Troy Movie


C

Carla

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2012
Messages
349
Likes
284
Points
80
C

Carla

JF-Expert Member
Joined Aug 4, 2012
349 284 80
"Men are haunted by the vastness of eternity. And so we ask ourselves: will our actions echo across the centuries? Will strangers hear our names long after we are gone and wonder who we were, how bravely we fought, how fiercely we loved?" -Odysseus (Troy)
 
C

Carla

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2012
Messages
349
Likes
284
Points
80
C

Carla

JF-Expert Member
Joined Aug 4, 2012
349 284 80
Aliwaangusha tu Priyanka alivokataa kucheza kama hellen maana ukimuangalia hellen kwa kweli sio mzuri kiasi cha kuleta vita kama ile ila movie imechezwa sana
Maneno yaliyotumika mle ndani huwa yananipa hamasa sana hasa"that why no one will remember your name"peace is for women and the weak"men rise n fall like the winter wheat"hector the breaker horses"nk mpka sasa ndio best movie kwangu hasa kipengele cha setting characterization plotting na diction
If they ever tell my story, let them say I walked with giants. Men rise and fall like winter wheat, but these names will never die. Let them say I lived in the time of Hector tamer of horses. Let them say, I lived in the time of Achilles.
 
uhurumoja

uhurumoja

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2014
Messages
1,891
Likes
1,601
Points
280
uhurumoja

uhurumoja

JF-Expert Member
Joined Mar 2, 2014
1,891 1,601 280
If they ever tell my story, let them say I walked with giants. Men rise and fall like winter wheat, but these names will never die. Let them say I lived in the time of Hector tamer of horses. Let them say, I lived in the time of Achilles.
What a poet!thus why always I want to fight with the best!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
uhurumoja

uhurumoja

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2014
Messages
1,891
Likes
1,601
Points
280
uhurumoja

uhurumoja

JF-Expert Member
Joined Mar 2, 2014
1,891 1,601 280
Ile ni zaidi ya movie mkuu.
Ile ni kama documentary.
Great characters
Great actors
Great movie.
Ni kweli maana ilinifanya nisome historia ya troy na wakina achile wote na hiyo vita ambayo kwenye historia imeandikwa kama moja ya vita kubwa na iliyoleta mapinduzi katika medani za kivita (mbinu za upiganaji)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
James Comey

James Comey

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2017
Messages
3,791
Likes
4,846
Points
280
James Comey

James Comey

JF-Expert Member
Joined May 14, 2017
3,791 4,846 280
Kuna ile inaitwa Centurion aisee....
Pia kuna ile moja anaoneshwa ubapa wa panga unao reflect USO wake anaulizwa" unaona nini? Dogo anajibu Isee a king " wewe mchezo ukawa mkali sijui initwaje ile...

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
C

Carla

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2012
Messages
349
Likes
284
Points
80
C

Carla

JF-Expert Member
Joined Aug 4, 2012
349 284 80
Ni kweli maana ilinifanya nisome historia ya troy na wakina achile wote na hiyo vita ambayo kwenye historia imeandikwa kama moja ya vita kubwa na iliyoleta mapinduzi katika medani za kivita (mbinu za upiganaji)

Sent using Jamii Forums mobile app
Inaelezwa kuwa mbinu nyingi sana za kipolisi na kivita zinazotumika sasa ziliasisiwa toka enzi hizo.
 
G

gebu

Senior Member
Joined
Apr 3, 2011
Messages
192
Likes
83
Points
45
G

gebu

Senior Member
Joined Apr 3, 2011
192 83 45
Hii muvi ilisababisha niwe shabiki mkubwa wa orlando(mdogo wake hector) ambaye toka nimefatilia muvi zake hajawahi kuniangusha kama pirates of caribean ameact kama william turner,lord of the rings kama ligolas na kingdom of heaven na nyingine nyingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Forum statistics

Threads 1,249,898
Members 481,140
Posts 29,714,308