Hi wanajf! katika tafiti niloifanya nikagundua kuwa baadhi ya wanaume na wanawake act antagonistic in dressess means when the trousers of men goes down (kata k) the brouses of the women comes up (top up) nimeona nilete kwenu great thinker tuone kama kuna ukwel kwa pande zote, nin faida yake/lengo kuu lakufanya hiv na kunauwezekano maadili ya awali kurejea tena? nawaclisha