Trends, Visions: Watanzania msitatizwe na kauli zake kuhusu Katiba, baada ya Nyerere, ni Magufuli ndiye ataacha legacy kubwa ikiwemo Katiba Mpya!

Bora hujaenda kwenye hayo maigizo, nataka nikuamini ila tatizo katiba mpya ni kitanzi kwa rais mwenyewe, na ndio maana wanafight kuweka waridhi ili kuwarinda pindi wanapokuwa hawapo madarakani.
 
Wananchi wasichoke kudai katiba mpya ni lazima ipatikane kabla ya mwaka 2020,Makundi maalumu ya wawakilishi yajipange kupanga siku ya kukutana ili mjadala wa katiba mpya ya wananchi ipatikane,tuko tayari kukaa hata bure kwa gharama zetu pesa zao wakajengee reli,ili tupate muongozo bora wa kujenga taifa,ili watu wahuni wahuni wasipate nafasi ya kuchezea kodi zetu,pia iwezeshe kupatikana kwa utawala bora wa Sheria sio double standard, matumizi bora ya kodi zetu.Kiongozi ni mwajiriwa wa wananchi atakiwi kuwa na nguvu kuliko wananchi, mambo ya Kofia Mbili yafutiliwe mbali ndo kitanzi kikuu cha wananchi,mwenyekiti awe mwenyekiti na rais awe rais, ili waweze kuwajibishana pindi mmoja aingizapo mambo binafsi ili kuleta balance.
 
Wanabodi,

Hili ni bandiko kuhusu kitu kinachoitwa trends na visions. Trends ni kusoma mielekeo, na visions ni kuona mbali, hivyo trends za rais Magufuli anazokwenda nazo, kwa sisi waona mbali, tunaona kabisa mambo mazuri huko tuendako, ikiwemo katiba mpya!. Magufuli ni kama Nyerere, hivyo baada ya Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere kuacha legacy kubwa kwa taifa letu Tanzania, ikiwa ni pamoja na kutupatia ya uhuru, umoja, amani, upendo na mshikamano wa Watanzania, rais Magufuli ndiye kiongozi mwingine atakayeacha legacy kubwa kabisa Tanzania ikiwemo Katiba mpya!.

Mkutano wa Jana Pale UDSM
Mimi nikiwa ni alumni wa UDSM, nilipousikia mkutano huo, nami ningeweza kuhudhuria ili kusikia kwa masikio yangu mwenyewe, na kuona kwa macho yangu mwenyewe, hivyo nikapania lazima niende, lakini nilipoamka nikajisikia mzito na kuamua muufuatilia kwenye TV.

Kwa kweli mkutano ule ulikuwa staged vizuri sana hadi rais Magufuli kukaa na wananchi kama mwananchi kabisa, ila stage setter alikosea kidogo kuweka kiti cha ikulu pale, the perfect stage, ilikuwa ni rais Magufuli kukalia kiti cha kawaida tuu ili isionekane ni pre arranged.

Watoa mada na wachangia mada were well set ili wote kazi iwe ni moja tuu, kuunga mkono, na kufagilia kila kitu as if there is nothing wrong!, angalau Father Kitima, is the one and only who spoke the naked truth. Kama chuo kikuu ndio kisima cha maarifa na chemchem ya fikra, na hakukuwepo fikra mbadala, hivyo unapokuwa na kongamano la kisomi la kutathmini miaka 3 ya utawala wa Magufuli, then kila presentation ni kusifu tuu bila critical thinking unategemea nini?, all and all, the arrangement was good kuhakikisha critical thinkers hawasogolei kipaza sauti, ni onyesho zuri, well staged, well planned na lilipendeza.

Hatuba ya Rais Magufuli
Kama ilivyoelezwa, rais Magufuli hakupanga kuhutubia, alipanga kuwa msikilizaji tuu, ila uharaka wa kusimama alipoombwa tuu kuja kuhutubia huku hakupanga kuzungumza, na hotuba hile ya dakika 85 impromptu, leaves much to be desired.

Nimekumbuka kisa kimoja cha Mwalimu Nyerere alialikwa gala dinner ya Rotary Club of Dar es Salaam, pale Serena, enzi hizo Sheraton, baada ya dinner Mwalimu akaombwa kusalimia na kusema machache, akasimama akasalimia, baada ya kusalimia, akasema "asanteni sana", Mwalimu alirudi kukaa, watu hawakuamini, ila ukumbi mzima ulipiga makofi kwa standing ovation.

Hivyo kama rais Magufuli hakupanga kuzungumza, halafu akazungumza impromptu kwa dakika 85, then mtakubaliana na mimi, rais Magufuli speaks best impromptu, asipoandikiwa. The speech was so good, so natural, so genuine so touchy na kiukweli kabisa imenigusa, haswa his simplicity, it was very powerful speech, na hapo ndio hakupanga kuzungumza, jee angepanga?!

Katiba.
Kama alivyozungumza na sisi waandishi pale ikulu, alisema katiba mpya sio kipaumbele chake, jana pale USDM, rais Magufuli amerudia msimao huo kuwa hata tenga budget ya kuendeleza mchakato wa katiba mpya. Nawaomba wapenda demokrasia, wasikatishwe tamaa na kauli hii, mimi nawahakikishia miongoni mwa legacy kubwa ambazo rais Magufuli ataziacha siku akiondoka madarakani, ni pamoja na kutuachia katiba mpya.

Ili kujua kuwa rais Magufuli atatuachia katiba mpya, angalieni hizi baadhi ya kauli zake na alikuja kufanya nini. mfano ile ya "sitateua wapinzani katika serikali yangu" na angalia nini kimetokea, hivyo hata hata hii kauli ya katiba sio kipaumbele changu, ni kauli tuu, sio kila anachofanya rais Magufuli ni lazima kiwe kipaumbele chake, vipaumbele vingine ni over and above vipaumbele vyake, kwani unadhani yeye rais Magufuli alijua kuwa ndiye atakuwa rais wa nchi nchi hii 2015?, yeye hakujua, alijaribu tuu, na ikatiki, akijihesabu imetokea tuu, lakini kuna watu tulijua!.

Leo wakati nayazungumza haya, inawezekana hata rais Magufuli mwenyewe, bado hajui wala hajajijua kuwa ni yeye ndiye atakayetuachia katiba mpya, kwa jinsi ile ile akina sisi tulipojua siku nyingi kabla kuwa rais wetu wa 2015 ni Dr. John Pombe Joseph Magufuli, wakati huo hata yeye mwenyewe atakuwa alikuwa hajui, alipoamua kuingia kwenye kinyang'anyiro cha urais, yeye alikuwa anajua kuwa anajaribu tuu kwa ku beep, kumbe kuna watu siku nyingi waliishampangia bila mwenyewe kujijua. Angalia tarehe ya bandiko hili, na sababu zilizofanya rais wetu wa 2015 akawa ni Magufuli, ndizo sababu hizo hizo zitamfanya rais Magufuli atuletee katiba mpya kabla ya 2025!.
Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli - JamiiForums

Mambo ya visions ni maono sio mambo ya ulimwengu huu wa mwili, ni mambo ya ulimwengu wa roho, hivyo nawaomba sana wanabodi, msiniulize chochote kuhusu maono haya hadi tutakapokumbushana ile siku yanatimia.

Nawatakia Furahi Dei Njema.

Paskali
Na kwa wanaotaka Katiba Mpya, kama ni kweli unataka katiba mpya, licha ya kutokuwepo kwenye ilani ya CCM, mimi Paskali Mayalla nakuambia, mchague Magufuli, mtapata Katiba Mpya!.

Naomba usiulize tutapataje katiba mpya huku katiba sii kipaumbele chake na haipo kwenye ilani ya uchaguzi ya CCM 2020-2025?.

Mimi nakusisitiza mambo mengine ni mambo ya imani za visions, kama unataka katiba mpya, Chagua Magufuli, chagua CCM, Katiba mpya utapata. Swali ni jee utapataje?, hiyo niachie mimi, wewe kwanza timiza tuu wajibu wako, kwa tarehe 28 October, mchague tena Magufuli, hayo mengine tuachie sisi!.
P.
 
Akisimamia zoezi hilo, kuna uwezekano mkubwa wa kuibuka na katiba mbovu kuliko hata ya sasa.
 
Na kwa wanaotaka Katiba Mpya, kama ni kweli unataka katiba mpya, licha ya kutokuwepo kwenye ilani ya CCM, mimi Paskali Mayalla nakuambia, mchague Magufuli, mtapata Katiba Mpya!.

Naomba usiulize tutapataje katiba mpya huku katiba sii kipaumbele chake na haipo kwenye ilani ya uchaguzi ya CCM 2020-2025?.

Mimi nakusisitiza mambo mengine ni mambo ya imani za visions, kama unataka katiba mpya, Chagua Magufuli, chagua CCM, Katiba mpya utapata. Swali ni jee utapataje?, hiyo niachie mimi, wewe kwanza timiza tuu wajibu wako, kwa tarehe 28 October, mchague tena Magufuli, hayo mengine tuachie sisi!.
P.
Chochote atakachofanya huyu stalinist itakuwa hakina mshiko. Kwanza atujibu nani alimpiga risasi 38 Tundu Lisu? Nani aliwaua hao vijana wetu waliotekwa? Kwenda mbinguni lazima upitie Tohorani
 
Na kwa wanaotaka Katiba Mpya, kama ni kweli unataka katiba mpya, licha ya kutokuwepo kwenye ilani ya CCM, mimi Paskali Mayalla nakuambia, mchague Magufuli, mtapata Katiba Mpya!.

Naomba usiulize tutapataje katiba mpya huku katiba sii kipaumbele chake na haipo kwenye ilani ya uchaguzi ya CCM 2020-2025?.

Mimi nakusisitiza mambo mengine ni mambo ya imani za visions, kama unataka katiba mpya, Chagua Magufuli, chagua CCM, Katiba mpya utapata. Swali ni jee utapataje?, hiyo niachie mimi, wewe kwanza timiza tuu wajibu wako, kwa tarehe 28 October, mchague tena Magufuli, hayo mengine tuachie sisi!.
P.
Kwa akili hii....katafute mazezeta uwaeleze haya..
Ila kilichokupata unakijua mwenyewe
 
Na kwa wanaotaka Katiba Mpya, kama ni kweli unataka katiba mpya, licha ya kutokuwepo kwenye ilani ya CCM, mimi Paskali Mayalla nakuambia, mchague Magufuli, mtapata Katiba Mpya!.

Naomba usiulize tutapataje katiba mpya huku katiba sii kipaumbele chake na haipo kwenye ilani ya uchaguzi ya CCM 2020-2025?.

Mimi nakusisitiza mambo mengine ni mambo ya imani za visions, kama unataka katiba mpya, Chagua Magufuli, chagua CCM, Katiba mpya utapata. Swali ni jee utapataje?, hiyo niachie mimi, wewe kwanza timiza tuu wajibu wako, kwa tarehe 28 October, mchague tena Magufuli, hayo mengine tuachie sisi!.
P.
Ooh yes, tutapata katiba mpya. Umeuliza tutaipataje? ukajibu tuwaachie "nyinyi." Sawa. Lakini hujauliza katiba ya namna gani? Jibu lake najua ni hilohilo, tuwaachie "nyinyi." Na cha muhimu hapa ni "kukomesha ukomo wa mihula"
 
Na kwa wanaotaka Katiba Mpya, kama ni kweli unataka katiba mpya, licha ya kutokuwepo kwenye ilani ya CCM, mimi Paskali Mayalla nakuambia, mchague Magufuli, mtapata Katiba Mpya!.

Naomba usiulize tutapataje katiba mpya huku katiba sii kipaumbele chake na haipo kwenye ilani ya uchaguzi ya CCM 2020-2025?.

Mimi nakusisitiza mambo mengine ni mambo ya imani za visions, kama unataka katiba mpya, Chagua Magufuli, chagua CCM, Katiba mpya utapata. Swali ni jee utapataje?, hiyo niachie mimi, wewe kwanza timiza tuu wajibu wako, kwa tarehe 28 October, mchague tena Magufuli, hayo mengine tuachie sisi!.
P.
Kwanza katiba mpya wanaimba hawa waTanzania lakini 90% ukiwauliza nini maana ya katiba au wanataka iweje wala hawawezi hata kukuchambulia lolote,sijui hua wanajidanganya nini kuhusu katiba,mTanzania hua anapiga kelele kwa kitu ambacho hata hakijui,katiba ni sheria inayoweza kuvadilika na watu wakarudi kujuta tu maana wataona tena mauza uza,ukimuuliza mTanzania wamekariri watakwambia tunataka kuondoa baadhi ya mamlaka ya Rais..hawajui hicho tu kinatosha kuivuruga nchi yoyote duniai na kuingia kubaya, kumuongoza muafrika ninkazi sana na JPM anaweza kuwapeleka kuliko Rais yoyote hapa Afrika
 
UNAKAZI NGUMU PASCAL.

nimefika hatua ya kukulinganisha na.
Kawe Almni.
USSR.
Jingalao.
Wakudadavua na
Yehodaya.

Hawa ni wazee wa Buku 7 pale Lumumba
 
Na kwa wanaotaka Katiba Mpya, kama ni kweli unataka katiba mpya, licha ya kutokuwepo kwenye ilani ya CCM, mimi Paskali Mayalla nakuambia, mchague Magufuli, mtapata Katiba Mpya!.

Naomba usiulize tutapataje katiba mpya huku katiba sii kipaumbele chake na haipo kwenye ilani ya uchaguzi ya CCM 2020-2025?.

Mimi nakusisitiza mambo mengine ni mambo ya imani za visions, kama unataka katiba mpya, Chagua Magufuli, chagua CCM, Katiba mpya utapata. Swali ni jee utapataje?, hiyo niachie mimi, wewe kwanza timiza tuu wajibu wako, kwa tarehe 28 October, mchague tena Magufuli, hayo mengine tuachie sisi!.
P.

Mstakabali wa inchi ni wetu sote leo imekuwaje uachiwe wewe wakati sie tupo wengi?
 
Wanabodi,

Hili ni bandiko kuhusu kitu kinachoitwa trends na visions. Trends ni kusoma mielekeo, na visions ni kuona mambo yajayo ya mbali, hivyo trends za rais Magufuli anazokwenda nazo, kwa sisi waona mbali, tuliojaaliwa kupata visions za yajayo, tunaona kabisa mambo mazuri huko tuendako, ikiwemo katiba mpya!. Magufuli ni kama Nyerere, hivyo baada ya Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere kuacha legacy kubwa kwa taifa letu Tanzania, ikiwa ni pamoja na kutupatia ya uhuru, umoja, amani, upendo na mshikamano wa Watanzania, rais Magufuli ndiye kiongozi mwingine atakayeacha the biggest legacy kubwa kabisa Tanzania ikiwemo kuitoa Tanzania katika kundi la nchi masikini na kuigeuza tajiri na kwenye siasa, atakuza demokrasia na kutuachia Katiba mpya!.

Mkutano wa Jana Pale UDSM
Mimi nikiwa ni alumni wa UDSM, nilipousikia mkutano huo, nami nilipanga kuhudhuria physically ili kusikia kwa masikio yangu mwenyewe, na kuona kwa macho yangu mwenyewe, hivyo nikapania lazima niende, lakini nilipoamka nikajisikia mzito na kuamua muufuatilia kwenye TV.

Kwa kweli mkutano ule ulikuwa well staged vizuri sana hadi rais Magufuli kukaa na wananchi kama mwananchi kabisa, ila stage setter alikosea kidogo kuweka kiti cha ikulu pale, the perfect stage, ilikuwa ni rais Magufuli kukalia kiti cha kawaida tuu ili isionekane ni pre arranged.

Watoa mada na wachangia mada were all well set ili wote kazi iwe ni moja tuu, kuunga mkono juhudi, na kufagilia kila kitu as if there is nothing wrong!, angalau Father Kitima, is the one and only who spoke the naked truth. Kama chuo kikuu ndio kisima cha maarifa na chemchem ya fikra, na hakukuwepo fikra zozote mbadala, hivyo unapokuwa na kongamano la kisomi la kutathmini miaka 3 ya utawala wa Magufuli, then kila presentation ni kusifu tuu bila critical thinking yoyote, unategemea nini?!, all and all, the arrangement was good kuhakikisha critical thinkers hawasogolei kipaza sauti, kwa kweli ni igizo zuri la onyesho zuri, la uzuri wa awamu ya 5, well staged, well planned na well executed and implemented, onyesho lilipendeza!.

Hatuba ya Rais Magufuli
Kama ilivyoelezwa, rais Magufuli hakupanga kuhutubia, alipanga kuwa msikilizaji tuu, ila uharaka wa kusimama alipoombwa tuu kuja kuhutubia huku hakupanga kuzungumza, na hotuba hile ya dakika 85 impromptu, leaves much to be desired!.

Nimekumbuka kisa kimoja cha Mwalimu Nyerere alialikwa gala dinner ya Rotary Club of Dar es Salaam, pale Serena, enzi hizo Sheraton, baada ya dinner Mwalimu akaombwa kusalimia na kusema machache, akasimama akasalimia, baada ya kusalimia, akasema "asanteni sana", Mwalimu alirudi kukaa, watu hawakuamini, ila ukumbi mzima ulipiga makofi kwa standing ovation.

Hivyo kama rais Magufuli hakupanga kuzungumza, halafu akazungumza impromptu kwa dakika 85!, then mtakubaliana na mimi, rais Magufuli speaks best impromptu, asipoandikiwa. The speech was so good, so natural, so genuine so touchy na kiukweli kabisa imenigusa, haswa his simplicity, it was very powerful speech, na hapo ndio hakupanga kuzungumza, jee angepanga?!

Katiba.
Kama alivyozungumza na sisi waandishi pale ikulu, alisema katiba mpya sio kipaumbele chake, jana pale USDM, rais Magufuli amerudia msimao huo kuwa hata tenga budget ya kuendeleza mchakato wa katiba mpya. Nawaomba wapenda demokrasia, wasikatishwe tamaa na kauli hii, mimi nawahakikishia miongoni mwa legacy kubwa ambazo rais Magufuli ataziacha siku akiondoka madarakani, ni pamoja na kutuachia katiba mpya.

Ili kujua kuwa rais Magufuli atatuachia katiba mpya, angalieni hizi baadhi ya kauli zake na alikuja kufanya nini. mfano ile ya "sitateua wapinzani katika serikali yangu" na angalia nini kimetokea, hivyo hata hata hii kauli ya katiba sio kipaumbele changu, ni kauli tuu, sio kila anachofanya rais Magufuli ni lazima kiwe kipaumbele chake, vipaumbele vingine ni over and above vipaumbele vyake, kwani unadhani yeye rais Magufuli alijua kuwa ndiye atakuwa rais wa nchi nchi hii 2015?, yeye hakujua, alijaribu tuu, na ikatiki, akijihesabu imetokea tuu, lakini kuna watu tulijua!.

Leo wakati nayazungumza haya, inawezekana hata rais Magufuli mwenyewe, bado hajui wala hajajijua kuwa ni yeye ndiye atakayetuachia katiba mpya, kwa jinsi ile ile akina sisi tulipojua siku nyingi kabla kuwa rais wetu wa 2015 ni Dr. John Pombe Joseph Magufuli, wakati huo hata yeye mwenyewe atakuwa alikuwa hajui, alipoamua kuingia kwenye kinyang'anyiro cha urais, yeye alikuwa anajua kuwa anajaribu tuu kwa ku beep, kumbe kuna watu siku nyingi waliishampangia bila mwenyewe kujijua. Angalia tarehe ya bandiko hili, na sababu zilizofanya rais wetu wa 2015 akawa ni Magufuli, ndizo sababu hizo hizo zitamfanya rais Magufuli atuletee katiba mpya kabla ya 2025!.
Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli - JamiiForums

Mambo ya visions ni maono sio mambo ya ulimwengu huu wa mwili, ni mambo ya ulimwengu wa roho, hivyo nawaomba sana wanabodi, msiniulize chochote kuhusu maono haya hadi tutakapokumbushana ile siku yanatimia.

Nawatakia Furahi Dei Njema.

Paskali
Mayala!Mayala! alikujibu mwenyewe kwamba hatafukua makaburi 'are you out of memories because of your affiliation with CCM ' sema km ndiyo kujitoa ufahamu 'this regime has brought about policy uncertainty or regime uncertainty that has destroy individual welfare economy
 
Wanabodi,

Hili ni bandiko kuhusu kitu kinachoitwa trends na visions. Trends ni kusoma mielekeo, na visions ni kuona mambo yajayo ya mbali, hivyo trends za rais Magufuli anazokwenda nazo, kwa sisi waona mbali, tuliojaaliwa kupata visions za yajayo, tunaona kabisa mambo mazuri huko tuendako, ikiwemo katiba mpya!. Magufuli ni kama Nyerere, hivyo baada ya Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere kuacha legacy kubwa kwa taifa letu Tanzania, ikiwa ni pamoja na kutupatia ya uhuru, umoja, amani, upendo na mshikamano wa Watanzania, rais Magufuli ndiye kiongozi mwingine atakayeacha the biggest legacy kubwa kabisa Tanzania ikiwemo kuitoa Tanzania katika kundi la nchi masikini na kuigeuza tajiri na kwenye siasa, atakuza demokrasia na kutuachia Katiba mpya!.
mimi nawahakikishia miongoni mwa legacy kubwa ambazo rais Magufuli ataziacha siku akiondoka madarakani, ni pamoja na kutuachia katiba mpya.

Leo wakati nayazungumza haya, inawezekana hata rais Magufuli mwenyewe, bado hajui wala hajajijua kuwa ni yeye ndiye atakayetuachia katiba mpya, kwa jinsi ile ile akina sisi tulipojua siku nyingi kabla kuwa rais wetu wa 2015 ni Dr. John Pombe Joseph Magufuli, wakati huo hata yeye mwenyewe atakuwa alikuwa hajui, alipoamua kuingia kwenye kinyang'anyiro cha urais, yeye alikuwa anajua kuwa anajaribu tuu kwa ku beep, kumbe kuna watu siku nyingi waliishampangia bila mwenyewe kujijua.

Mambo ya visions ni maono sio mambo ya ulimwengu huu wa mwili, ni mambo ya ulimwengu wa roho, hivyo nawaomba sana wanabodi, msiniulize chochote kuhusu maono haya hadi tutakapokumbushana ile siku yanatimia.

Nawatakia Furahi Dei Njema.

Paskali
Kwa Watanzania mnaopenda tuwe na katiba mpya, nawashauri nendeni mkapige kura, maono ya katiba mpya ni hayo, hivyo kama unataka katiba mpya, utajua nani wa kumchagua...
P
 
Katiba mpya kutoka kwa mtu asiyeheshimu utawapa wa sheria, haina maana.

Kwa sababu, anaweza kukupa katiba mpya nzuri sana, halafu akaivunja.

Na watu walivyo na woga wasicanye kitu.

Ameshaivunja hii iliyopo, hata akileta mpya, kipi kitamzuia kuivunja?
 
Wanabodi,

Hili ni bandiko kuhusu kitu kinachoitwa trends na visions. Trends ni kusoma mielekeo, na visions ni kuona mambo yajayo ya mbali, hivyo trends za rais Magufuli anazokwenda nazo, kwa sisi waona mbali, tuliojaaliwa kupata visions za yajayo, tunaona kabisa mambo mazuri huko tuendako, ikiwemo katiba mpya!. Magufuli ni kama Nyerere, hivyo baada ya Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere kuacha legacy kubwa kwa taifa letu Tanzania, ikiwa ni pamoja na kutupatia ya uhuru, umoja, amani, upendo na mshikamano wa Watanzania, rais Magufuli ndiye kiongozi mwingine atakayeacha the biggest legacy kubwa kabisa Tanzania ikiwemo kuitoa Tanzania katika kundi la nchi masikini na kuigeuza tajiri

Paskali
Wanabodi, mimi ni miongoni mwa wana jf, tuliandika mengi kumhusu rais wetu, Dr. John Pombe Joseph Magufuli, hivyo kipindi hiki cha maombolezo, napitia baadhi ya mabandiko kwa ajili ya kumuaga rasmi.

Japo umetangulia, lakini kauli zako, maono yako na kile ulichokiamini, kitabaki na sisi Milele.
Sisi tulikupenda, lakini Mungu amekupenda zaidi.
Bwana Alitoa, Bwana Ametwaa, Jina Lake Lihimidiwe!.
Raha ya Milele Umpe Ee Bwana, na Mwanga wa Milele, Umuangazie, Apumzike kwa Amani...Amina x3.
RIP Dr. John Pombe Joseph Magufuli
Buriani ya kuonana...

Back
Top Bottom