Tribute to Prof Benno Ndulu from the world

Airfryer

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2021
Posts
430
Reaction score
1,039
Hii nchi kuna watu walikuwa na sharp mind na watafiti sana , Hata wazungu waliwaogopa

Nikajiuliza hivi kwa miaka hiyo ya zamani Tanzania kweli kulikuwa na elimu bora sana iliowajenga watu kufikiri nje ya box na kujiamini sio elimu hii ya sasa ya kujibia mitihani

Sio wengi waliyajua haya ya Benno lakini ukipita huku kwenye makala zake, YouTube utajifunza kitu kikubwa sana toka kwa Benno

Hata hivyo wapo wengi lakini Benno alifanya transformation kubwa sana Tanzania hasa kwenye issue za Financial inclusion na Mobile digitalization

Prof Marehemu Benno Ndulu alikuwa smart sana kichwani

Benno alikuwa anashiriki midahalo migumu ulaya na Africa huku akisimamia tafiti zake na Mageuzi Africa na Duniani

Katika pita pita zangu nimekutana na tribute kadhaa kumuhusu Benno

Nimeambatanisha maelezo
 
Shida Afrika kuwa mashuhuri unapaswa uwe mwanasiasa au mfanyabiashara. Benno alikuwa kichwa.
 
Hii nchi kuna watu walikuwa na sharp mind na watafiti sana , Hata wazungu waliwaogopa

Sio wengi waliyajua haya ya Benno lakini ukipita huku kwenye makala zake, YouTube utajifunza kitu kikubwa sana toka kwa Benno

Hata hivyo wapo wengi lakini Benno alifanya transformation kubwa sana Tanzania hasa kwenye issue za Financial inclusion na Mobile digitalization

Prof Marehemu Benno Ndulu alikuwa smart sana kichwani

Benno alikuwa anashiriki midahalo migumu ulaya na Africa huku akisimamia tafiti zake na Mageuzi Africa na Duniani

Katika pita pita zangu nimekutana na tribute kadhaa kumuhusu Benno

Nimeambatanisha maelezoView attachment 2207618View attachment 2207619
Naunga mkono hoja, Prof. Benno Ndullu alikuwa Kichwa Mbaya.
He was a man of integrity.
P
 
Alikuwa Ana demu mkali Sana,,WA PEMBENI,alikuwa anatembelea bmw 318i nyekundu..mtoto alikuwa mtamu mnoo...RIP MKEMBE BENNO NDULLU

Alikuwa mkali kweli; alipokuwa undergraduate alikwenda Rufiji kufanya utafiti akarudi na Mke!!!!
 
Huyu Prof alikuwa kichwa maji usimkweze kisa alikuwa proffesor.

Alikuwa Ni one of the waste profs. Hata mi Dr wa uchumi nilikuwa namzidi tu Ni vile hunijui. Yeye alijulikana tu kwa sababu ya uswahiba wake na jk.
Hii nchi kuna watu walikuwa na sharp mind na watafiti sana , Hata wazungu waliwaogopa

Nikajiuliza hivi kwa miaka hiyo ya zamani Tanzania kweli kulikuwa na elimu bora sana iliowajenga watu kufikiri nje ya box na kujiamini sio elimu hii ya sasa ya kujibia mitihani

Sio wengi waliyajua haya ya Benno lakini ukipita huku kwenye makala zake, YouTube utajifunza kitu kikubwa sana toka kwa Benno

Hata hivyo wapo wengi lakini Benno alifanya transformation kubwa sana Tanzania hasa kwenye issue za Financial inclusion na Mobile digitalization

Prof Marehemu Benno Ndulu alikuwa smart sana kichwani

Benno alikuwa anashiriki midahalo migumu ulaya na Africa huku akisimamia tafiti zake na Mageuzi Africa na Duniani

Katika pita pita zangu nimekutana na tribute kadhaa kumuhusu Benno

Nimeambatanisha maelezoView attachment 2207618View attachment 2207619
 
Huyu Prof alikuwa kichwa maji usimkweze kisa alikuwa proffesor.

Alikuwa Ni one of the waste profs. Hata mi Dr wa uchumi nilikuwa namzidi tu Ni vile hunijui. Yeye alijulikana tu kwa sababu ya uswahiba wake na jk.
Tangu lini watu wa kigoma mmeanza tabia za kihaya?😂😂 msalimie makamu wa raisi hapo
 
Mi ni mhaya haswaaaa
 
Mmoja wa Magavana bora Africa
 
Wa

Wabongo tunapenda sana kusifia watu baada ya kuwa wamemaliza kazi zao miaka mingi hata kama hawakiwa na impact wakati wapo kazini.
 
Back
Top Bottom