Nyelwa ******* alikuwa DC huko Mbulu miaka ya 1980s, alikuwa DC mkali na mchapakazi sana. Alikuwa pia mfuatiliaji sana na aliibadilisha sana Mbulu.
Miaka hiyo kulitokea ugonjwa wa Tauni na akaagiza kata 3 ziwe chini ya karantini.
Katika kutekeleza maagizo yake, Katibu Tarafa mmoja aliitisha mkutano wa hadhara na kuanza kuwaambia wananchi .....
" Leo nimekuja kufuatilia maagizo ya *******! Si wote mlisikia maagizo ya *******? Nani hataki kutekeleza maagizo ya *******? Lazima mtekeleze maagizo ya *******! Kama mna malalamiko si kwangu, ni ya *******!..............
RIP Mh. Nyelwa *******, pia alipata kuwa katibu wa chama Singida, Shinyanga, n.k. na ni mpare wa Usangi.
poleni familia