Trends, Visions: Watanzania msitatizwe na kauli zake kuhusu Katiba, baada ya Nyerere, ni Magufuli ndiye ataacha legacy kubwa ikiwemo Katiba Mpya!

Unafiki mbaya sana,kila akisimama oohhh urais mgumu,nalala na mafaili kitandani,sina amani na urais,nilikua najaribu tuuu.

Hivi angekua anamaanisha nini kinamfanya kuwepo pale hadi sasa?,kwamba zama hizi tu ndo kunakulala na mafaili kitandani?,wote walio mtangulia hawakuijua kazi kama yeye?,kutangaza kulala na mafaili kila siku nayo inamuongezea uzalendo?.ifike.mahali tupunguze kudharauliana aisee.

Mlio karibu nae muulizeni,kwakua kikwazo kwake ni hela raia wema wakijitolea kuchangia hizo hela za upatikanaji wa katiba mpya yuko radhi mchakato ukamilike?.au ndo itakua kama bunge live.
 
Kama wale ma Professor wa udsm yale ndo walikua wanayatoa moyoni jana kwenye kongamano bas sipotezi tena mda wa kuomba kutuma maombi ya kusoma kumbe ki diploma changu kutoka chuo cha kata na GPA yangu ya 2.7 kinaweza kukocompete kabisa na hao wa udsm. Aibu sana
Siku hizi nasikitika na kusononeka sana ninapoona mijadala ya wasomi UDSM yaani naumia kuona eti wale ndio wasomi wetu
 
Wajumbe wako tayari kurudi bungeni kuhusu katiba mpya bila hata posho watajigharamia wenyewe
 
Baada ya kusoma bandiko lako 'tetesi' hasa ulivyozungumzia hulka, nimekusoma Mkuu.
Wiki nenda ya amani.
 
Mkuu toka uhojiwe bungeni umekuwa kama musiba kwa kusifia
Mkuu haujamuelewa tu "... pasco kamponda sana " tena sana ... Mbaya zaidi kuna sehemu ambayo amemgusa jiwe ' kwamba nimtu ambaye anapelekwa na watu ".. ndio maana akasema kwamba ni yeye ndiye ndiye atakae tuachia katiba mpya iwe kwa kupenda au la
 
Kama wale ma Professor wa udsm yale ndo walikua wanayatoa moyoni jana kwenye kongamano bas sipotezi tena mda wa kuomba kutuma maombi ya kusoma kumbe ki diploma changu kutoka chuo cha kata na GPA yangu ya 2.7 kinaweza kukocompete kabisa na hao wa udsm. Aibu sana
hahaa
 
Yaani unajaribu kutushawishi na sosi tuingie kwenye hiyo nyunba yenu ya ibada kumuabudia huyo jamaa?
mtu anayeona sheria kwake ni kikwazo cha kufikia malengo? Mtu anayependa kutawala kwa amri na mabavu ya kijeshi eti leo akuletee katiba mpya?
Unaruhusa ya kutoa maini yako lakini usijitwishe jukumu la kutushawishi kukubaliana na demokrasia ya kikanda. Huyo anayetamani bunge lisuwepo au lote liwe ni la kuunga mkono hoja ndiyo unataka kuotesha watu kuwa ataleta katiba mpya? Labda katiba ya kiimra

You missed the whole point mkuu....kama alivyosema bro Pascal Mayalla, hii ni vision yake tu na katika maono yale nimeona trends azifanyazo rais Magufuli kuwa hatabiriki, hivyo usije shangaa akatuachia katiba mpya kabla ya kustaafu kwake na nyie wote wapenda uwongo wa kudanganya na marais waliopita mtamshangaa rais Magufuli na kumkumbuka kwa mema aliyoyafanya.
 
Wanabodi,

Hili ni bandiko kuhusu kitu kinachoitwa trends na visions. Trends ni kusoma mielekeo, na visions ni kuona mbali, hivyo trends za rais Magufuli anazokwenda nazo, kwa sisi waona mbali, tunaona kabisa mambo mazuri huko tuendako, ikiwemo katiba mpya!. Magufuli ni kama Nyerere, hivyo baada ya Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere kuacha legacy kubwa kwa taifa letu Tanzania, ikiwa ni pamoja na kutupatia ya uhuru, umoja, amani, upendo na mshikamano wa Watanzania, rais Magufuli ndiye kiongozi mwingine atakayeacha legacy kubwa kabisa Tanzania ikiwemo Katiba mpya!.

Mkutano wa Jana Pale UDSM
Mimi nikiwa ni alumni wa UDSM, nilipousikia mkutano huo, nami ningeweza kuhudhuria ili kusikia kwa masikio yangu mwenyewe, na kuona kwa macho yangu mwenyewe, hivyo nikapania lazima niende, lakini nilipoamka nikajisikia mzito na kuamua muufuatilia kwenye TV.

Kwa kweli mkutano ule ulikuwa staged vizuri sana hadi rais Magufuli kukaa na wananchi kama mwananchi kabisa, ila stage setter alikosea kidogo kuweka kiti cha ikulu pale, the perfect stage, ilikuwa ni rais Magufuli kukalia kiti cha kawaida tuu ili isionekane ni pre arranged.

Watoa mada na wachangia mada were well set ili wote kazi iwe ni moja tuu, kuunga mkono, na kufagilia kila kitu as if there is nothing wrong!, angalau Father Kitima, is the one and only who spoke the naked truth. Kama chuo kikuu ndio kisima cha maarifa na chemchem ya fikra, na hakukuwepo fikra mbadala, hivyo unapokuwa na kongamano la kisomi la kutathmini miaka 3 ya utawala wa Magufuli, then kila presentation ni kusifu tuu bila critical thinking unategemea nini?, all and all, the arrangement was good kuhakikisha critical thinkers hawasogolei kipaza sauti, ni onyesho zuri, well staged, well planned na lilipendeza.

Hatuba ya Rais Magufuli
Kama ilivyoelezwa, rais Magufuli hakupanga kuhutubia, alipanga kuwa msikilizaji tuu, ila uharaka wa kusimama alipoombwa tuu kuja kuhutubia huku hakupanga kuzungumza, na hotuba hile ya dakika 85 impromptu, leaves much to be desired.

Nimekumbuka kisa kimoja cha Mwalimu Nyerere alialikwa gala dinner ya Rotary Club of Dar es Salaam, pale Serena, enzi hizo Sheraton, baada ya dinner Mwalimu akaombwa kusalimia na kusema machache, akasimama akasalimia, baada ya kusalimia, akasema "asanteni sana", Mwalimu alirudi kukaa, watu hawakuamini, ila ukumbi mzima ulipiga makofi kwa standing ovation.

Hivyo kama rais Magufuli hakupanga kuzungumza, halafu akazungumza impromptu kwa dakika 85, then mtakubaliana na mimi, rais Magufuli speaks best impromptu, asipoandikiwa. The speech was so good, so natural, so genuine so touchy na kiukweli kabisa imenigusa, haswa his simplicity, it was very powerful speech, na hapo ndio hakupanga kuzungumza, jee angepanga?!

Katiba.
Kama alivyozungumza na sisi waandishi pale ikulu, alisema katiba mpya sio kipaumbele chake, jana pale USDM, rais Magufuli amerudia msimao huo kuwa hata tenga budget ya kuendeleza mchakato wa katiba mpya. Nawaomba wapenda demokrasia, wasikatishwe tamaa na kauli hii, mimi nawahakikishia miongoni mwa legacy kubwa ambazo rais Magufuli ataziacha siku akiondoka madarakani, ni pamoja na kutuachia katiba mpya.

Ili kujua kuwa rais Magufuli atatuachia katiba mpya, angalieni hizi baadhi ya kauli zake na alikuja kufanya nini. mfano ile ya "sitateua wapinzani katika serikali yangu" na angalia nini kimetokea, hivyo hata hata hii kauli ya katiba sio kipaumbele changu, ni kauli tuu, sio kila anachofanya rais Magufuli ni lazima kiwe kipaumbele chake, vipaumbele vingine ni over and above vipaumbele vyake, kwani unadhani yeye rais Magufuli alijua kuwa ndiye atakuwa rais wa nchi nchi hii 2015?, yeye hakujua, alijaribu tuu, na ikatiki, akijihesabu imetokea tuu, lakini kuna watu tulijua!.

Leo wakati nayazungumza haya, inawezekana hata rais Magufuli mwenyewe, bado hajui wala hajajijua kuwa ni yeye ndiye atakayetuachia katiba mpya, kwa jinsi ile ile akina sisi tulipojua siku nyingi kabla kuwa rais wetu wa 2015 ni Dr. John Pombe Joseph Magufuli, wakati huo hata yeye mwenyewe atakuwa alikuwa hajui, alipoamua kuingia kwenye kinyang'anyiro cha urais, yeye alikuwa anajua kuwa anajaribu tuu kwa ku beep, kumbe kuna watu siku nyingi waliishampangia bila mwenyewe kujijua. Angalia tarehe ya bandiko hili, na sababu zilizofanya rais wetu wa 2015 akawa ni Magufuli, ndizo sababu hizo hizo zitamfanya rais Magufuli atuletee katiba mpya kabla ya 2025!.
Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli - JamiiForums

Mambo ya visions ni maono sio mambo ya ulimwengu huu wa mwili, ni mambo ya ulimwengu wa roho, hivyo nawaomba sana wanabodi, msiniulize chochote kuhusu maono haya hadi tutakapokumbushana ile siku yanatimia.

Nawatakia Furahi Dei Njema.

Paskali
Pascal toka uwekwe kitimoto mhhhhh
 
mbona hueieweki ww kama ni ndege au mnyama!!!tusipoelewa anasema yeye juu yetu unataka tukuelewe wewe!!nyerere wa yupi au ukinga!!labda ananafanana na idd wa jiran zetu
 
Labda tu intelligent yako haifanyi kazi ipasavyo either kwa makusudi au bahati mbaya. Rais meant that. Awali kabla hajajua hatari ya kubadili katiba alitaka kufanya hivyo ila kwa sasa amefundwa. Jamani rais NI binadamu hivyo kutenda makosa ni ubinadamu wenyewe, kubadili katiba kupitia ccm haiwezikani. 1. Hatari kwa yy MWENYEWE 2. Kwa Chama.
Kubadili katiba itatoa mwanya wa kufufua makaburi ya Rais mwenyewe pamoja na Chama. Lakini kumbuka maisha ni mapambano na CCM kwa katiba hii ndio dili lao, na kubadili katiba sio lazima Rais watu siku tukiamua itabadilishwa ila kwa sasa bado wazee wa miaka 60- wanaishi ila kwa kizazi cha sasa, CCM ijiandae tu, japo hawaamini kama wao ni wapangaji katika nyumba hii.
 
You missed the whole point mkuu....kama alivyosema bro Pascal Mayalla, hii ni vision yake tu na katika maono yale nimeona trends azifanyazo rais Magufuli kuwa hatabiriki, hivyo usije shangaa akatuachia katiba mpya kabla ya kustaafu kwake na nyie wote wapenda uwongo wa kudanganya na marais waliopita mtamshangaa rais Magufuli na kumkumbuka kwa mema aliyoyafanya.
Yaani wewe ndiyo kikapu kweli. Sasa hapo ndiyo umenijibu nini!?
 
Mkuu vision/ maono yaweza kuwa na sababu au mantiki lakini kwa sehemu kubwa ni miujiza ya Mungu tu. Hivyo, uko sahihi kwa sababu hakuna facts. Hivyo, nakubaliana na wewe kuwa JPM ataacha legacy kubwa ikiwemo pamoja na katiba mpya. Hii sio miujiza au utabiri sababu ni hizi:
JPM anaweza kuacha legacy kubwa hasa ya kufanikisha mchakato wa katiba mpya. JPM kama watawala wengine wa Afrika hupenda kupendwa na kuoneka wamefanya cha maana wanapotoka madarakani. Kama JK aliendesha mchakato wa katiba mpya mwishoni mwa utawala wake iliapate sifa, nae JPM anaweza akaanzisha mchakato wa katiba mwishoni mwa utawala wake.

Mkuu sio miujiza JPM anaweza kuacha legacy kubwa kwa kufanikisha katiba mpya mwishoni mwa utawala wake baada total failure ya viwanda atakuwa hana pa kushika atalazimiaka kujiokoa kwa kuanzisha mchaka wa katiba mpya kutafuta favor kwa watanzania ili apumzike kwa amani baada ya kumaliza muda wake.

Mkuu, tukumbuke pia priority za mtu hubadilika over time, by the way unaposeti priorities haina maana zingine sio za muhimu la hasha inategemea muda na rasilimali ulizonazo. Hivyo, katiba mpya anayosema sio priority yake sasa yaweza kuwa priority yake kipindi cha pili.

Mkuu kama sijakosea Legacy iwe kubwa au ndogo yaweza kuwa nzuri/(positive)au mbaya (negative). Hivyo, sio baba wataifa tu aliyeacha legacy hata Mkapa na Kikwete wameacha legacy tofauti ni size na legacy mbayabau nzuri.

Mkuu sina hakika kama uko sahihi kuhusu trend. Trend ni mwelekeo, general direction, course hii inategemea zaidi mantiki na sababu, hivyo natofautiana na wewe, JPM hataacha legacy nzuri bali ataacha legacy mbaya kubwa ikiwa pamoja na kutokukubali mchakato wa katiba mpya. Why? Several times amesema kuwa katiba sio kipaumbele chake.
 
Wewe ndo humjui sasa. Lakini cha kujiuliza kwani Rais ndo huwa anatenga pesa au ni Bunge? Nadhani yeye huwa anapendekeza tu, sasa Bunge likitenga atafanyaje? Au Bunge nalo kaliweka mfukoni?
 
Wanabodi,

Hili ni bandiko kuhusu kitu kinachoitwa trends na visions. Trends ni kusoma mielekeo, na visions ni kuona mbali, hivyo trends za rais Magufuli anazokwenda nazo, kwa sisi waona mbali, tunaona kabisa mambo mazuri huko tuendako, ikiwemo katiba mpya!. Magufuli ni kama Nyerere, hivyo baada ya Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere kuacha legacy kubwa kwa taifa letu Tanzania, ikiwa ni pamoja na kutupatia ya uhuru, umoja, amani, upendo na mshikamano wa Watanzania, rais Magufuli ndiye kiongozi mwingine atakayeacha legacy kubwa kabisa Tanzania ikiwemo Katiba mpya!.

Mkutano wa Jana Pale UDSM
Mimi nikiwa ni alumni wa UDSM, nilipousikia mkutano huo, nami ningeweza kuhudhuria ili kusikia kwa masikio yangu mwenyewe, na kuona kwa macho yangu mwenyewe, hivyo nikapania lazima niende, lakini nilipoamka nikajisikia mzito na kuamua muufuatilia kwenye TV.

Kwa kweli mkutano ule ulikuwa staged vizuri sana hadi rais Magufuli kukaa na wananchi kama mwananchi kabisa, ila stage setter alikosea kidogo kuweka kiti cha ikulu pale, the perfect stage, ilikuwa ni rais Magufuli kukalia kiti cha kawaida tuu ili isionekane ni pre arranged.

Watoa mada na wachangia mada were well set ili wote kazi iwe ni moja tuu, kuunga mkono, na kufagilia kila kitu as if there is nothing wrong!, angalau Father Kitima, is the one and only who spoke the naked truth. Kama chuo kikuu ndio kisima cha maarifa na chemchem ya fikra, na hakukuwepo fikra mbadala, hivyo unapokuwa na kongamano la kisomi la kutathmini miaka 3 ya utawala wa Magufuli, then kila presentation ni kusifu tuu bila critical thinking unategemea nini?, all and all, the arrangement was good kuhakikisha critical thinkers hawasogolei kipaza sauti, ni onyesho zuri, well staged, well planned na lilipendeza.

Hatuba ya Rais Magufuli
Kama ilivyoelezwa, rais Magufuli hakupanga kuhutubia, alipanga kuwa msikilizaji tuu, ila uharaka wa kusimama alipoombwa tuu kuja kuhutubia huku hakupanga kuzungumza, na hotuba hile ya dakika 85 impromptu, leaves much to be desired.

Nimekumbuka kisa kimoja cha Mwalimu Nyerere alialikwa gala dinner ya Rotary Club of Dar es Salaam, pale Serena, enzi hizo Sheraton, baada ya dinner Mwalimu akaombwa kusalimia na kusema machache, akasimama akasalimia, baada ya kusalimia, akasema "asanteni sana", Mwalimu alirudi kukaa, watu hawakuamini, ila ukumbi mzima ulipiga makofi kwa standing ovation.

Hivyo kama rais Magufuli hakupanga kuzungumza, halafu akazungumza impromptu kwa dakika 85, then mtakubaliana na mimi, rais Magufuli speaks best impromptu, asipoandikiwa. The speech was so good, so natural, so genuine so touchy na kiukweli kabisa imenigusa, haswa his simplicity, it was very powerful speech, na hapo ndio hakupanga kuzungumza, jee angepanga?!

Katiba.
Kama alivyozungumza na sisi waandishi pale ikulu, alisema katiba mpya sio kipaumbele chake, jana pale USDM, rais Magufuli amerudia msimao huo kuwa hata tenga budget ya kuendeleza mchakato wa katiba mpya. Nawaomba wapenda demokrasia, wasikatishwe tamaa na kauli hii, mimi nawahakikishia miongoni mwa legacy kubwa ambazo rais Magufuli ataziacha siku akiondoka madarakani, ni pamoja na kutuachia katiba mpya.

Ili kujua kuwa rais Magufuli atatuachia katiba mpya, angalieni hizi baadhi ya kauli zake na alikuja kufanya nini. mfano ile ya "sitateua wapinzani katika serikali yangu" na angalia nini kimetokea, hivyo hata hata hii kauli ya katiba sio kipaumbele changu, ni kauli tuu, sio kila anachofanya rais Magufuli ni lazima kiwe kipaumbele chake, vipaumbele vingine ni over and above vipaumbele vyake, kwani unadhani yeye rais Magufuli alijua kuwa ndiye atakuwa rais wa nchi nchi hii 2015?, yeye hakujua, alijaribu tuu, na ikatiki, akijihesabu imetokea tuu, lakini kuna watu tulijua!.

Leo wakati nayazungumza haya, inawezekana hata rais Magufuli mwenyewe, bado hajui wala hajajijua kuwa ni yeye ndiye atakayetuachia katiba mpya, kwa jinsi ile ile akina sisi tulipojua siku nyingi kabla kuwa rais wetu wa 2015 ni Dr. John Pombe Joseph Magufuli, wakati huo hata yeye mwenyewe atakuwa alikuwa hajui, alipoamua kuingia kwenye kinyang'anyiro cha urais, yeye alikuwa anajua kuwa anajaribu tuu kwa ku beep, kumbe kuna watu siku nyingi waliishampangia bila mwenyewe kujijua. Angalia tarehe ya bandiko hili, na sababu zilizofanya rais wetu wa 2015 akawa ni Magufuli, ndizo sababu hizo hizo zitamfanya rais Magufuli atuletee katiba mpya kabla ya 2025!.
Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli - JamiiForums

Mambo ya visions ni maono sio mambo ya ulimwengu huu wa mwili, ni mambo ya ulimwengu wa roho, hivyo nawaomba sana wanabodi, msiniulize chochote kuhusu maono haya hadi tutakapokumbushana ile siku yanatimia.

Nawatakia Furahi Dei Njema.

Paskali
"Pale unapotafutwa uDC hata kwa sifa za kinafiki baada ya kujua tabia ya mtoa teuzi"
 
Wewe ndo humjui sasa. Lakini cha kujiuliza kwani Rais ndo huwa anatenga pesa au ni Bunge? Nadhani yeye huwa anapendekeza tu, sasa Bunge likitenga atafanyaje? Au Bunge nalo kaliweka mfukoni?
Ndiyo maana yake pale kuna maboya hakuna wabunge tena
 
Kama hujaelewa hatari sana nimekuelewa sana kaka kuna usemi unasema "kupaka mafuta kwa mgongo wa chupa ". Asante kaka mwisho kabisa Asiyejua maana haambiwi maana?
 
Back
Top Bottom