Triangles ngapi zipo hapa?

Triangles ngapi zipo hapa?

NDUKI

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2013
Posts
3,439
Reaction score
2,453
count-triangles-picture.jpg
 
Nduki ehh!!.. Hebu tuletee vitu vya maana tujadili bwana .. Haya mambo ya chemsha bongo darasa la nne hayatusaidii chochote!!..

Njoo na jambo litakaloweza kumsaidia mtu kwenye maisha yake ya kawaida tujadili..

Sio lazima siasa, hata mambo ya kijamii..
 
Ni vizuri kuwa na mijadala mkuu kama unavyosema ila kuna muda sio mbaya watu waka-reflesh kwa vi-quiz na puzzles tofauti tofauti mkuu au unaonaje hilo ni mbaya kuwa na quiz au puzzle sometimes mkuu...?.
 
Back
Top Bottom