Dada white, kama ni mkristo rejea; 1 Wakorintho 13: 4-8..,
4 Mwenye upendo huvumilia, hufadhili; mwenye upendo hana wivu, hajidai, wala hajivuni. 5 Mwenye upendo hakosi adabu, hatafuti faida yake binafsi, wala hana wepesi wa hasira; haweki kumbukumbu ya mabaya, 6 hafurahii uovu, bali hufurahia ukweli. 7 Mwenye upendo huvumilia yote, huamini yote, na hustahimili yote. 8 Upendo hauna kikomo kamwe.
Pls jipime kama kweli una upendo wa kweli kwa mwenzio. Jibu kama ni ndio then furahia maisha na mpenzi wako. Umasikini sio ugonjwa wala laana, mkijituma na kushirikiana kwa umasikini utawakimbia.
Wenzio wanalilia upendo wa kweli ila wewe unataka kuupiga teke kisa umasikini..??
Kila la kheri!
Poor people need God and rich wants God.ukiwa na kila kitu that is a blessing and poor envy that which make them more poor .poverty is a curse and rich is a blessing .dont envy the richer cause your making yourself more poor .God trusted rich people with money cause they spend well.poor people mpe million moja shillings kesho imeisha.huwezi kuwa Tajiri bila saving.na watu matajiri they know the value of money( Steve job) .kwa hiyo dada yaani Kama umezaliwa maskini utakufa maskini.Ndio maana mtu maskini Atakama awe Rais wa nchi gani I can guarantee you ate retire maskini.John Edward he fell from Grace ,maskini hata umpe cheo gani hata umpe billion of dollars mawazo yake na fikra Za kimaskini.David Petraus all he have accomplished he threw them in trash why ?he was born poor .Bill Clinton he is worth 60 million dollars ila he can't retire and he is still working fear that he will be poor again.kwa hiyo mdada Kama wewe maskini na wewe pia sina comment
Nilimpenda sana ila umaskini uliokithiri unaniaribia roho ya kuendelea kumpenda nifanyaje siku na umri unazidi kuenda sioni nafuu yoyote.Hadi uzuri na weupe wangu umeanza kuFADE AWAY.Nachanganyikiwa jamani moyo wangu unaishiwa nguvu kadri ya siku zinavyozidi kwenda.

piga kazi shosti tafuta chapaa, acha kutegemea yeye ndo azimake kwani kuna ubaya gani ww ukipata mawe afu mkayatumia kuimprove life yenu,nadhani humfil mshkaji kihivyo otherwise to m that is no big deal.........
Kuna usemi siku hizi kuwa wanawake ni wengi kuliko wanaume, so mwanaume mmoja awe na wanawake zaidi ya mmojai. Ila kiukwel, wanaume na wanawake, ukiangalia jinsia, wapo idadi sawa. Tatizoi kuwa wanaume wanaoweza kuhandle mapenzi = uanaume + pesa, wakati mwanamke anaeweza kuwa mpenzi = uanauke + 'mwili'.aisee kaka zangu mna kazi sana The Boss HorsePower Mwita Maranya Tuko ericB52 Mohamedi Mtoi SnowBall kwa kweli kazi mnayo somesheni sana watoto wenu wa kiume wasijenangwa namnahii mbeleni lol
Nilimpenda sana ila umaskini uliokithiri unaniaribia roho ya kuendelea kumpenda nifanyaje siku na umri unazidi kuenda sioni nafuu yoyote.Hadi uzuri na weupe wangu umeanza kuFADE AWAY.Nachanganyikiwa jamani moyo wangu unaishiwa nguvu kadri ya siku zinavyozidi kwenda.
khaaaa hata baba yangu alishamkataa mmja kwiwkwiwkwiwk kumbe mko wengi eee za weekend lakiniKuna usemi siku hizi kuwa wanawake ni wengi kuliko wanaume, so mwanaume mmoja awe na wanawake zaidi ya mmojai. Ila kiukwel, wanaume na wanawake, ukiangalia jinsia, wapo idadi sawa. Tatizoi kuwa wanaume wanaoweza kuhandle mapenzi = uanaume + pesa, wakati mwanamke anaeweza kuwa mpenzi = uanauke + 'mwili'.
Hata mi stakubali au sitafurahi mtoto wangu wakike (siku nikiwa nae), aniletee tu mwanaume, ili mradi ana uume... pesa bana...
weekend ilikuwa powa banaa... kuhusu zawadiiiii........, nitakuPM, maana watu hawakawii kusema ...ooh, tulitarajia shem/wifi apigwe ki-vitz...khaaaa hata baba yangu alishamkataa mmja kwiwkwiwkwiwk kumbe mko wengi eee za weekend lakini
nipe feedback ulipeleka zawadi gani?????????