MOI JOHN
JF-Expert Member
- Aug 15, 2013
- 1,735
- 1,085
HahahahahahhahahhaahhsahhshSasa kama anajua ana uwezo wa kuipiga mbona anaihusisha China si aingie moja kwa moja.
Ndo wale wale "Nishikeni nitamuuawa Nishikeni nitamuuawa"
HahahahahahhahahhaahhsahhshSasa kama anajua ana uwezo wa kuipiga mbona anaihusisha China si aingie moja kwa moja.
Ndo wale wale "Nishikeni nitamuuawa Nishikeni nitamuuawa"
Umeua[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sasa kama anajua ana uwezo wa kuipiga mbona anaihusisha China si aingie moja kwa moja.
Ndo wale wale "Nishikeni nitamuuawa Nishikeni nitamuuawa"
Alafu wakija kufanyiwa uharamia nchini kwao wanaanza kulialia,ooh magaidi,ooh waislamu sjui nini wakati wao ndio walianza kwenda kuharibu nchi za watumarekani anatumia inchi za wengine kuweka kambi za kijeshi alafu kwake pako safi sasahivi kaweka korea kusin kikinuka mabom yote yanadondoka korea kusin huku marekani poko safi
Wale ni Korea kusini Mkuu.Nikifikiria tu zile movie zao za mapanga nawaza tu jinsi wamarekani watavyochinjwa kama kuku. Refer to "Jumong" "Emperor of the Sea" ha ha ha
Hahahah umeona ee mkuu humu raha sanaQ
JF ina raha yake kwamba akomae na zigo lake.
Wale ni Korea kusini Mkuu.
Kilaza ww soma post kwa umakiniSasa kama anajua ana uwezo wa kuipiga mbona anaihusisha China si aingie moja kwa moja.
Ndo wale wale "Nishikeni nitamuuawa Nishikeni nitamuuawa"
Kilaza mwenyewe soma wewe kwa makiniKilaza ww soma post kwa umakini
umeambiwa 'all options on table'Sasa kama anajua ana uwezo wa kuipiga mbona anaihusisha China si aingie moja kwa moja.
Ndo wale wale "Nishikeni nitamuuawa Nishikeni nitamuuawa"
Mnaenda na wewe upo kwenye hao waendao?umeambiwa 'all options on table'
so relax. tunaenda option moja baada ya nyingine.
nipo na Amerika katika maombi. Ushindi lazima.Mnaenda na wewe upo kwenye hao waendao?
Wanajua kuwa uko nao bega kwa bega ?nipo na Amerika katika maombi. Ushindi lazima.
tangu Ghuba mpaka Afghanistan na hata Iraq napiga maombi kwa ajili yao. maombi yetu hayashindwi. kwa sababu tukiomba macho yetu humuelekea Bwana.Wanajua kuwa uko nao bega kwa bega ?