True love ni ngumu kama barter trade

True love ni ngumu kama barter trade

watu wanataka awe na mtu mwenye kila sifa mpya inayotoka magazetini, movie, bungeni , vitabu vya hadithi,awe mzuri, asiwe na kasoro kimwili&kiroho, awe mchumi,project manager, mchapa kazi, mwenye hela, asiwe mbahili, mwenye kuweka akiba, awe na umbo la kati , awe mchapa kazi, fundi kitandani na kila nikimuhitaji home nimkute sasa cjui anatafuta saangapi[emoji15] [emoji15] [emoji15] utafikiri mchaguaji huyo yeye kakamilikq.

vijana hawajitambui na wote wamegeuka drama qeens&Kings

tuwaombee
Hahahaaa hata malaika hana sifa hizo
 
we ndo wasema, wenyewe watakwambia "you are not a kind of a man/woman am looking for"
chezea ulimbukeni wewe
Na wanaume siku hizi Kuna neno tunaita "wife material" sijui ndio material aina gani hayo LOL!
 
Na wanaume siku hizi Kuna neno tunaita "wife material" sijui ndio material aina gani hayo LOL!

watataja materiallllll ambayo haya exist wanataka material 100% wakati wao ni -1 material wacha kabisa no uvumilivu no nini maigizo tuui
 
Pagumu hapo!

Nilitegemea kupata mke bora huko kwenye Makanisa, na penyewe pamechafuka tu.
yaan huko ndiyo kuna chui wenye ngoz ya kondoo!! Huwa ni wapole xna kabla ya ndoa, ukishafunga ndoa utajuta kumfahamu.
 
Pagumu hapo!

Nilitegemea kupata mke bora huko kwenye Makanisa, na penyewe pamechafuka tu.
Mkuu bora ata kwenye daladala kuliko huko maana siku hizi wakisha haribu Maisha yao wanakimbilia huko kujificha kwenye kimvuli cha dini. Sasa mchukue muweke ndani mbona utajuta.
 
Mkuu bora ata kwenye daladala kuliko huko maana siku hizi wakisha haribu Maisha yao wanakimbilia huko kujificha kwenye kimvuli cha dini. Sasa mchukue muweke ndani mbona utajuta.
Nilishastuka siku nyingi sana Mkuu.
 
Y
we ndo wasema, wenyewe watakwambia "you are not a kind of a man/woman am looking for"
chezea ulimbukeni wewe
Yaah!unakuta mtu anamchora kijana wa kiume ama bint na anataka ampate kama akili yake inavyo mtuma.Kwa wenye mtazamo huo na pia ni wengi nawashauri wawaumbe wenyewe kama wanaweza.
 
true love ipo sana,
Sema kila mtu na bahati yake,
watu wamelazwa, wamepata presha, wameumia/wameanguka coz of true love.
Na inatokea both to boys and girls,
ipo sana.
 
Tambua kwamba hata kipofu akifanya hiyo trade ukampa achague upaja wa mwamke na mwanaume atakwambia tu kwamba lete huo mlaini.
 
true love ipo sana,
Sema kila mtu na bahati yake,
watu wamelazwa, wamepata presha, wameumia/wameanguka coz of true love.
Na inatokea both to boys and girls,
ipo sana.
Hizo presha, kuumia na kulazwa ndio matunda ya kukosekana kwa true love
 
Back
Top Bottom