Treni za mjini Khartoum, Sudani ya kaskazini

Kuna faida gani kuwa na treni nzuri halafu mwanamke akivaa jeans chini ya baibui anatandikwa viboko hadharani kama mtoto mdogo kwa style ya udhalilishaji wa hali ya juu? Worthless piece of africa

Wewe ni ME or JIKEMEN...unapenda kuyaangalia eti, namashaka na wewe...
 
Hongereni sana sudan hakika mnastahili sifa, na huku kwetu tunajivunia na Airbus..yakwanza ilishawasili Another one is on the way....japo maisha yamekuwa magumu mno
 
Kuna faida gani kuwa na treni nzuri halafu mwanamke akivaa jeans chini ya baibui anatandikwa viboko hadharani kama mtoto mdogo kwa style ya udhalilishaji wa hali ya juu? Worthless piece of africa
Ujinga kwenu
 
Watu wanaongelea maendeleo wewe unakuja na mawazo ya uzinzi. Ukiona hayo mata.k.o ya hao wanawake unapata faida gani?
wewe kama ukiona Ma.tako huwezi kujizuia unadinda mwili mzma basi jihesabie wewe ni MZINZI.
 
Umeenda mbali. Faida ipo kubwa mno! Ivi wewe Kadhi mkuu m1, maendeleo yana faida gani bila kuwepo na wanawake? Hivi Majengo mazuri, magari mazuri, mazingira mazuri yanaweza kupendezaje bila wanawake?
Tuna"toil" tupate pesa ama mali tule na wanawake na kujenga familia!
Mungu ametuumbia wanawake wazuri(warembo)kutupumbaza na adha ya dunia hii ngumu, ili tuyaone maisha mazuri ijapo ni kinyume chake. Bila wanawake, ikawa tunazaliana kwa kujigawa kama micro organisms, pasingekuwa na maendeleo yoyote. Na maisha yangekuwa na sura tofauti. Kwa hiyo faida ya wanawake ni kubwa mno kuliko hata niliyoeleza kifupi. Ndiyo nyie wabinafsi mtumiao gia ya maadili ama udini, kuwagubika mibaibui mwili mzima ili watu wasifaidi maumbile yao ambayo M/Mungu aliyashusha bure,kila mtu aone na yamfariji na kufurahi na roho yake, kama aangaliavyo maua bustanini. Haya niliyokueleza unayafahamu ila roho ya ubinafsi inakubungua!
Yaani umeelezea kile kilichokuwa moyoni mwangu kabisa, umemaliza kila kitu
 
Kuna faida gani kuwa na treni nzuri halafu mwanamke akivaa jeans chini ya baibui anatandikwa viboko hadharani kama mtoto mdogo kwa style ya udhalilishaji wa hali ya juu? Worthless piece of africa
Mbona kama umechanganya madesa, kikubwa tunatakiwa kuiga mazuri tu, sasa wewe unaleta mambo mengine ambayo haya tuhusu, kama umeumia nenda kaandame huko sudani
 
acha ungese wewe unadhani mwanamke yuko kwa ajili ya kila mwanaume. umeniudhi sana fala we,unakuwa na mawazo kama hanithi bwana
Avatar yako na HASIRA ulizoonesha kwaajili ya comment ya jamaa ni VITU viwili TOFAUTI..!
 
hwajamaa sinasikia huwa wanavita??mbona wanaendelea kutushinda kimaendeleo sisi ambao tunaamani tangu mwaka 61
 
Umeenda mbali. Faida ipo kubwa mno! Ivi wewe Kadhi mkuu m1, maendeleo yana faida gani bila kuwepo na wanawake? Hivi Majengo mazuri, magari mazuri, mazingira mazuri yanaweza kupendezaje bila wanawake?
Tuna"toil" tupate pesa ama mali tule na wanawake na kujenga familia!
Mungu ametuumbia wanawake wazuri(warembo)kutupumbaza na adha ya dunia hii ngumu, ili tuyaone maisha mazuri ijapo ni kinyume chake. Bila wanawake, ikawa tunazaliana kwa kujigawa kama micro organisms, pasingekuwa na maendeleo yoyote. Na maisha yangekuwa na sura tofauti. Kwa hiyo faida ya wanawake ni kubwa mno kuliko hata niliyoeleza kifupi. Ndiyo nyie wabinafsi mtumiao gia ya maadili ama udini, kuwagubika mibaibui mwili mzima ili watu wasifaidi maumbile yao ambayo M/Mungu aliyashusha bure,kila mtu aone na yamfariji na kufurahi na roho yake, kama aangaliavyo maua bustanini. Haya niliyokueleza unayafahamu ila roho ya ubinafsi inakubungua!
Hhahahahaaaaa....mkuu nimecheka sana.
 
Hongera zao, hayo ndio Mambo tunatotaka kuyaona Huku Afrika.
 
Sisi tuna mwendo kasi sasa hzo treni na mwendo kasi kipi bora
 
Back
Top Bottom