are narrow minded that is why i referred your little brain to creation, kasome tena uumbaji, inaonekana hujui hata hapa duniani umekuja kufanya nini, what a useless creature ...