True Story: Kutoka Kuuza Kahawa mpaka kumiliki Vogue na Hummer

When people are intimidated by your present, they always bring your past. They forget you don't live there anymore.
 
Hashim kipindi yupo Makongo 2003 alikuwa ANAPENDA BATAAAAA! Na sketi nazo alikuwa anazimind, hakauki skonga kwetu kufukuzia sketi, ila alikuwa LOADED na kampani yake si dhani kama alikuwa anauza kahawa ila alikuwa wakuja flani. Basi akawa anasemaga ATAOA WANAWAKE WAREFU MAMISS KAMA Millen Magese. Nikajisemeaga umuoe Millen Ujambeee! Kumbe bana NEVER SAY NEVER!!!!!!!!!!!!!! Hapa nataka nikamkope mtaji wa VITUMBUA!!!!!!lol!
 
Wewe wa wapi? Nikajua wa ma boarding mikoani huko ujanja umeujulia chuo... Ushaamegwa sana na wauza mbege shamba huko ( jokin)
 
Weweeeeee! Mimi toto ya town UPANGA, OLEVEL NA ALEVEL, CHUO DSM. Yaani bon here here 100% Wakuja nawacheki tu.
 
Ulikuw xul gan upanga ? Naweza kuwa nishakufukuzia maana sikuwa nyuma enzi za balehe as primary nilikuwa hapo foronto, then nikasogea boys school hapo mikochen for my o level and back to boys shool bahari beach for my a level.. So vitoto vya zanaki, kisutu, jangwan, shebby, mzzm tunajuana vizuri enzi za kulipuka pamba na kutokelezea
 
Mshaurini badala pesa kumalizia kwenye Hummers, Vogues na totos aanzishe investments za maana kwani umahiri kwenye michezo sio vitu vya kudumu siku yoyote anaweza ku-drop sasa asirudi tena kupigana vikumbo na sisi kwenye madeli ya kahawa na sinia za kashata!!
 
Huyu dogo niliku napanda naye hiace hapo sinza makaburini, wakati yeye akiwa anawahi skul mi nawahi kwa ofisi , jinsi alivyokuwa I don't think kama alishakuwa anauza kashata. Alitoka familia ya kimaskini sawa, lakini si kwa kiwango hicho.
 
Lara 1 Huishiwi vituko, haya unaenda kukopa mtaji wa vitumbua, Boss mmemalzana vipi kwenye evaluation?

Hashim kipindi yupo Makongo 2003 alikuwa ANAPENDA BATAAAAA! Na sketi nazo alikuwa anazimind, hakauki skonga kwetu kufukuzia sketi, ila alikuwa LOADED na kampani yake si dhani kama alikuwa anauza kahawa ila alikuwa wakuja flani. Basi akawa anasemaga ATAOA WANAWAKE WAREFU MAMISS KAMA Millen Magese. Nikajisemeaga umuoe Millen Ujambeee! Kumbe bana NEVER SAY NEVER!!!!!!!!!!!!!! Hapa nataka nikamkope mtaji wa VITUMBUA!!!!!!lol!
 
Hashim kipindi yupo Makongo 2003 alikuwa ANAPENDA BATAAAAA! Na sketi nazo alikuwa anazimind, hakauki skonga kwetu kufukuzia sketi, ila alikuwa LOADED na kampani yake si dhani kama alikuwa anauza kahawa ila alikuwa wakuja flani. Basi akawa anasemaga ATAOA WANAWAKE WAREFU MAMISS KAMA Millen Magese. Nikajisemeaga umuoe Millen Ujambeee! Kumbe bana NEVER SAY NEVER!!!!!!!!!!!!!! Hapa nataka nikamkope mtaji wa VITUMBUA!!!!!!lol!

Huyu dogo niliku napanda naye hiace hapo sinza makaburini, wakati yeye akiwa anawahi skul mi nawahi kwa ofisi , jinsi alivyokuwa I don't think kama alishakuwa anauza kashata. Alitoka familia ya kimaskini sawa, lakini si kwa kiwango hicho.

Ameuza sana kashata na kahawa uliza mtu aliyekaa dodoma miaka ya 90 anajua.....
 
Back
Top Bottom