True story

True story

BOSCOCASTO

Member
Joined
May 21, 2013
Posts
12
Reaction score
2
Ukweli ni kwamba usafiri nafuu TZ ni TRAIN(Gari moshi) ambapo mimi huwaga naenjoy sana ninapo safiri kwa kutumia usari huu. Najua kuna watu wataniona kama katuni ila kwa wale watu wa Tabora, Kigoma ,Mpanda n.k wataniunga mkono..USAFIRI WA TRAIN unanipaga raha sana kwa sababu kuna usalama wa aina yake. Hata hivyo nasikitika serikali inashindwa kuboresha miundo mbinu na huduma muhimu hasa ktk reli ya kati! Lakini hiyo sio ishu mimi ntaendelea kufurahia usafiri wangu wa kawaida......
 
pole kiongozi! Ila hapa CC sio mahara pake,hapa ni jukwaa la kuondolea mistress kama hiyo!
 
unazungumza lugha gani? miaka yote uliyokaa shule hujui kuandika...?
 
BOSCOCASTO omba mamodi wahamishie hii mada mmu,huku cc ni full kujirusha bongo zetu ziko likizo.
 
Last edited by a moderator:
aaaaah huko tegemea majibu kama haya(kuna nazi hiyo kijana inataka mkunwaji)
 
Nipe namba yake huyo mpenziyo inawezekana ni mzuri sana,maana kama mdingi mwenyewe kasema potelea mbute basi si mchezo. Afu na wewe upunguze mawivu namajirasi,mtoto wangu mwenywe kuzaa nizae mimi kulea nilee mimi kula nile mimi wivu upate wewe kweli MAJANGA.
 
kwani wanawake wameisha duniani?...tafuta mtu mwingine anayejitambua sio huyo "tobo gawa".
 
Back
Top Bottom