Trends, Visions: Watanzania msitatizwe na kauli zake kuhusu Katiba, baada ya Nyerere, ni Magufuli ndiye ataacha legacy kubwa ikiwemo Katiba Mpya!

Mkuu mimi sipitagi bandiko lako, ushauri, unapoamua kuandika kiswahili andika kiswahili tu na kama ni kingereza chapa hichohicho. Huku kuchanganya lugha kidogo huwa kunaondoa ladha hasa kwa sisi ambao form six tumemalizia mjini.
 
Mkutano wa Jana Pale UDSM
Watoa mada na wachangia mada were well set ili wote kazi iwe ni moja tuu, kuunga mkono, na kufagilia kila kitu as if there is nothing wrong!, angalau Father Kitima, is the one and only who spoke the naked truth. Kama chuo kikuu ndio kisima cha maarifa na chemchem ya fikra, na hakukuwepo fikra mbadala, then the arrangement was good kuhakikisha wenye fikra mbadala hawasogolei kipaza sauti, ni onyesho zuri, well staged, well planned na lilipendeza.

Nawatakia Furahi Dei Njema.

Paskali

Msaada Pasco & wana JF ni wapi nitapata audio ya Father Kitima au summary ya alichokiongea?
 
Leo wakati nayazungumza haya, inawezekana hata rais Magufuli mwenyewe, bado hajui wala hajajijua kuwa ni yeye ndiye atakayetuachia katiba mpya, kwa jinsi ile ile akina sisi tulipojua siku nyingi kabla kuwa rais wetu wa 2015 ni Dr. John Pombe Joseph Magufuli, wakati huo hata yeye mwenyewe atakuwa alikuwa hajui, alipoamua kuingia kwenye kinyang'anyiro cha urais, yeye alikuwa anajua kuwa anajaribu tuu kwa ku beep, kumbe kuna watu siku nyingi waliishampangia bila mwenyewe kujijua. Angalia tarehe ya bandiko hili, na sababu zilizofanya rais wetu wa 2015 akawa ni Magufuli, ndizo sababu hizo hizo zitamfanya rais Magufuli atuletee katiba mpya kabla ya 2025!.
Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli - JamiiForums

Mambo ya visions ni maono sio mambo ya ulimwengu huu wa mwili, ni mambo ya ulimwengu wa roho, hivyo nawaomba sana wanabodi, msiniulize chochote kuhusu maono haya hadi tutakapokumbushana ile siku yanatimia.

Nawatakia Furahi Dei Njema.

Paskali

Hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
Paskali bwana!
 
Mimi mwenyewe naamini term ya 2 atakuja na Katiba Mpya lakini namuuna kabisa anataka kuirudia Rasimu ya 2(Ya Warioba) lakini shida iko sehemu moja kwake! SERIKALI 3 Hili suala linampa ukakasi sana labda kama atafanya kiala awezalo hiki kipengere kinyofolewe.
 
Labda anatekeleza/anatumikia moja ya sharti lake alilopewa gizani kuwa "ukitoka hapa kazi yako ni kusifia tu kwa kipindi kama kile ulichokuwa unasema ukweli, sio ombi ni amri, potea". Wanakutwa na mengi tuwaache tu.
 
The speech was so good, so natural, so genuine so touchy na kiukweli kabisa imenigusa, haswa his simplicity, it was very powerful speech, na hapo ndio hakupanga kuzungumza, jee angepanga?!
Wanabodi,

Hili ni bandiko kuhusu kitu kinachoitwa trends na visions. Trends ni kusoma mielekeo, na visions ni kuona mbali, hivyo trends za rais Magufuli anazokwenda nazo, kwa sisi waona mbali, tunaona kabisa mambo mazuri huko tuendako, ikiwemo katiba mpya!. Magufuli ni kama Nyerere, hivyo baada ya Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere kuacha legacy kubwa kwa taifa letu Tanzania, ikiwa ni pamoja na kutupatia ya uhuru, umoja, amani, upendo na mshikamano wa Watanzania, rais Magufuli ndiye kiongozi mwingine atakayeacha legacy kubwa kabisa Tanzania ikiwemo Katiba mpya!.

Mkutano wa Jana Pale UDSM
Mimi nikiwa ni alumni wa UDSM, nilipousikia mkutano huo, nami ningeweza kuhudhuria ili kusikia kwa masikio yangu mwenyewe, na kuona kwa macho yangu mwenyewe, hivyo nikapania lazima niende, lakini nilipoamka nikajisikia mzito na kuamua muufuatilia kwenye TV.

Kwa kweli mkutano ule ulikuwa staged vizuri sana hadi rais Magufuli kukaa na wananchi kama mwananchi kabisa, ila stage setter alikosea kidogo kuweka kiti cha ikulu pale, the perfect stage, ilikuwa ni rais Magufuli kukalia kiti cha kawaida tuu ili isionekane ni pre arranged.

Watoa mada na wachangia mada were well set ili wote kazi iwe ni moja tuu, kuunga mkono, na kufagilia kila kitu as if there is nothing wrong!, angalau Father Kitima, is the one and only who spoke the naked truth. Kama chuo kikuu ndio kisima cha maarifa na chemchem ya fikra, na hakukuwepo fikra mbadala, then the arrangement was good kuhakikisha wenye fikra mbadala hawasogolei kipaza sauti, ni onyesho zuri, well staged, well planned na lilipendeza.

Hatuba ya Rais Magufuli
Kama ilivyoelezwa, rais Magufuli hakupanga kuhutubia, alipanga kuwa msikilizaji tuu, ila uharaka wa kusimama alipoombwa tuu kuja kuhutubia huku hakupanga kuzungumza, na hotuba hile ya dakika 85 impromptu, leaves much to be desired.

Nimekumbuka kisa kimoja cha Mwalimu Nyerere alialikwa gala dinner ya Rotary Club of Dar es Salaam, pale Serena, enzi hizo Sheraton, baada ya dinner Mwalimu akaombwa kusalimia na kusema machache, akasimama akasalimia, baada ya kusalimia, akasema "asanteni sana", Mwalimu alirudi kukaa, watu hawakuamini, ila ukumbi mzima ulipiga makofi kwa standing ovation.

Hivyo kama rais Magufuli hakupanga kuzungumza, halafu akazungumza impromptu kwa dakika 85, then mtakubaliana na mimi, rais Magufuli speaks best impromptu, asipoandikiwa. The speech was so good, so natural, so genuine so touchy na kiukweli kabisa imenigusa, haswa his simplicity, it was very powerful speech, na hapo ndio hakupanga kuzungumza, jee angepanga?!

Katiba.
Kama alivyozungumza na sisi waandishi pale ikulu, alisema katiba mpya sio kipaumbele chake, jana pale USDM, rais Magufuli amerudia msimao huo kuwa hata tenga budget ya kuendeleza mchakato wa katiba mpya. Nawaomba wapenda demokrasia, wasikatishwe tamaa na kauli hii, mimi nawahakikishia miongoni mwa legacy kubwa ambazo rais Magufuli ataziacha siku akiondoka madarakani, ni pamoja na kutuachia katiba mpya.

Ili kujua kuwa rais Magufuli atatuachia katiba mpya, angalieni hizi baadhi ya kauli zake na alikuja kufanya nini. mfano ile ya "sitateua wapinzani katika serikali yangu" na angalia nini kimetokea, hivyo hata hata hii kauli ya katiba sio kipaumbele changu, ni kauli tuu, sio kila anachofanya rais Magufuli ni lazima kiwe kipaumbele chake, vipaumbele vingine ni over and above vipaumbele vyake, kwani unadhani yeye rais Magufuli alijua kuwa ndiye atakuwa rais wa nchi nchi hii 2015?, yeye hakujua, alijaribu tuu, na ikatiki, akijihesabu imetokea tuu, lakini kuna watu tulijua!.

Leo wakati nayazungumza haya, inawezekana hata rais Magufuli mwenyewe, bado hajui wala hajajijua kuwa ni yeye ndiye atakayetuachia katiba mpya, kwa jinsi ile ile akina sisi tulipojua siku nyingi kabla kuwa rais wetu wa 2015 ni Dr. John Pombe Joseph Magufuli, wakati huo hata yeye mwenyewe atakuwa alikuwa hajui, alipoamua kuingia kwenye kinyang'anyiro cha urais, yeye alikuwa anajua kuwa anajaribu tuu kwa ku beep, kumbe kuna watu siku nyingi waliishampangia bila mwenyewe kujijua. Angalia tarehe ya bandiko hili, na sababu zilizofanya rais wetu wa 2015 akawa ni Magufuli, ndizo sababu hizo hizo zitamfanya rais Magufuli atuletee katiba mpya kabla ya 2025!.
Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli - JamiiForums

Mambo ya visions ni maono sio mambo ya ulimwengu huu wa mwili, ni mambo ya ulimwengu wa roho, hivyo nawaomba sana wanabodi, msiniulize chochote kuhusu maono haya hadi tutakapokumbushana ile siku yanatimia.

Nawatakia Furahi Dei Njema.

Paskali
.....The speech was so good, so natural, so genuine so touchy na kiukweli kabisa imenigusa, haswa his simplicity, it was very powerful speech, na hapo ndio hakupanga kuzungumza, jee angepanga?........................ Pascal Mayalla ..... bahati mbaya hatuna Profesa, Tanzania, ni hao hao .... ukiona msomi anasema Magu ameongea sense ujue the academic society of Tanzania is doomed!
......"The intellectuals of a society are its mind, and the intellect of a doomed society is a mind that somehow got lost in a labyrinth of broken dreams, and cannot even find its way to the end, let alone past it." ..... (by Umair Haque)
 
Kuna kipindi huwa nakupinga sana kwa kung'ata na kupuliza.
Lakini bandiko hili la leo limekusudia kufikisha ujumbe kwa mhusika tena kwa akili sana, lkn kwasababu za ushabiki wa vyama hapa utapingwa sana but nimekuelewa sana na hujamfagilia mtu mzaidi ya kumlima vijembe
Pascal Mayalla
 
Kwa heshima na taadhima naunga suala la Magu kuachana na suala la katiba mpya kwa sababu hiyo ndiyo njia pekee itakayohakikisha kwamba JPM ataondoka madarakani hapo 2025!

Ukweli ni kwamba, naogopa sana suala la mchakato wa Katiba Mpya kufanyika kipindi cha Magufuli! Napata shida sana kumtofautisha huyu jamaa na akina Museven!

Does anyone believe kwamba Katiba Mpya under Magufuli Administration itakuwa ni Katiba Mpya kwa ustawi wa taifa na sio kwa ustawi wa Magufuli Administration?!

Ni nani atakayeweza kuuzima moto wa wale wendawazimu wanaotaka JPM aendelee kutawala kwa miaka 40?! Ni nani atakayeweza kuuzima moto wa Bunge lijalo ambalo litakuwa at least 90% ni CCM... bunge ambalo litajaa wendawazimu ambao bila shaka nao wataota Katiba Mpya iondoe ukomo wa uongozi?

Au mnadhani JPM's conscious is 100% pure kama ilivyokuwa kwa JK au BM kwamba, akimaliza tu muda wake atatamani kuondoka?! Guys... huyu jamaa akipata support kwamba atawale milele, atatawala kama wanavyofanya maswahiba wake! Ogopa watu wanaotawala kwa kaulimbiu za "uzalendo" huku wakijaribu kuficha madudu yao kwenye kichaka chao cha uzalendo!

Watu wa aina hii hawaamini kama kuna mtu mwingine somewhere anayeweza kuongoza "vizuri" kama yeye! Hawa akina Kagame na akina Museveni ni kwa sababu tu wanaamini hakuna anayeweza kuongoza nchi zao "vizuri" kama wanavyoongoza wao!

So, thanks Magufuli kwa kupiga chini Katiba Mpya manake, bila kujijua, nadhani watu wanataka wakuhalalishie udhalimu mwingi wa kisiasa unaofanywa na utawala wako ili hatimae udhalimu huo uwe kwenye katiba!!

Na kama ni Katiba Mpya, basi mchakato uanze somewhere from 2023 na ianze kutumika baada ya kuwa ameshaondoka 2025! Kwa sasa muhimu kwangu labda mabadiliko ya kifungu kinachokataza kupinga matokeo ya urais mahakamani!

I still believe mabadiliko yoyote ya katiba kwa sasa yatalenga sana kuhalalisha yale yanayopingwa na Wanademokrasia na Wanamageuzi kuliko vinginevyo! Ingawaje JK hakuwa mtu wa ku-interfere Bunge lakini lilipokuja suala la Katiba Mpya ali-interfere Bunge la Katiba only to defend Serikali Mbili!! What about this Guy ambae tayari haaminiki linapokuja suala la interference?!

Hata hivyo, kwa kiasi fulani nakubaliana na Pascal kwamba JPM anaweza kuacha katiba! Imani yangu hii inatokana na silika ya JPM kutaka kufanya yale yanayoonekana wenzake walishindwa!

Atatuachia Katiba Mpya, ataachia Madaraka na ataivusha/atafanikiwa kuirudisha Serikali ya CCM Madarakani.
 
Paskali!

Huu mchezo wako wa kupanda mabasi ya morogoro wakati lengo lako ni kwenda mkuranga hua unaniacha hoi.

Kuna siku utakumbana na tafrani na dunia nzima itasimama kushangilia baada ya kujua ulimpiga kanzu kipa wako sio kwa lengo la kufunga bali ulijua ukimrudishia mpira utamteleza na mtafungwa.....bahati nzuri uliweza kuutoa ukawa kona.

Hahahaha.....
 
Leo wakati nayazungumza haya, inawezekana hata rais Magufuli mwenyewe, bado hajui wala hajajijua kuwa ni yeye ndiye atakayetuachia katiba mpya,
Kwahiyo atafanya si kwa kutaka kwake kama ambavyo ameonyesha msimamo wake, ila kuna "WATU" wataamua badala yake na yeye kuwa "STAR" wa mchezo.
 
Wanabodi,

Hili ni bandiko kuhusu kitu kinachoitwa trends na visions. Trends ni kusoma mielekeo, na visions ni kuona mbali, hivyo trends za rais Magufuli anazokwenda nazo, kwa sisi waona mbali, tunaona kabisa mambo mazuri huko tuendako, ikiwemo katiba mpya!. Magufuli ni kama Nyerere, hivyo baada ya Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere kuacha legacy kubwa kwa taifa letu Tanzania, ikiwa ni pamoja na kutupatia ya uhuru, umoja, amani, upendo na mshikamano wa Watanzania, rais Magufuli ndiye kiongozi mwingine atakayeacha legacy kubwa kabisa Tanzania ikiwemo Katiba mpya!.

Mkutano wa Jana Pale UDSM
Mimi nikiwa ni alumni wa UDSM, nilipousikia mkutano huo, nami ningeweza kuhudhuria ili kusikia kwa masikio yangu mwenyewe, na kuona kwa macho yangu mwenyewe, hivyo nikapania lazima niende, lakini nilipoamka nikajisikia mzito na kuamua muufuatilia kwenye TV.

Kwa kweli mkutano ule ulikuwa staged vizuri sana hadi rais Magufuli kukaa na wananchi kama mwananchi kabisa, ila stage setter alikosea kidogo kuweka kiti cha ikulu pale, the perfect stage, ilikuwa ni rais Magufuli kukalia kiti cha kawaida tuu ili isionekane ni pre arranged.

Watoa mada na wachangia mada were well set ili wote kazi iwe ni moja tuu, kuunga mkono, na kufagilia kila kitu as if there is nothing wrong!, angalau Father Kitima, is the one and only who spoke the naked truth. Kama chuo kikuu ndio kisima cha maarifa na chemchem ya fikra, na hakukuwepo fikra mbadala, then the arrangement was good kuhakikisha wenye fikra mbadala hawasogolei kipaza sauti, ni onyesho zuri, well staged, well planned na lilipendeza.

Hatuba ya Rais Magufuli
Kama ilivyoelezwa, rais Magufuli hakupanga kuhutubia, alipanga kuwa msikilizaji tuu, ila uharaka wa kusimama alipoombwa tuu kuja kuhutubia huku hakupanga kuzungumza, na hotuba hile ya dakika 85 impromptu, leaves much to be desired.

Nimekumbuka kisa kimoja cha Mwalimu Nyerere alialikwa gala dinner ya Rotary Club of Dar es Salaam, pale Serena, enzi hizo Sheraton, baada ya dinner Mwalimu akaombwa kusalimia na kusema machache, akasimama akasalimia, baada ya kusalimia, akasema "asanteni sana", Mwalimu alirudi kukaa, watu hawakuamini, ila ukumbi mzima ulipiga makofi kwa standing ovation.

Hivyo kama rais Magufuli hakupanga kuzungumza, halafu akazungumza impromptu kwa dakika 85, then mtakubaliana na mimi, rais Magufuli speaks best impromptu, asipoandikiwa. The speech was so good, so natural, so genuine so touchy na kiukweli kabisa imenigusa, haswa his simplicity, it was very powerful speech, na hapo ndio hakupanga kuzungumza, jee angepanga?!

Katiba.
Kama alivyozungumza na sisi waandishi pale ikulu, alisema katiba mpya sio kipaumbele chake, jana pale USDM, rais Magufuli amerudia msimao huo kuwa hata tenga budget ya kuendeleza mchakato wa katiba mpya. Nawaomba wapenda demokrasia, wasikatishwe tamaa na kauli hii, mimi nawahakikishia miongoni mwa legacy kubwa ambazo rais Magufuli ataziacha siku akiondoka madarakani, ni pamoja na kutuachia katiba mpya.

Ili kujua kuwa rais Magufuli atatuachia katiba mpya, angalieni hizi baadhi ya kauli zake na alikuja kufanya nini. mfano ile ya "sitateua wapinzani katika serikali yangu" na angalia nini kimetokea, hivyo hata hata hii kauli ya katiba sio kipaumbele changu, ni kauli tuu, sio kila anachofanya rais Magufuli ni lazima kiwe kipaumbele chake, vipaumbele vingine ni over and above vipaumbele vyake, kwani unadhani yeye rais Magufuli alijua kuwa ndiye atakuwa rais wa nchi nchi hii 2015?, yeye hakujua, alijaribu tuu, na ikatiki, akijihesabu imetokea tuu, lakini kuna watu tulijua!.

Leo wakati nayazungumza haya, inawezekana hata rais Magufuli mwenyewe, bado hajui wala hajajijua kuwa ni yeye ndiye atakayetuachia katiba mpya, kwa jinsi ile ile akina sisi tulipojua siku nyingi kabla kuwa rais wetu wa 2015 ni Dr. John Pombe Joseph Magufuli, wakati huo hata yeye mwenyewe atakuwa alikuwa hajui, alipoamua kuingia kwenye kinyang'anyiro cha urais, yeye alikuwa anajua kuwa anajaribu tuu kwa ku beep, kumbe kuna watu siku nyingi waliishampangia bila mwenyewe kujijua. Angalia tarehe ya bandiko hili, na sababu zilizofanya rais wetu wa 2015 akawa ni Magufuli, ndizo sababu hizo hizo zitamfanya rais Magufuli atuletee katiba mpya kabla ya 2025!.
Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli - JamiiForums

Mambo ya visions ni maono sio mambo ya ulimwengu huu wa mwili, ni mambo ya ulimwengu wa roho, hivyo nawaomba sana wanabodi, msiniulize chochote kuhusu maono haya hadi tutakapokumbushana ile siku yanatimia.

Nawatakia Furahi Dei Njema.

Paskali
Nina uhakika pamoja na mbwembwe kibao anazoonyesha, Magufuli naapa kabla ya kumaliza kipindi chake cha II, atairudisha Rasimu ya II ya Warioba na siyo ile nyingine, ndiyo maana hadi alimpenda Polepole coz alimuona ana akili na uelewa mkubwa sana wa masuala ya sheria na siasa nchini.

Tena Rais kumteua Dk. Bashiru ni uthibitisho mwingine kuwa, yuko sensitive na Katiba Mpya, japokuwa Dk. Bashiru hakuonyesha kuunga mkono Rasimu yoyote kipindi kile muhimu cha Mchakato wa Katiba Mpya.
It's the matter of time lakini dalili zote zinaonyesha kuwa Mr President is really fond of Warioba's Proposed Constitution.
 
Paskali katiba sio mapenzi ya watawala tu bali ni makubaliano ya taratibu za uongozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kati ya watawala na watawaliwa, ukazaliwa mkataba ujulikanao kwa jina jepesi katiba.
Sababu za watawala na watawaliwa kudai katiba mpya ziko varied, leo, kesho na keshokutwa halikwepeki.
Upande mmoja usijitutumue kuona kuwa maoni au matakwa ya upande wa pili sio muhimu hadi zijengwe reli,mabwawa ya umeme.
Kushindwa kufanikisha katiba kipindi cha JK ni kosa la serikali iliopewa dhamana si kosa la wananchi yaani watawaliwa.
Kinachotakiwa ni katiba mpya si visingizio vya kukana majukumu ya seikali.
 
Wanabodi,

Hili ni bandiko kuhusu kitu kinachoitwa trends na visions. Trends ni kusoma mielekeo, na visions ni kuona mbali, hivyo trends za rais Magufuli anazokwenda nazo, kwa sisi waona mbali, tunaona kabisa mambo mazuri huko tuendako, ikiwemo katiba mpya!. Magufuli ni kama Nyerere, hivyo baada ya Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere kuacha legacy kubwa kwa taifa letu Tanzania, ikiwa ni pamoja na kutupatia ya uhuru, umoja, amani, upendo na mshikamano wa Watanzania, rais Magufuli ndiye kiongozi mwingine atakayeacha legacy kubwa kabisa Tanzania ikiwemo Katiba mpya!.

Mkutano wa Jana Pale UDSM
Mimi nikiwa ni alumni wa UDSM, nilipousikia mkutano huo, nami ningeweza kuhudhuria ili kusikia kwa masikio yangu mwenyewe, na kuona kwa macho yangu mwenyewe, hivyo nikapania lazima niende, lakini nilipoamka nikajisikia mzito na kuamua muufuatilia kwenye TV.

Kwa kweli mkutano ule ulikuwa staged vizuri sana hadi rais Magufuli kukaa na wananchi kama mwananchi kabisa, ila stage setter alikosea kidogo kuweka kiti cha ikulu pale, the perfect stage, ilikuwa ni rais Magufuli kukalia kiti cha kawaida tuu ili isionekane ni pre arranged.

Watoa mada na wachangia mada were well set ili wote kazi iwe ni moja tuu, kuunga mkono, na kufagilia kila kitu as if there is nothing wrong!, angalau Father Kitima, is the one and only who spoke the naked truth. Kama chuo kikuu ndio kisima cha maarifa na chemchem ya fikra, na hakukuwepo fikra mbadala, then the arrangement was good kuhakikisha wenye fikra mbadala hawasogolei kipaza sauti, ni onyesho zuri, well staged, well planned na lilipendeza.

Hatuba ya Rais Magufuli
Kama ilivyoelezwa, rais Magufuli hakupanga kuhutubia, alipanga kuwa msikilizaji tuu, ila uharaka wa kusimama alipoombwa tuu kuja kuhutubia huku hakupanga kuzungumza, na hotuba hile ya dakika 85 impromptu, leaves much to be desired.

Nimekumbuka kisa kimoja cha Mwalimu Nyerere alialikwa gala dinner ya Rotary Club of Dar es Salaam, pale Serena, enzi hizo Sheraton, baada ya dinner Mwalimu akaombwa kusalimia na kusema machache, akasimama akasalimia, baada ya kusalimia, akasema "asanteni sana", Mwalimu alirudi kukaa, watu hawakuamini, ila ukumbi mzima ulipiga makofi kwa standing ovation.

Hivyo kama rais Magufuli hakupanga kuzungumza, halafu akazungumza impromptu kwa dakika 85, then mtakubaliana na mimi, rais Magufuli speaks best impromptu, asipoandikiwa. The speech was so good, so natural, so genuine so touchy na kiukweli kabisa imenigusa, haswa his simplicity, it was very powerful speech, na hapo ndio hakupanga kuzungumza, jee angepanga?!

Katiba.
Kama alivyozungumza na sisi waandishi pale ikulu, alisema katiba mpya sio kipaumbele chake, jana pale USDM, rais Magufuli amerudia msimao huo kuwa hata tenga budget ya kuendeleza mchakato wa katiba mpya. Nawaomba wapenda demokrasia, wasikatishwe tamaa na kauli hii, mimi nawahakikishia miongoni mwa legacy kubwa ambazo rais Magufuli ataziacha siku akiondoka madarakani, ni pamoja na kutuachia katiba mpya.

Ili kujua kuwa rais Magufuli atatuachia katiba mpya, angalieni hizi baadhi ya kauli zake na alikuja kufanya nini. mfano ile ya "sitateua wapinzani katika serikali yangu" na angalia nini kimetokea, hivyo hata hata hii kauli ya katiba sio kipaumbele changu, ni kauli tuu, sio kila anachofanya rais Magufuli ni lazima kiwe kipaumbele chake, vipaumbele vingine ni over and above vipaumbele vyake, kwani unadhani yeye rais Magufuli alijua kuwa ndiye atakuwa rais wa nchi nchi hii 2015?, yeye hakujua, alijaribu tuu, na ikatiki, akijihesabu imetokea tuu, lakini kuna watu tulijua!.

Leo wakati nayazungumza haya, inawezekana hata rais Magufuli mwenyewe, bado hajui wala hajajijua kuwa ni yeye ndiye atakayetuachia katiba mpya, kwa jinsi ile ile akina sisi tulipojua siku nyingi kabla kuwa rais wetu wa 2015 ni Dr. John Pombe Joseph Magufuli, wakati huo hata yeye mwenyewe atakuwa alikuwa hajui, alipoamua kuingia kwenye kinyang'anyiro cha urais, yeye alikuwa anajua kuwa anajaribu tuu kwa ku beep, kumbe kuna watu siku nyingi waliishampangia bila mwenyewe kujijua. Angalia tarehe ya bandiko hili, na sababu zilizofanya rais wetu wa 2015 akawa ni Magufuli, ndizo sababu hizo hizo zitamfanya rais Magufuli atuletee katiba mpya kabla ya 2025!.
Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli - JamiiForums

Mambo ya visions ni maono sio mambo ya ulimwengu huu wa mwili, ni mambo ya ulimwengu wa roho, hivyo nawaomba sana wanabodi, msiniulize chochote kuhusu maono haya hadi tutakapokumbushana ile siku yanatimia.

Nawatakia Furahi Dei Njema.

Paskali
Mkuu kweli umeaminshwa na umeamini,sawa ni mtazamo wako mkuu.
 
Paskali,
Kenya wana katiba nzuri nadhani kuliko nchi nyingi na yet wana matatizo yale yale ya Rushwa, ukabila na kutowabika kusimamia mali za umma. Reli ya Kenya SGR imejengwa wakati wa katiba mpya na inatumia diezel; Reli ya JPM ni SGR na inatumia umeme, kuna mtu Kenya kaitwa na PCCB ya kwao kujua kwanini wamepigwa?
Binafsi naona tuna haja ya kupika uzalendo wa hali ya juu kwanza miongoni mwetu Watanzania, ili ikitokea siku tuna katiba mpya, room ya kuwapata wasimamizi wazuri wa hiyo katiba inakuwa functional.

Sasa hivi tena, Kenya hao hao wanataka ku-create cheo cha Waziri mkuu na kupunguza fedha kwwa magavana, maana washaona huko nako jamaa wanapiga kwa kwenda mbele.

Pamoja na investment ya miondombinu anayofanya JPM, tunamshauri pia awekeze kwenye miradi inayo-develop human capital absorption in the marketing place. In turn hela yake itarudi kwa njia ya kodi na tozo zingine. Wewe mwenyewe umeshuhudia toka kwetu huku Ng'wanza, kuwa tukiwa nazo kujiachia kunatokea by default kwa Dreamliner kujaa wasukuma kwenda Dar
 
Katiba mpya italetwa kwenye awamu yake ya pili kwasababu bunge litakua wabunge wa ccm zaidi ya 90%.
Hapo watapitisha matakwa ya chama chao bila ya kupingwa na yoyote.
Halafu Magufuli atasema nimewapa katiba mpya.
 
Paskali,
Kenya wana katiba nzuri nadhani kuliko nchi nyingi na yet wana matatizo yale yale ya Rushwa, ukabila na kutowabika kusimamia mali za umma. Reli ya Kenya SGR imejengwa wakati wa katiba mpya na inatumia diezel; Reli ya JPM ni SGR na inatumia umeme, kuna mtu Kenya kaitwa na PCCB ya kwao kujua kwanini wamepigwa?
Binafsi naona tuna haja ya kupika uzalendo wa hali ya juu kwanza miongoni mwetu Watanzania, ili ikitokea siku tuna katiba mpya, room ya kuwapata wasimamizi wazuri wa hiyo katiba inakuwa functional.

Sasa hivi tena, Kenya hao hao wanataka ku-create cheo cha Waziri mkuu na kupunguza fedha kwwa magavana, maana washaona huko nako jamaa wanapiga kwa kwenda mbele.

Pamoja na investment ya miondombinu anayofanya JPM, tunamshauri pia awekeze kwenye miradi inayo-develop human capital absorption in the marketing place. In turn hela yake itarudi kwa njia ya kodi na tozo zingine. Wewe mwenyewe umeshuhudia toka kwetu huku Ng'wanza, kuwa tukiwa nazo kujiachia kunatokea by default kwa Dreamliner kujaa wasukuma kwenda Dar
Itikadi za kijamaa ni political will of power ili kutawala akili na mawazo ya watu kwa kuwafanya wengi wawe masikini mashetani ili iwe rahisi kuwatawala. Hivo ni nadra sana kukuta ukuzaji uchumi wa mmoja Kwa kuwajengea wananchi uwezo wa kuzalisha mfano kwenye Kilimo ili waweze uza nje kukuza uchumi.
 
Back
Top Bottom