BLUE BALAA JF-Expert Member Joined Nov 30, 2010 Posts 1,222 Reaction score 786 May 27, 2012 #1 Wakubwa Salama, Tarehe 30th June nitakuwa Beijing China. Kama kuna mwana JF yoyote naomba tuwasiliane kubadilishana mawili matatu. Its my first time getting into Beijing. Thanks BB
Wakubwa Salama, Tarehe 30th June nitakuwa Beijing China. Kama kuna mwana JF yoyote naomba tuwasiliane kubadilishana mawili matatu. Its my first time getting into Beijing. Thanks BB
CHASHA FARMING JF-Expert Member Joined Jun 4, 2011 Posts 7,967 Reaction score 9,544 May 27, 2012 #2 Mkuu unaenda kuchukua Mzigo? Ok kila la heri na tutafutie furusa huko,
BLUE BALAA JF-Expert Member Joined Nov 30, 2010 Posts 1,222 Reaction score 786 May 27, 2012 Thread starter #3 Chasha said: Mkuu unaenda kuchukua Mzigo? Ok kila la heri na tutafutie furusa huko, Click to expand... No I have the press conference with CCTV Beijing on 30th May 2012.
Chasha said: Mkuu unaenda kuchukua Mzigo? Ok kila la heri na tutafutie furusa huko, Click to expand... No I have the press conference with CCTV Beijing on 30th May 2012.
ndetichia Platinum Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,590 May 27, 2012 #4 usisahau kwenda kuwapa hi wale wabongo mia walioko jela bon voyage..
Kivumah JF-Expert Member Joined Jan 7, 2008 Posts 2,427 Reaction score 1,061 May 27, 2012 #5 Hueleweki mara tarehe 30 June 2012 mara Tarehe 30 May 2012. Angalia post No.1&3. Be specific
Mphamvu JF-Expert Member Joined Jan 28, 2011 Posts 10,702 Reaction score 3,356 May 27, 2012 #6 Kivumah said: Hueleweki mara tarehe 30 June 2012 mara Tarehe 30 May 2012. Angalia post No.1&3. Be specific Click to expand... We mkaka, usimuumbue mwenzako, ana plesi komfernsi na sisitiivii...
Kivumah said: Hueleweki mara tarehe 30 June 2012 mara Tarehe 30 May 2012. Angalia post No.1&3. Be specific Click to expand... We mkaka, usimuumbue mwenzako, ana plesi komfernsi na sisitiivii...
The secretary JF-Expert Member Joined Jan 14, 2012 Posts 4,148 Reaction score 2,542 May 27, 2012 #7 BLUE BALAA said: Wakubwa Salama, Tarehe 30th June nitakuwa Beijing China. Kama kuna mwana JF yoyote naomba tuwasiliane kubadilishana mawili matatu. Its my first time getting into Beijing. Thanks BB Click to expand... ok hi. kwa mhandishi yang shue
BLUE BALAA said: Wakubwa Salama, Tarehe 30th June nitakuwa Beijing China. Kama kuna mwana JF yoyote naomba tuwasiliane kubadilishana mawili matatu. Its my first time getting into Beijing. Thanks BB Click to expand... ok hi. kwa mhandishi yang shue
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,766 Reaction score 23,230 May 27, 2012 #8 sobhuza said: We mkaka, usimuumbue mwenzako, ana plesi komfernsi na sisitiivii... Click to expand... hahahhahaaaaa
sobhuza said: We mkaka, usimuumbue mwenzako, ana plesi komfernsi na sisitiivii... Click to expand... hahahhahaaaaa
Junior. Cux JF-Expert Member Joined Feb 3, 2011 Posts 5,319 Reaction score 3,798 May 27, 2012 #9 BLUE BALAA said: Wakubwa Salama, Tarehe 30th June nitakuwa Beijing China. Kama kuna mwana JF yoyote naomba tuwasiliane kubadilishana mawili matatu. Its my first time getting into Beijing. Thanks BB Click to expand... usijali mkuu mi ntakupokea, nshakua mwenyeji maeneo haya.. usisahau kuja na vidola kidogo kwa ajil ya mizunguko
BLUE BALAA said: Wakubwa Salama, Tarehe 30th June nitakuwa Beijing China. Kama kuna mwana JF yoyote naomba tuwasiliane kubadilishana mawili matatu. Its my first time getting into Beijing. Thanks BB Click to expand... usijali mkuu mi ntakupokea, nshakua mwenyeji maeneo haya.. usisahau kuja na vidola kidogo kwa ajil ya mizunguko
Mchochezi JF-Expert Member Joined Feb 29, 2012 Posts 11,453 Reaction score 10,059 May 27, 2012 #10 beijing ya hapa Kibaha au??