Trump aionya tena Korea Kaskazini

Trump aionya tena Korea Kaskazini

Marekani ni mwoga sana kwenye vita, yaani ni kama mwanamke anayeogopa giza hulazimika kumchukua hata mtoto mdogo wa kiume ndio huwa na ujasiri. Marekani bila kupata uungwaji mkono haigusi Korea katu!!. Ni mwoga sana, alishawahi kuingia peke yake kupambana na Vietnam muulize alichokipata, bila washirika haingii vitani, saiz anampango wa kupmba kampani kwa mataifa sita(Japan,S.Korea,China, France, Britain na Germany) akikubaliwa ndio atalianzisha. But France wanamasuala ya uchaguzi kwasasa na China hawapo tayari kwasababu China ni mshirika mkubwa wa N.Korea, na Russia ambao wapo against U.S.A

Bila washirika tutaendelea kuzisikia bit tu za Trump ila Kumgusa Mapank hana jeuri hiyo
 
Trump, aje kuwa Kim Un is a genius kwa hiyo USA akikosea tu akaingia imekula kwake mazima.

Pia, USA bila msaada wa mashetani wenzake huwa kama mchicha na majani ya maboga. Ndiyo maana hadi leo analialia kutafuta msaada wa china , South Korea, ameeda hadi Australia na Indonesia kuomba msaada, North Korea yupo yeye anasubilia mziki ufunguliwe awachezeshe style ya kiduku!!

Yaani, historia ya Hiroshima na Nagasaki itahamia Washington DC na Pentagon : "Karma" inaweza fanya kazi kwenye tasinia ya vita.
 
Marekani ni mwoga sana kwenye vita, yaani ni kama mwanamke anayeogopa giza hulazimika kumchukua hata mtoto mdogo wa kiume ndio huwa na ujasiri. Marekani bila kupata uungwaji mkono haigusi Korea katu!!. Ni mwoga sana, alishawahi kuingia peke yake kupambana na Vietnam muulize alichokipata, bila washirika haingii vitani, saiz anampango wa kupmba kampani kwa mataifa sita(Japan,S.Korea,China, France, Britain na Germany) akikubaliwa ndio atalianzisha. But France wanamasuala ya uchaguzi kwasasa na China hawapo tayari kwasababu China ni mshirika mkubwa wa N.Korea, na Russia ambao wapo against U.S.A

Bila washirika tutaendelea kuzisikia bit tu za Trump ila Kumgusa Mapank hana jeuri hiyo

Ongezea, Australia, Indonesia huko kote anaomba huruma zao za kumsaidia.

Hajawi shinda vita alizopigana mwenyewe zote alimangishwa ugali bila mboga!!

Kwa kifupi USA anatembelea nyota za wenzake, wakimtosa basi itakuwa imekula kwa USA na South Korea. Mfano, south Korea hivi karibuni anatakuwa na uchaguzi wa rais baada ya kumtumbua rais wao Madam President Park!
 
Last week, President Trump said that he hadn’t realized how difficult it would be to disarm North Korea until he received a short history lesson from Chinese President Xi Jinping. "After listening for 10 minutes, I realized it’s not so easy!"
Trump confessed to the Wall Street Journal.

WE ALL KNEW THAT MR. SMART GUY - GO TAKE A NAP![emoji35][emoji124]
 
Imagne pale umekorofishwa na dogo unaemuweza hv huwa kunakuwa na maswal tena? C kuchapa tu makonde? Tuna mashaka sasa na nguv za kijesh za huy jamaa
Hata nami napata mashaka pia mkuu..!!!
 
Back
Top Bottom