Prof. Benno Ndulu atangazwa Gavana bora Afrika 2018, CRDB yatangazwa benki Bora ukanda wa Afrika Mashariki

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Gavana Mstaafu wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT),Prof. Benno Ndulu, leo May 22, 2018 ametunukiwa tuzo ya Gavana Bora Barani Afrika kwa mwaka 2018 inayotolewa na jarida maarufu la African Banker.

Sherehe za kutoa tuzo hizo, zimefanyika jijini Busan, Korea Kusini, katika mikutano ya mwaka
ya Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) inayoendelea.

“Hii tuzo nimepewa mimi kutokana na mchango mkubwa kutoka BoT wakati wa uongozi wangu. Kwa hiyo, tuzo hii ni heshima kubwa kwangu na kwa Benki Kuu ya Tanzania,” alisema katika mahojiano jijini DSM.

“Awali niliwaomba waandaaji nao walikubali kwamba Dkt. Namajeje Weggoro, Mkurugenzi Mtendaji wa AfDB, Kanda ya Afrika Mashariki apokee tuzo hiyo kwa niaba yangu. Sikujua kama Naibu Gavana wa BoT, Julian Banzi Raphael, anashiriki katika mikutano ya AfDB, vinginevyo yeye ndiye angepokea kwa niaba yangu,” alisema Prof. Ndulu

Kwa mujibu wa Mkurugenzi Mkuu wa jarida la African Banker, Omar Ben Yedder, Prof. Ndulu ametunukiwa tuzo hiyo kutokana na mchango wake mkubwa katika kukuza huduma jumuishi za kifedha na kuchangia katika kuhakikisha zaidi ya asilimia 70 ya Watanzania wanafikiwa na huduma rasmi za kibenki.

------
.Dr Benno Ndulu, former central bank governor who finished his second term last year won Central Bank Governor of the year
By Prosper Makene

Tanzania’s CRDB Bank was named the 'Best Regional Bank in East Africa' at a prestigious Gala Dinner in Busan, South Korea.

The Awards, held annually on the fringes of the Annual Meetings of the African Development Bank, celebrate excellence in banking and finance on the African continent.

East Africa dominated the awards this year. The CEO of Equity Group Holdings Plc in Kenya, James Mwangi, won Banker of the Year. His bank has seen impressive growth through a series of innovations and diversified investment channels away from consumer loans.

Kenya’s Equity Group also beat off strong competition from four other shortlisted nominees to win the coveted 'African Bank of the Year Award'.

Tanzania’s Dr Benno Ndulu, former central bank governor who finished his second term last year won Central Bank Governor of the year for his work in pushing for financial inclusion as well as for sound macroeconomic management.

BENNO_NDULLU.jpg


Dr Benno Ndulu, former central bank governor

South African banks dominated the investment banking and deals of the year categories. Standard Bank Group swooped three awards, including the one for 'Investment Bank of the Year'.

Standard Bank and Rand Merchant Bank in South Africa took the 'Infrastructure Deal of the Year' for the $5bn Nacala corridor rail and port project in Mozambique and Malawi, one of Africa’s largest private sector funded infrastructure projects.

The project covers 912km of railway running from the Tete province in western Mozambique to Nacala port on the east coast through a section of Malawi.

A deep sea port at Nacala also features in the project. Rand Merchant Bank in South Africa was also recognized for the listing of Steinhoff Africa Retail that took place last year. Veteran South African banker, Stephen Koseff, won the Lifetime Achievement Award. As the co-founder of Investec he has built a global leader in banking and asset management.

The 'Socially Responsible Bank of the Year' title went to BMCE Bank of Africa Group in Morocco. The bank is widely regarded as a leader in sustainable finance and le Credit Agricole du Maroc won the award for financial inclusion. Ecobank won the award for innovation and also for Retail Bank of the year largely for the way it has integrated technology to considerably widen its products and reach.

Commenting on the ceremony, Omar Ben Yedder, Publisher of African Banker, commented on the impressive achievements of the banks shortlisted for the 2018 awards: “The winners of the African Banker Awards reflect the innovation and energy within Africa’s banking market.

The categories that most catch my eye are the Deals of the year and the ones on innovation. They reflect the true energy and vigour of the banking sector. I cannot stress enough though the important role financial services have to play to drive the development of the continent.”

This is the first time the African Banker Awards take place in South Korea, more precisely in the port city of Busan. As a shareholder in the African Development Bank, the South Korean government offered to host this year’s Annual Meetings aiming to strengthen its long-standing relationship with Africa.

The 12th edition of the African Banker Awards, hosted by African Banker magazine and BusinessinAfricaEvents took place at the Paradise Hotel Busan.

The awards which are held under the high patronage of the African Development Bank are sponsored by the African Guarantee Fund as Platinum Sponsor, the Bank of Industry as Gold Sponsor and Banco Nacional de Investimento, Mozambique as Silver Sponsor. Other sponsors include Afreximbank and Credit Agricole du Maroc.

THE 2018 AFRICAN BANKER AWARD WINNERS

African Banker of the Year

James Mwangi, Equity Group Holdings Plc, Kenya

Lifetime Achievement Award

Stephen Koseff, co-founder Investec

African Bank of the Year

Equity Group Holdings Plc, Kenya

Best Retail Bank in Africa

Ecobank

Investment Bank of the Year

Standard Bank

Award for Financial Inclusion

Groupe Crédit Agricole (Morocco)

Socially Responsible Bank of the Year

BMCE Bank of Africa Group (Morocco)

Innovation in Banking

Ecobank

Deal of the Year – Equity

Steinhof Africa Retail Listing – Rand Merchant Bank (South Africa)



Deal of the Year – Debt

$300m Diaspora Bond, Nigeria

Standard Bank / FBNQuest Merchant Bank (Nigeria)

Infrastructure Deal of the Year

Nacala Railway and Port Corridor

Standard Bank / Rand Merchant Bank (South Africa)

Best Regional Bank

East Africa - CRDB (Tanzania)

West Africa – BDM (Mali)

North Africa – CIB, Egypt

Southern Africa – State Bank Mauritius (SBM)

Central Africa – BGFI, Gabon
 
Hii kaipata kutokana na kubanwa na Magufuli, aliwekwa kama Mhasibu tu ila regulator alikuwa ni jiwe mwenyewe.

Hongera!!!
 
Gavana Mstaafu wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT),Prof. Benno Ndulu, leo May 22, 2018 ametunukiwa tuzo ya Gavana Bora Barani Afrika kwa mwaka 2018 inayotolewa na jarida maarufu la African Banker.

Sherehe za kutoa tuzo hizo, zimefanyika jijini Busan, Korea Kusini, katika mikutano ya mwaka
ya Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) inayoendelea.

“Hii tuzo nimepewa mimi kutokana na mchango mkubwa kutoka BoT wakati wa uongozi wangu. Kwa hiyo, tuzo hii ni heshima kubwa kwangu na kwa Benki Kuu ya Tanzania,” alisema katika mahojiano jijini DSM.

“Awali niliwaomba waandaaji nao walikubali kwamba Dkt. Namajeje Weggoro, Mkurugenzi Mtendaji wa AfDB, Kanda ya Afrika Mashariki apokee tuzo hiyo kwa niaba yangu. Sikujua kama Naibu Gavana wa BoT, Julian Banzi Raphael, anashiriki katika mikutano ya AfDB, vinginevyo yeye ndiye angepokea kwa niaba yangu,” alisema Prof. Ndulu

Kwa mujibu wa Mkurugenzi Mkuu wa jarida la African Banker, Omar Ben Yedder, Prof. Ndulu ametunukiwa tuzo hiyo kutokana na mchango wake mkubwa katika kukuza huduma jumuishi za kifedha na kuchangia katika kuhakikisha zaidi ya asilimia 70 ya Watanzania wanafikiwa na huduma rasmi za kibenki.
wanaonuna na wanuneeeeee
 
Jakaya alikuwa Kocha Mwenye kujua asajili yupi Na acheze namba ngapi!

Inaonekana BOT Management Haina mawasiliano wala ukaribu Na hazina hii ya Taifa maana Ni aibu Tuzo yako ipokelewe Na Mtu wa Mataifa mengine wakati Naibu Gavana alikuwepo!

Huyu Ndulu alifaa sana kubaki BOT kukabiliana Na changamoto za Sasa hivi Kuliko kipindi alichokuwepo maana Governor Mpya Ni team HKL anajua mambo ya kubishana Sheria tu
 
Back
Top Bottom