Gajungi JF-Expert Member Joined Sep 4, 2011 Posts 257 Reaction score 83 Dec 30, 2014 #1 Heri ya mwaka mpya wakuu. Naomba kama kuna mtu anamfahamu Mtanzania anayefanya kazi Trinidad and Tobago hasa kwenye secta ya afya anipm. Nina hitaji kubwa la contact katika nchi hyo maana huenda soon nikatakiwa kwenda huko. SHUKRANI
Heri ya mwaka mpya wakuu. Naomba kama kuna mtu anamfahamu Mtanzania anayefanya kazi Trinidad and Tobago hasa kwenye secta ya afya anipm. Nina hitaji kubwa la contact katika nchi hyo maana huenda soon nikatakiwa kwenda huko. SHUKRANI
Sangarara JF-Expert Member Joined Sep 29, 2011 Posts 13,104 Reaction score 5,665 Jan 2, 2015 #2 check na Jakaya Mkuu.
Consigliere Platinum Member Joined Sep 9, 2010 Posts 12,890 Reaction score 27,389 Jan 3, 2015 #3 Tutafutane mkuu. Mimi nipo hapa Trinidad & Tobago Pub huku Dar.
QALLI MIZOH JF-Expert Member Joined Mar 19, 2014 Posts 2,075 Reaction score 699 Jan 3, 2015 #4 Consigliere said: Tutafutane mkuu. Mimi nioo hapa Trinidad & Tobago Pub huku Dar. Click to expand... Nimecheka sana ..
Consigliere said: Tutafutane mkuu. Mimi nioo hapa Trinidad & Tobago Pub huku Dar. Click to expand... Nimecheka sana ..