Trump aionya tena Korea Kaskazini

WilsonKaisary

JF-Expert Member
Apr 4, 2017
392
947
Rais wa Marekani Donald Trump kwa mara nyingine ametoa onyo dhidi ya Korea Kaskazini kupitia mtandao wa twitter, akisema kuwa Pyongyang inatafuta matatizo.

Pia aliitaka China ambayo ni mshirika mkuu wa Korea Kaskazini kujaribu kukabiliana na jirani wake huyo.

Bwana Trump alipendekeza kuwa China itapata makubaliano bora ya kibiashara ikiwa itafanya hivyo, lakini akaongeza kuwa Marekani haitaogopa kutatua tatizo la Korea Kaskazini bila ya Uchina.

Bwana Trump alitoa matamshi kama hayo wiki moja iliyopita lakini tangu wakati huo msukosuko umekuwa mkubwa.

Marekani imetuma meli za kivita kuenda kwa maji ya rasi ya Korea hatua ambayo imeighadhabisha Korea Kaskazini.
 
yule dogo sio wakuonya kama anaubavu aende akamtandike kama hana aufyate kimyakimya we kila siku unaonya tu dogo anawaimiza kichwa sana ingia kichwa kichwa uone mchina mwenyewe anajua awezi kukubali auziwe kesikirahisi hivyo zigo lako hilo komaa nalo tu mwenyewe
 
Q

JF ina raha yake kwamba akomae na zigo lake.
 
yule dogo sio wakuonya kama anaubavu aende akamtandike kama hana aufyate kimyakimya we kila siku unaonya tu dogo anawaimiza kichwa sana ingia kichwa kichwa uone mchina mwenyewe anajua awezi kukubali auziwe kesikirahisi hivyo zigo lako hilo komaa nalo tu mwenyewe
Wametukaririsha kuwa marekani ni taifa kubwa

Tatizo uzi huu wa Marekani na Korea tunashindwa kujua uhalisia kwa kuwa wachangiaji wengi wanatoa maoni kishabiki
 
yule dogo sio wakuonya kama anaubavu aende akamtandike kama hana aufyate kimyakimya we kila siku unaonya tu dogo anawaimiza kichwa sana ingia kichwa kichwa uone mchina mwenyewe anajua awezi kukubali auziwe kesikirahisi hivyo zigo lako hilo komaa nalo tu mwenyewe
Nikifikiria tu zile movie zao za mapanga nawaza tu jinsi wamarekani watavyochinjwa kama kuku. Refer to "Jumong" "Emperor of the Sea" ha ha ha
 
Marekani ngoja ikutane na kipigo kikali na ndoo utakuwa mwisho Wa ubabe na itabaki kuwa kama ujerumani,itasambalatika na uchumi utayumba,na mchina atachukua nafasi yake,trump atakuwa amesha ambiwa na makamanda wake kwamba hapa tunaenda kutiwa aibu,ndio maana amebaki anatoa vitisho
 
Back
Top Bottom