Triangles ngapi zipo hapa?

Triangles ngapi zipo hapa?

Ninaruhusiwa kuendelea kujaribu? Kama ndiyo ziko 108. Kama siyo, tukupe mji!.

Kwenye kila quarter umehesabu 27 triangles ila kuna 26 triangles ambapo kwa mchoro wote unapata 104 triangles.

SOLVED
 
Unasahau kuwa kuna triangles za nje ya robo

Hata kama ipo nje ya robo lakini ni lazma itakuwa ndani ya robo nimeshajua unachomaanisha wee hesabu UTAONA MKUU.
 
Hapa pia nimekukamata aseee,SIO KWELI.

mi hesabu yangu 124 na ntakuwekea kithibitisho ngoja nitulie maana niko katika harakati!
20150310_181846.jpg
hii picha ya kwanza vipo 64
20150310_181941.jpg
20150310_181955.jpg
20150310_182013.jpg
20150310_182023.jpg
20150310_182042.jpg
20150310_182057.jpg
20150310_182105.jpg
20150310_182118.jpg
20150310_182127.jpg
20150310_182136.jpg
 

Yaani kati ya wanafunzi wangu WABISHI waliopo darasani kwangu wee ndio wa PEKEE aisee nime-check A/S yangu ni kweli YOU GOT IT RIGHT .

Nilichanganya jibu na swali jingine ambalo sio hili CONGRATULATIONS my lovely student,THAFI THANA.
 
Back
Top Bottom