Troubled Tanesco risks losing access to gas pipeline

Hili la gesi akina sisi tulisema humu ni wizi mtupu wa mchana kweupe!, hakuna aliyesikia
Gesi asili: Is it "day light robbery?!" Watanzania tunaibiwa mchana kweupe!

Tulipokopeshwa mkopo wa Exim bank wa US $ 1.2 bilion tukaambiwa interest ni low, just 1% na tukapewa a grace period of 20 years!, watu tukasema humu kuwa hicho ni kiini macho, watu hawakusikia hadi leo aseme CAG
Bomba la Gesi Mtwara:A "20 -Year Grace Period" ya Mkopo wa Exim Bank-China ni "Changa la Macho?!".

Na mwisho tukasema tuache siasa kwenye uchumi, Tanesco haiwezi kununua umeme kwa bei kubwa na kuuza kwa bei ndogo ikasurvive, lazima umeme upande bei!.
Utumbuaji: Tuache Siasa Kwenye Professionalism, Sio Kila Mtumbuliwa ni Jipu!.

P.
 
Hakuna wa kutusikia Mkuu zaidi ya kutuona wachochezi, kuitwa kupimwa mkojo, au uraia kutiliwa shaka, kupigwa risasi 38 au kuitwa Bungeni kwa kuhoji utendaji wa Bunge ambalo linafumbia macho uozo chungu nzima lakini liko busy na kamati yao ya maadili uchwara kuwadhalilisha na kuwaadhibu Wabunge wa upinzani na waandishi wa habari.

Tulisema humu
 
Hii nchi inakwamishwa na viongozi tulio wachagua, viongozi badala ya kutafuta vyanzo vya mapato wao wanakomba pesa za mashirika ya umma.
Kila kukicha Tanesco inadaiwa.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Halafu cha ajabu si jiwe wala Waziri wa Nishati wanataka kuongelea hili deni. Wote wanapiga kimya kama vile si wahusika!

Hii nchi inakwamishwa na viongozi tulio wachagua, viongozi badala ya kutafuta vyanzo vya mapato wao wanakomba pesa za mashirika ya umma.
Kila kukicha Tanesco inadaiwa.
 
Mikataba fake ya genge la wahuni, majizi na mafisadi ya IPTL, Richmond/Dowans, Escrow, Net Group Solutions Kinyerezi etc inaliua shirika la TANESCO lakini cha kushangaza wahusika wote waliohusika na mikataba hiyo hakuna hata mmoja ambaye aliyewajibishwa kutokana na hili genge la wahuni kulindana kwenye UOZO wao mbali mbali waliolitendea Taifa hili na raia wake.
Aisee
 
Dah jamaa washapoteza post yangu juu kwa juu ata aijaisha.

Max ongea na mod wako unless kama wewe mwenyewe ndio muhusika.
 
Hili la gesi akina sisi tulisema humu ni wizi mtupu wa mchana kweupe!, hakuna aliyesikia
Gesi asili: Is it "day light robbery?!" Watanzania tunaibiwa mchana kweupe!

Tulipokopeshwa mkopo wa Exim bank wa US $ 1.2 bilion tukaambiwa interest ni low, just 1% na tukapewa a grace period of 20 years!, watu tukasema humu kuwa hicho ni kiini macho, watu hawakusikia hadi leo aseme CAG
Bomba la Gesi Mtwara:A "20 -Year Grace Period" ya Mkopo wa Exim Bank-China ni "Changa la Macho?!".

Na mwisho tukasema tuache siasa kwenye uchumi, Tanesco haiwezi kununua umeme kwa bei kubwa na kuuza kwa bei ndogo ikasurvive, lazima umeme upande bei!.
Utumbuaji: Tuache Siasa Kwenye Professionalism, Sio Kila Mtumbuliwa ni Jipu!.

P.
Mkombozi kaingia madarakani akisaidiwa na askari wa mwamvuli mambo yatakua Bie
 
Back
Top Bottom