Trevor Noah, amjaribu D.Trump- No more excuses Trump!!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,811
Jamaa Trevor alifikiri Trump ni kama Wanasiasa wengine ambao husema na kuahidi lkn hushindwa kutekeleza, sasa nafikiri ameshangaa mwenyewe kwa maana Trump yote aliyoyaahidi ndiyo anayafanya!

 
Trump anatimiza matakwa ya wamarekani...
Wamarekani ndo hawawataki waamiaji na islams...sio trump...
Ila pia Obama aliiaribu sana USA
 
Back
Top Bottom