True love

Hakuna mtu anayekuwa na uhakika moja kwa moja kuwa aliyempata ndiyo chaguo lake sahihi hasa kipindi cha mwanzo wa uhusiano.
Binadamu tunakuwa na vipaumbele vyetu ktk kuchagua kitu husika,so utakapopata mwenza kikubwa ni uvumilivu,na busara ili kubaini kuwa huyo uliyempata ndiyo mwenza sahihi au la..Siyo kukurupuka tu kwa kudai mapenzi hayana formula.
 
LOVE IZ ALL ABOUT SACRIFICES! NO SACRIFICE NO LOVE. HATA MWENYEZI MUNGU ALIUPENDA ULIMWENGU HATA AKAMTOA MWANAYE WA PEKEE ILI KILA AMWAMINIYE ASIPOTEE BALI AWE NA UZIMA WA MILELE. LOGIC YANGU HAPA NI KWAMBA, BAADA YA KUUPENDA ULIMWENGU ALIMTOA MWANAYE AS SACRIFICE. HIVYO, AINA YOYOTE ILE YA UPENDO NI LAZIMA IAMBATANE NA SACRIFICES. Sacrifices can be in various category like economical, social, time aspect etc.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom