Truel and bold leaders: The Whole world Needs A Leader Like This! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Truel and bold leaders: The Whole world Needs A Leader Like This!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Dark City, Mar 14, 2009.

 1. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #1
  Mar 14, 2009
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Muslims who want to live under Islamic Sharia law were told on Wednesday to get out of Australia , as the government targeted radicals in a bid to head off potential terror attacks..


  Separately, Rudd angered some Australian Muslims on Wednesday by saying he supported spy agencies monitoring the nation's mosques. Quote:
  'IMMIGRANTS, NOT AUSTRALIANS, MUST ADAPT. Take It Or Leave It. I am tired of this nation worrying about whether we are offending some individual or their culture... Since the terrorist attacks on Bali , we have experienced a surge in patriotism by the majority of Australians. '

  'This culture has been developed over two centuries of struggles, trials and victories by millions of men and women who have sought freedom'

  'We speak mainly ENGLISH, not Spanish, Lebanese, Arabic, Chinese, Japanese, Russian, or any other language. Therefore, if you wish to become part of our society . Learn the language!'

  'Most Australians believe in God. This is not some Christian, right wing, political push, but a fact, because Christian men and women, on Christian principles, founded this nation, and this is clearly documented. It is certainly appropriate to display it on the walls of our schools. If God offends you, then I suggest you consider another part of the world as your new home, because God is part of our culture.'

  'We will accept your beliefs, and will not question why. All we ask is that you accept ours, and live in harmony and peaceful enjoyment with us.'

  'This is OUR COUNTRY, OUR LAND, and OUR LIFESTYLE, and we will allow you every opportunity to enjoy all this. But once you are done complaining, whining, and griping about Our Flag, Our Pledge, Our Christian beliefs, or Our Way of Life, I highly encourage you take advantage of one other great Australian freedom, 'THE RIGHT TO LEAVE'..'


  'If you aren't happy here then LEAVE. We didn't force you to come here. You asked to be here. So accept the country YOU accepted.'

  Whole world Needs A Leader Like This! - OnlineNigeria.com
   
 2. J

  Jujuman JF-Expert Member

  #2
  Mar 14, 2009
  Joined: Dec 7, 2008
  Messages: 248
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu Dark city Salam,
  Naamini huo ndio ukweli ulivyo Anaetakka kuongozwa na kuhukumiwa chini ya SHARIA anajua wapi aende. Its as simple as that.
   
 3. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #3
  Mar 14, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Yeah yeah yeah...that's sak passe! The dude told it like it t. i. is....
   
 4. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #4
  Mar 14, 2009
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Kweli Mkuu NN

  Kwanini wakulu wetu wasiende tuition wakajifunza na hata kukariri maneno ya kusema kuhusu ufisadi na mafisadi?
   
 5. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #5
  Mar 14, 2009
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,185
  Trophy Points: 280
  Aborigines found Australia, white Anglo Saxon used it as a huge prison to dump undesirables, thats why you have such unrefined characters like this, talking in a most foul way.

  While I believe in the right of the majority of Australian to maintain their way of life, the minority must also be accommodated in appropriate ways.The dude sounds like he consider eery Muslim suspect and does not want to hear any language other than English.
   
 6. M

  Mkandara Verified User

  #6
  Mar 14, 2009
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Dark City,
  Mkuu hata sijakuelewa kabisa... Nimeelewa alichosema huyo Rudd wa Australia na ndivyo mababuru walivyo siku zote... Ajabu tu ni kwamba wao wanapokwenda nchi za Kiarabu wanapiga Vita mila na desturi za Kiarabu na kusema ni ukiukaji wa haki za Binadamu..

  Walipokuja Afrika wamejaribu kutubadilisha na sasa hivi hata lugha zao zinauzika mashuleni... Wakidai kwamba wanataka kusambaza Utawala wa Demokrasia dunia nzima, target yao kubwa ni nchi za Kiislaam na za Asilia.. Bila shaka Demokrasia haina dini sasa iweje Hoja kama hii ikubalike Australia lakini Saudi Arabia wakisema maneno hayo hayo wanapigwa vita!

  Now, kama mfano huu utaletwa Tanzania itakuwa kazi kweli kweli, kwa sababu Uhuru wa Tanzania umepatikana na kupiganiwa na waislaam, harakati zimeanzia Pwani - Dar es salaam mji wa Waislaam...tunazungumza Kiswahili tofauti na Australia..hapa itakuwa vipi?

  Je, kuna kila sababu Tanzania kuwa nchi ya Kiislaam au turudi ktk utawala wa Mila zetu za asili maanake ndio pekee kinachoweza kufanana na hoja iliyopo hapo juu!
   
 7. Kiungani

  Kiungani JF-Expert Member

  #7
  Mar 14, 2009
  Joined: Feb 2, 2007
  Messages: 274
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mijadala ya dini si upeo wangu.
  Ila swali ni vipi historia ya Uhuru wa Tanzania inawahukumu wapiganaji kama Kinjikitile, Mkwawa, Mirambo, Meli, Kimweri na wengineo wengi walioanzisha mapambano na mkoloni (bila wao kuwa na dini kama waislaam wa Dar-es-salaam!!) katika upatikanaji wa uhuru? Na hawa wote hawakuwa Dar-es-salaam, mji wa waislaam....
   
 8. M

  Mkandara Verified User

  #8
  Mar 14, 2009
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Kiungani,
  Mkuu wangu nilichotaka mimi kufahamu ni malengo ya mada hii kuhusiana na jukwaa hili..Uliowataja wote ni Waislaam na tena umeongeza mapana ya wigo la kutafuta Uhuru ambao mimi sikutaka kwenda huko..
  Mada hii ni ya Kidini na imeanzishjwa makusudi ya Kidini kwani hata Waarabu wameisha sema maneno kama haya haya na sikuona mtu akinukuu ya kuyaleta hapa..
  Kinachonishinda kuelewa ni kwamba mada kama hizi zinatufundisha kitu gani?.. Hivi kweli sisi tunaweza kubeba mila na desturi za Makaburu ambao wamevamia nchi ya watu wakaunda serikali na kuwalisha wanzalendo culture yao kisha lkeo wanadai kwamba nchi ile ni yao madai ambayo tumeyashuhudia yakitokea South Afrika na Zimbabwe...
  Mkuu hiyo message ya Australia imetolewa kwa sababu waliodai ni wazungu wakitumia dini, sasa fikiria sisi Waafrika tukitumia maneno hayo hayo kuwaambia wazungu tukitumia rangi zetu..with the same message, kuna mtu hapa ataunga mkono?..
  Sikubaliani na madai ya waislaam huko Australia kwa kiwango fulani na sikubaliani na jibu lililotolewa ni Ubshezi wa kaburu..
  Kwani kuna sheria zimetungwa kwa ajili ya Wanawake kuhusiana na utoaji Mimba, vita against Umalaya na kadhalika ambazo hazimhusu Mwanaume, kwa hiyo kama kweli hawa watu wanataka sheria hizo zitumike kwao wapeni wembe uwakate wenyewe laa sivyo wajibu kistaarabu!..Lakini sio kutumia Ubwana na majibu ya kishenzi ambayo yanaonyesha wazi kwamba wao ni second class citizen!
  Hii ndio sababu iliyonisukuma kuweka hoja yangu..
   
 9. M

  Mtanzania JF-Expert Member

  #9
  Mar 14, 2009
  Joined: May 4, 2006
  Messages: 4,818
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Dark City,

  Kama unafurahia maneno kama hayo, basi pia furahia maneno ya akina Mugabe kwa wazungu kule Zimbabwe.

  Hata kama sifurahii wanayofanya fundamentalists, lakini dawa yake sio kusema kama hukubaliani na sheria uondoke. Hayo mambo yataishia wapi?

  Kila mtu akiaambiwa aondoke aliko itaishia wapi?
   
 10. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #10
  Mar 14, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  When a Muslim agitates for Sharia in his State, he is only seeking to do Allah's will, so who can object to that? When a devout Muslim fights in the Holy war, he is only obeying the Allah's commandments, so who dares object to that? When a dedicated religious man gives his daughter away in marriage to a man old enough to be her father two times over, he is only observing his religious practises which relate him to his Supreme Being, so who dares question that? Who can object to an individual serving his God wholeheartedly, since we all understand that there is more to life than the material things we see around us. Who dares condemn an individual practicing his religion? Freedom of religion is our fundamental human right, so who dares stand in our way. The worship of God or Allah, or whatever it is we call the Supreme Being, is encouraged by all since it brings out the better part of the human person; makes him loving, charitable and affectionate.
   
 11. M

  Mkandara Verified User

  #11
  Mar 14, 2009
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Shy,
  Pleeease! nakuheshimu sana mkuu wangu usilete habari hizi hapa..zipeleke huko kwenye mijadala yenu..
  Kwanza unachanganya culture ya watu wa Asia na Uislaam..Hata wahindi wanafanya hivyo na Abraham aliozwa dada yake akiwa na umri wa miaka 12..Jacob (father of Israel) aliozwa dada wawili wa tumbo moja...Hii kweli sawa kwa mila za Kiarfrika!
  Mkuu Waarabu, wayahudi na Wahindi wanaoza watoto wakizaliwa tu toka enzi na bado wapo wanaofanya hivyo, wanaoana mtu na binamu yake na kadhalika regardless of their religion..
  Kisha unapotumia neno Allah andika neno Mungu, kisha nambie kuna mkristu gani anayekataa kufanya yale aliyomrishwa kufanya na Mungu..

  Nakuomba jibu moja tu....What if kesho Kikwete alkisema toka leo Jumamosi na Jumapili sio tena siku za mapumziko ili kufanya ibada..Na mwisho akamalizia kuwa nchi hii sio ya Kikristu..
  Will you support that!
   
 12. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #12
  Mar 15, 2009
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Mkandara,

  Nakuelewa na nayaheshimu sana maoni yako. Mimi siyo mshabiki wa udini hata kidogo. Ingawa hii taarifa ilikuwa kwenye mkondo wa dini, mimi nimeguswa na kitu kimoja. Kwamba kiongozi anakuwa na ujasiri wa kusema kitu hata kama kitawaudhi wengine kwa maslahi ya nchi yake. Ndiyo maana kwenye kwenye post yangu iliyofuata nikasema hivi:
  Huo ndio ujumbe wangu. Hata hivyo siunge mkono kabisa suala la watu kutaka kuufanya utamaduni wao ndio bora kuliko wa wengine (cultural dominance). Lakini katika hili nadhani jamaa alikuwa na hoja ya msingi. Kwamba wageni waliokaribishwa hawatakiwa kuanza kuleta masharti katika maisha ya wenyeji. Hata nyumbani, mgeni hawezi kukupangia kipi ufanye na kipi usifanye. Kama huyo mgeni anaona hatendewi haki, basi aanze mbele. Haya mambo ya kipuuzi tunayofanyiwa na wageni hapa Tz yanahitahiji kiongozi wa namna hiyo. Suala la dini naomba lisiwe hoja kuu hapa bali kubwa liwe ni suala la wageni kufuata wenyeji wao wanavyotaka na si vinginevyo.
   
 13. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #13
  Mar 15, 2009
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Mkuu Mtanzania,

  Katika maeneo mengi Mugabe alikuwa sahihi kabisa. Kosa kubwa na kinachonifanya nitofautiane naye ni kuwa alisubiri hadi alipoona mambo yake kisiasa yanaanza kumwendea vibaya (he became a political opportunist). Kama uzi huo angeanza nao toka nchi ilipopata uhuru (1980), binafsi ningekuwa naye sana tu. Na lingine ni upofu wa kung'ang'ania madaraka hata wananchi wake wote wakifa kwa sababu yoyote ile. Mfano, kumwambia Tony Blair kimachomacho kwamba "keep your Britain, I will keep my Zimbabwe" ilikua ni kauli ya kidume. Tatizo ni kwamba aliitoa katika kipindi ambacho alikuwa anatapatapa!
   
Loading...