ruralofficer
JF-Expert Member
- Apr 4, 2014
- 2,499
- 3,636
ajali ya mapenzi hii itaitwaWife material umewaona kwa macho....????naona ajali mbele soon.
ajali ya mapenzi hii itaitwaWife material umewaona kwa macho....????naona ajali mbele soon.
Hahaaa kweli we nishida,waogope kunguni na chawa wakati wemwenyewe kuoga utata hapo ulipo,chumbani kwako kuchafuu,nguo chafu kila kona hahahaaaaaWaogope nini treni chombo usafiri mimi mwenyewe nakushangaa unachouliza!
Waogope nini treni chombo usafiri mimi mwenyewe nakushangaa unachouliza!
Utajuaje kunguni na chawa kama sio maisha yako ya kila siku!Hahaaa kweli we nishida,waogope kunguni na chawa wakati wemwenyewe kuoga utata hapo ulipo,chumbani kwako kuchafuu,nguo chafu kila kona hahahaaaaa