Truly great thinker

Natamani sana kuwa kama huyo ila ndo bas tena.....ninalopenda kufanya silifanyi,nisilolipenda ndo linanifuata kila siku
 
Natamani sana kuwa kama huyo ila ndo bas tena.....ninalopenda kufanya silifanyi,nisilolipenda ndo linanifuata kila siku

ahahahahaaaaaaaaaaaa_my lovely wife yuko na hekima kama huyo,..i was so rude-if so to speak,..lakn kanibadilisha mpaka namuogopa,...i,e kila nikifanya baya hunionya kwa upole na hekima sana,....am real blessed to have her.
 
Aisee hongera sana...mi mtu akinitibua namchambaje?
 
Let me be honest....hio conversation ingeishia swali la kwanza!!! kuna ng'ombe ana miguu miwili?

Hahhahaaaaa kibinadamu RRONDO, hiyo nayo ni the other way round ya kujibu lakini kwa muktadha wa haya mazungumzo haya ilibidi yaendelee hivyo
 
Last edited by a moderator:
Aisee hongera sana...mi mtu akinitibua namchambaje?

Nilikuwa kama wewe Khantwe mkorofi nimepiliza halafu katili lakini leo am totally different....! Kwakuwa nimeishi maisha mengi, nimefanya mengi mabaya nimejifunza mengi nimeona mengi mengine ya kuogofya hasa lakini leo nina moyo mnyenyekevu mpole na msikivu, halafu sina maumivu tena maumivu ya visasi na kutenda mabaya....
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…