Heavy equipment
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,456
- 1,011
tunafuatilia watumishi hewa na wenye vyeti hewa tukimaliza ndipo tuje kujenga viawanda.
Ni mitazamo na utamaduni wa eneo husika wala sio suala ambalo unaweza kulileta nakukataa ukweli uliopo wa hatua ya maendeleo waliyopiga hao wasudan ukilinganisha na nchi nyingi za afrika wanastahili pongezi kuliko hoja yako ya suruali ,hivi unafahamu kuwa mwanamke harusiwi kuvaa suruali akiwa mjini paris katika nchi ya ufaransa ambayo ni ulaya? atavaa suruali ikiwa tu amepanda farasi,je hawa nao utawaitaje na hata kama hiyo amri itakuwa imefutwa sidhani kama inazidi ya miaka mitano.Kuna faida gani kuwa na treni nzuri halafu mwanamke akivaa jeans chini ya baibui anatandikwa viboko hadharani kama mtoto mdogo kwa style ya udhalilishaji wa hali ya juu? Worthless piece of africa
hahaha mkuu umenichekesha sana..Hii yote imesababishwa na akina Lowasa....kama sio ufisadi wao Tanzania tungekuwa mbali sana.
We ndio bwege mkubwa sana....Weka picha ya mwanamke wako basi tufurahi na roho zetuUmeenda mbali. Faida ipo kubwa mno! Ivi wewe Kadhi mkuu m1, maendeleo yana faida gani bila kuwepo na wanawake? Hivi Majengo mazuri, magari mazuri, mazingira mazuri yanaweza kupendezaje bila wanawake?
Tuna"toil" tupate pesa ama mali tule na wanawake na kujenga familia!
Mungu ametuumbia wanawake wazuri(warembo)kutupumbaza na adha ya dunia hii ngumu, ili tuyaone maisha mazuri ijapo ni kinyume chake. Bila wanawake, ikawa tunazaliana kwa kujigawa kama micro organisms, pasingekuwa na maendeleo yoyote. Na maisha yangekuwa na sura tofauti. Kwa hiyo faida ya wanawake ni kubwa mno kuliko hata niliyoeleza kifupi. Ndiyo nyie wabinafsi mtumiao gia ya maadili ama udini, kuwagubika mibaibui mwili mzima ili watu wasifaidi maumbile yao ambayo M/Mungu aliyashusha bure,kila mtu aone na yamfariji na kufurahi na roho yake, kama aangaliavyo maua bustanini. Haya niliyokueleza unayafahamu ila roho ya ubinafsi inakubungua!
Mawazo finyu sanaKuna faida gani kuwa na treni nzuri halafu mwanamke akivaa jeans chini ya baibui anatandikwa viboko hadharani kama mtoto mdogo kwa style ya udhalilishaji wa hali ya juu? Worthless piece of africa
Jaribu kujiongeza. Hiyo sheria imeshafutwa tangu 2013, na kabla ya hapo hakuna aliyeijali.... ,hivi unafahamu kuwa mwanamke harusiwi kuvaa suruali akiwa mjini paris katika nchi ya ufaransa ambayo ni ulaya? atavaa suruali ikiwa tu amepanda farasi,...
Nyie ndiyo vitombist hatare, ambao hamniumizagi kichwa. Ulivyomjinganjinga mtu usiyeelimika!acha ungese wewe unadhani mwanamke yuko kwa ajili ya kila mwanaume. umeniudhi sana fala we,unakuwa na mawazo kama hanithi bwana
Acha ujinga bwege. Katajwa mkeo hapa?We ndio bwege mkubwa sana....Weka picha ya mwanamke wako basi tufurahi na roho zetu
Acha porojo weka picha ya mke wako akiwa uchi tufurahi na roho zetuAcha ujinga bwege. Katajwa mkeo hapa?
Nijiongeze nifikie wapi?hizi mita za urefu nilizo nazo zinatosha,na huu mwili pia unatosha,by the way thanks for info.Jaribu kujiongeza. Hiyo sheria imeshafutwa tangu 2013, na kabla ya hapo hakuna aliyeijali.
ukilinganisha hyo yetu na hizo zngine unajikuta unacheka bila sababu yoyote
Umeng'ang'aniiiiia!Acha porojo weka picha ya mke wako akiwa uchi tufurahi na roho zetu
Haya sawa.Nijiongeze nifikie wapi?hizi mita za urefu nilizo nazo zinatosha,na huu mwili pia unatosha,by the way thanks for info.
Hizi treni tetenas kibaoo ndani....